Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,959
- 70,694
Kwa Mwanza idadi ya wasafiri usiku sio kubwa sana, ila Mbeya usiku kuna idadi kubwa ya wasafiri wengi ni wafanyabiashara kutoka Tunduma,Mlowo,Mbeya mjini na wengine hutoka Makambako.
Kwa kweli miji huwa inatofautiana sana. Kitu kingine ni daladala za mbeya ni coaster wakati Arusha na Tanga bado wako na mfumo wa hiace mjini. Pole sana kwa kuwa stuck huko MwanzaIweje jiji dogo kama la Mbeya waweze kuwa na usafiri hadi jioni lakini jiji kubwa kama Mwanza washindwe kuwa na usafiri wa uhakika wa kutoka Mwanza -Dar (jioni)
Sio wote tuna uwezo wa kukwea mwewe jamani. wekeni coaster jioni jamani walau mara 2 kwa wiki!
Wadau wa usafirishaji hii imekaaje? Leo mtu anakata tiketi anaambiwa hadi alhamisi kwenda Dar kisa usafiri ni mgumu inakuja kweli? Mbona hili jiji linamuingiliano sana na mikoa ya mbali? Wekeni gari jioni jamani! Watu wa Musoma na Sirari hawatasumbuka..
Watu tumestuck!👎
Ila hili swala La hiece Arusha linanikwaza mnoKwa kweli miji huwa inatofautiana sana. Kitu kingine ni daladala za mbeya ni coaster wakati Arusha na Tanga bado wako na mfumo wa hiace mjini. Pole sana kwa kuwa stuck huko Mwanza
Kwa usafiri mbeya wako mbele hatua kumi.
Kwa Mwanza idadi ya wasafiri usiku sio kubwa sana, ila Mbeya usiku kuna idadi kubwa ya wasafiri wengi ni wafanyabiashara kutoka Tunduma,Mlowo,Mbeya mjini na wengine hutoka Makambako.
Mkuu kwenda Mwanza unapita mikoa mingi na kupata abiria wa moja kwa moja inakuwa mtihani.Kila jambo huenda kwa
1. uthubutu
2. Take risk
Watakuja wasafiri kwa wingi kadri muda unavosonga.
Biashara yawezakuwa ngumu mwezi mmoja tu wa kwanza na baada ya hapo watu wakaadapt postively.
Mkuu kwenda Mwanza unapita mikoa mingi na kupata abiria wa moja kwa moja inakuwa mtihani.
Unatoka Dar unajikuta una abiria wa Dodoma,Singida,Tabora na Shinyanga usiku usiweke tegemeo kubwa la kupakia abiria njiani.
Huo mwezi mmoja unaosema mtu atake risk, mfano uweke Hiace/Coaster kwa route hiyo yenye 1150km huyo mtu anatakiwa aweke mafuta,service za oil na transmission fluid, tyre na kulipa dereva.
Safari hizo zina faida ila jua gari yako inakuwa kwenye risk kubwa.
Ili biashara iende vizuri inabidi utangaze na uwapange vizuri wapiga debe pale Rombo,Mbezi Mwisho,Chalinze na Msamvu stendi ya Dumila.
Hoja umeikosea,ungewaambia wafanya biashara..ukisema mkoa unamaanisha nini,hakuna mabasi ya mikoa isipokua ya wafanya biashara na mfanya biashara anaweza kuweka bus Mwanza na yeye si wa Mwanza,so wewe waambie wafanya biashara za mabasi au na wewe uanzishe kampuni ya mabasiIweje jiji dogo kama la Mbeya waweze kuwa na usafiri hadi jioni lakini jiji kubwa kama Mwanza washindwe kuwa na usafiri wa uhakika wa kutoka Mwanza -Dar (jioni)
Sio wote tuna uwezo wa kukwea mwewe jamani. wekeni coaster jioni jamani walau mara 2 kwa wiki!
Wadau wa usafirishaji hii imekaaje? Leo mtu anakata tiketi anaambiwa hadi alhamisi kwenda Dar kisa usafiri ni mgumu inakuja kweli? Mbona hili jiji linamuingiliano sana na mikoa ya mbali? Wekeni gari jioni jamani! Watu wa Musoma na Sirari hawatasumbuka..
Watu tumestuck!
Hoja umeikosea,ungewaambia wafanya biashara..ukisema mkoa unamaanisha nini,hakuna mabasi ya mikoa isipokua ya wafanya biashara na mfanya biashara anaweza kuweka bus Mwanza na yeye si wa Mwanza,so wewe waambie wafanya biashara za mabasi au na wewe uanzishe kampuni ya mabasi
Tafuta pesa ndugu ununue mabasi,unalalamikia wenye hela na wewe ni mwanadamu unaeweza kutafuta kama wengine!! tafuta pesa kwa bidii na haki ununueUmekurupuka kidgo boss wangu niliandika wadau wa usafirishaji hii imekaaje? Ndo niliwalenga hao wafanyabiashara boss!
Sawa mkuu...niombeeTafuta pesa ndugu ununue mabasi,unalalamikia wenye hela na wewe ni mwanadamu unaeweza kutafuta kama wengine!! tafuta pesa kwa bidii na haki ununue
Mbeya ilianza kitambo sana, watu walianza kupiga route hizo za Uyole-Dar kwa kutumia Hiace zile box body zenye injini za 2Y.Nikweli kabisa ulichoongea lakini
Hata mbeya haikuanza mara moja tu 100%
Walianza kidogo kidogo na kikarleweka
Nipale uyole napafaham sana.