Kwanini Mbeya waweze Mwanza mshindwe?

Mkuu Mkuu mie naona abiria wengi tu .esp mwanza to dar
 
Mkuu Mkuu mie naona abiria wengi tu .esp mwanza to dar! Labda wenye vyombo vya usafiri watuelezee hii
 
Mkuu
Mkuu mie naona abiria wengi tu .esp mwanza to dar! Labda wenye vyombo vya usafiri watuelezee hii
Mkuu abiria inabidi iwe ni flow ya kila siku,mfano mtu akaweka Coaster inabidi awe na uhakika wa kupata abiria walau 26 mpaka anafika Morogoro. Kule gari za Mbeya kuna muda wafanyabiashara huwa wanaweka booking mpaka wengine wanakosa siti.

Ela unayopata inabidi utoe njiani kwenye Barrier, kiwango cha mafuta yanayotumika, umbali wa Mwanza hizo 1150km boss lazima aogope uhai wa injin maana usiku dereva lazima apige gia mwendo wa 80kph ili asubuhi awe amefika Mwanza.
 
Hakuna kitu ninachoogopa kama kusafiri usiku hasa na coaster tena km zaidi ya 1000!!!
Ngoja niendelee kuwaombea mnaosafiri mazingira hayo mida hiyo!
 
Hakuna kitu ninachoogopa kama kusafiri usiku hasa na coaster tena km zaidi ya 1000!!!
Ngoja niendelee kuwaombea mnaosafiri mazingira hayo mida hiyo!


Kwanini?...mie naona safari za usk ndo nahimili...! Mchana inachosha mno! Hapa naitafuta dom!
 
Kila jambo huenda kwa
1. uthubutu
2. Take risk

Watakuja wasafiri kwa wingi kadri muda unavosonga.

Biashara yawezakuwa ngumu mwezi mmoja tu wa kwanza na baada ya hapo watu wakaadapt postively.
Unaongelea barabara gn nyembamba???
 
Safari ya night naipenda mnoo...ukitoka dar saa moja ucku, uyole mnaingia saa 12 asbh yaani kesho yake...binafs nilisha acha kupanda mabasi makubwa toka 2010 ..mm na Noah tu..au hiece baaasi...kuna cku nilipanda gari za magazeti, mmmmhhh htr..dar tumetoka saa 6 ucku, mby tumeingia saa 3 asbh...acha kbs aisee
 
Mimi mwenyewe nikiwa Mbeya napenda nifike Uyole saa kumi jioni ili nipande hakuna kulala ili nifike Dar asubuhi
 
Mimi mwenyewe nikiwa Mbeya napenda nifike Uyole saa kumi jioni ili nipande hakuna kulala ili nifike Dar asubuhi
.inasaidia sana unafanya mishe zote ..! Hata ukisema utoke mipakani huko sijui sirari sijui tunduma unafika asbh safi kbs!
 
Isipojaa ni hasara kubwa,,hata bei labda iwe 50 au 60 elfu
Kwa kuanza na Coaster ni hasara, bora Hiace na ziwe hizi new model Hiace Quantum. Ukiweka siti 15 na nauli ikawa 50,000 kidogo unaweza ukahimili.

Na gari iwe na injini ya Diesel upate Hiace yenye 1KD au 1GD hapo kwa Dar-Mwanza itafanya vizuri na tajiri asibanie Service.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…