Kwanini Mbeya ni jiji? My Detailed Explanation

Kiukweli nimebahatika kutembelea majiji yote ya nchi hii na mengine nimekaa ila Mbeya dah! ni hujuma tupu kwanza haina chaneli za barabara za mitaa za uhakika. barabara mfano ya kwenda chunya ni mashimo tupu kuanzia isanga mpaka mwansenkwa ni hatari kama sio dereva mzuri jiandae kufa. Maji wanakata muda mwingi. Lazima uwe na dyaba ndani limejaa maji.

Watu wanasema maisha ni magumu kwenye majiji kama dodoma lakini nimegundua hapa mbeya ni magumu zaidi ya dodoma. Dom unaweza pata samaki wa kuanzia miambili kitaa mpaka buku ila hapa mbeya kama huna buku kwenda juu hujapata samaki. Na vingine vingi hii nazungumzia kwa raia wabangaizaji.

Ndizi dodoma zinatoka bukoba lakini ni nafuu tofauti na mbeya zinatoka tukuyu ila ni gharama na hazipatikani za uhakika.

Jiji lenyewe ni linear sio scattered, halijasambaa ukilinganisha na majiji kama Tanga, mwanza na Dodoma . Kuna foreni ya hatari kuanzia mbalizi kuja mpaka kabwe hiyo kuanzia jioni ya dar nafuu.

Utaratibu wa raia kuwekewa vivuko barabarani hamna kabisa maeneo yote ya Mwanjelwa to kabwe utegemee huruma za madereva.
Miaka ijayo kwa hali hii ya vumbi watu wajiandae kuumwa macho tu maana watu wengi wa hapa ukiwacheki macho muda mwingi yana matongotongo kibao.

Mji una tozo nyingi lakini maendeleo hamna. Kuna wakusanya hela za taka wanapita Kila chumba Cha mpangaji kuchukua buku mbili eti za taka, lakini hamna la maana linalofanywa.
 
Kiukweli nimebahatika kutembelea majiji yote ya nchi hii na mengine nimekaa ila Mbeya dah! ni hujuma tupu kwanza haina chaneli za barabara za mitaa za uhakika. barabara mfano ya kwenda chunya ni mashimo tupu kuanzia isanga mpaka mwansenkwa ni hatari kama sio dereva mzuri jiandae kufa. Maji wanakata muda mwingi. Lazima uwe na dyaba ndani limejaa maji.

Watu wanasema maisha ni magumu kwenye majiji kama dodoma lakini nimegundua hapa mbeya ni magumu zaidi ya dodoma. Dom unaweza pata samaki wa kuanzia miambili kitaa mpaka buku ila hapa mbeya kama huna buku kwenda juu hujapata samaki. Na vingine vingi hii nazungumzia kwa raia wabangaizaji.

Ndizi dodoma zinatoka bukoba lakini ni nafuu tofauti na mbeya zinatoka tukuyu ila ni gharama na hazipatikani za uhakika.

Jiji lenyewe ni linear sio scattered, halijasambaa ukilinganisha na majiji kama Tanga, mwanza na Dodoma . Kuna foreni ya hatari kuanzia mbalizi kuja mpaka kabwe hiyo kuanzia jioni ya dar nafuu.

Utaratibu wa raia kuwekewa vivuko barabarani hamna kabisa maeneo yote ya Mwanjelwa to kabwe utegemee huruma za madereva.
Miaka ijayo kwa hali hii ya vumbi watu wajiandae kuumwa macho tu maana watu wengi wa hapa ukiwacheki macho muda mwingi yaba matongotongo kibao.

Mji una tozo nyingi lakini maendeleo hamna. Kuna wakusanya hela za taka wanapita Kila chumba Cha mpangaji kuchukua buku mbili eti za taka, lakini hamna la maana linalofanywa.
Uliyosema yote ni ya kweli hujakosea
 
Akuna kitu cha kimsingi kabisa cha kuifanya Tanga au Mbeya kua majiji,ukiondoa mkakati wa kiserikali kali kuchochea kasi ya maendeleo ya kikanda.Ila kiuhalisia hio ni miji iliochangamka tu .

Ui
Tanga usifananishe na mbeya huu mji una huduma ya maji kama aslimia 98 kila nyumba inatumia maji safi, Tuna mifumo ya maji taka sahivi unapanuliwa na Kuboreshwa, Mji wetu hakuna slums kama za mbeya, mji umepangika hadi Uswahili barabara zakutosha,Tanga pasafi ukilinganisha kwengine, Barabara nyingi tanga zimeunganishwa na lami na zinapitika zinatoka kila sehemu, Mji umepangika kuna sehemu za starehe sehemu za viwanda,sehemu za ofisi, sehemu za magodawn, Tanga ndio jiji pekee lenye bustani nyingi za umma zipo kama saba hivi tena ni nzuri balaa, taa za barabarani karibia barabara nyingi zipo,sehemu maalum kwa gereji, hizi ni sifa za Jiji, sifa za jiji siyo magorofa mengi
 
Back
Top Bottom