asante kwa maoniHakika Gwajima unawaogopesha wengi...CCM huyu mtu anamtoa Mdee mpeni ushirikiano wa kutosha
Aah!kumbe umejenga hooooojaaaa! Basi haya.Mungu anasema kupitia NENO.
Na mimi nimejenga hoja kupitia NENO.
Ukikataa NENO hata aje Mungu mwenyewe na Jeshi lake la Malaika Utakataa na kumbishia.