Kwanini Max Mpia Nzengeli ni Bora kuliko Elie Mpanzu Kibisawala

Kwanini Max Mpia Nzengeli ni Bora kuliko Elie Mpanzu Kibisawala

Kucheza co. Zawadi kutoka mbinguni, hizo. Ni. Shda zake, mwsh wa msimu sisi tunaangalia namba sio vijisababu
Umeongea kishabiki. Ukiongea kiuchezaji hakuna mchezaji achicheze miezi 5 akawa kwenye ubora wake. Musonda anafanya mazoezi apata mda wa kucheza Kama zamani ameshuka now. Kwa hiyo ongelea mpira kuliko ushabiki. Ukiongelea ushabiki Mpira utakuacha mbali sana.
 
Umeongea kishabiki. Ukiongea kiuchezaji hakuna mchezaji achicheze miezi 5 akawa kwenye ubora wake. Musonda anafanya mazoezi apata mda wa kucheza Kama zamani ameshuka now. Kwa hiyo ongelea mpira kuliko ushabiki. Ukiongelea ushabiki Mpira utakuacha mbali sana.
Sikutaka kwenda deep nilidhani ungeelewa juu juu, suala la mchezaji kukosa game time ni kosa la mchezaji mwenyewe, makocha wana opt kuanzisha wachezaji walio katika ubora ili kupata kile wanachotaka kukipata katika mchezo husik. Sababu pekee ninayoiona km excuse ya mchezaji kutocheza ni majeraha pekee kwani hayataburiki lakini kukaa benchi, sijui kukosa timu miezi mitan, hizo zote ni sababu ambazo mchezaji ndiyo sababu kwa kushindwa kuonesha kiwango bora hali iliyopelekea kutoaminiwa kucheza na waalimu.
 
Mashindano ya Shirikisho msimu huu yamekosa mvuto, hayana timu zilizokuwa zinatokea club bingwa tofauti na miaka mingine. Kwa sasa haya mashindano ni ya vibonde mwanzo, mwisho.
1000278632.jpg
 
Kama tu haujui hata maana ya CT Scan umeishia kuandika City Scan tunajuaje kama hayo mengine uliyoandika nayo si uzushi kama uzushi mwingine tu, kusema Maxi anatengeneza nafasi kuliko Mpanzu ni wazi huwa hautazami mechi za Simba bali unasimuliwa tu tatizo la Simba ni wamaliziaji tu pale mbele ila hakuna mtu anayejua kutengeneza nafasi kwenye ligi yetu kama Mpanzu, sema Yanga kinachowaokoa ni striker wenu Dube kukaa kwenye position moja tu pale mbele na kusubiri kufunga magoli ya offside tofauti na kina Mukwala na Ateba ambao wakati mwingine utawakuta wako nyuma wanatafuta mipira kiasi kwamba mipira ikipigwa kule mbele inakosa mmaliziaji
 
Ndio, hata kama hamtaki lazima tukubali kuwa kuna baadhi ya wachezaji ni wazuri sana kwenye aspect ya dribbling lakini sehemu nyingine si wazuri sana, ndio mana hata kwasasa Mzee wa uwalaza Mutale anaonekana anafanya vizuri kuliko mkimbiaji na dribbler Kibisawala kwasababu ukitoa dribbling kwa kibisawala basi hakuna kingine cha maana anacho offer kuliko mutale MGR. mfano wa mchezaji wa ulaya kama Kibisawala ni Ben afra, dos santos, etc

Turudi kwenye mada haraka haraka, Mimi na makocha wengine na wachambuzi wa mpira baadhi tunaona kuwa Winga wa yanga max nzengeli ni bora zaidi na effective kuliko Elie mpanzu Kibisawala, na hizi ni sababu

1. Scoring Ability : Max ni Good Scorer , au kwa kiswahili max ni mfungaji mzuri zaidi wa magoli kuliko kibisawala namba zinaongea

2. Creative sense : Max ni mtengenezaji mzuri wa nafasi za kufunga magoli kuliko kibisawala , na hii inaoneshwa kwa takwimu zao wote wawili,

3. Max ni mkabaji kweli kweli , defensive aspect : max anaisaidia sana timu kwenye kukaba kuliko alivyo mpanzu kwani , max anakuwa kila sehemu ya uwanja kuliko kibisawala ambaye yeye timu ikiwa haina mpira anakuwa anatembea tu uwanjani.

4. Versatility : max anaweza kucheza right back, central midifield, right/left midifield, number 10 lakini kibisawala anaweza kucheza number 10, right/left winger tu.

5. Max ni kijana kuliko Mpanzu : Max ana umri wa miaka 25 tu wakati mpanzu anaonekana ni mtu mwenye miaka 30-32 , kwani alienda nje alifeli majaribio baada ya kufeli kipimo cha umri kwa kutumia mri/city scan , ila haikutangazwa kwa ajili ya confidentiality ya taarifa za wachezaji katika proffesional clubs.

6. Max ni big match player kuliko Mpanzu kibisawala (Huyu ndo kiboko ya Simba, kila wakikutana anawatoboa)

No. 7. Namalizia hata Hivyo, Katika sifa moja kubwa ambayo mpanzu yupo juu ya max ni katika dribbling , kiukweli mpanzu ni best dribbler katika nchi hii kuliko almost mchezaji yoyote lakini max pia ni dribbler mzuri lakini c levo ya mpanzu.

Kutokana na Maelezo hapo juu Nakiri mbele yenu kuwa overall Max nzengeli ni Bora kuliko mpanzu. Japo mashabiki wa Simba hawatakubali
HATA MKIANZA KUTUSIFIA. HATUCHEZI.
 
Jonathan Sowah wa Singida kaja January leo ana goli 11
Katika hizo goli zake ana penalty kadhaa na kumbuka kwa Simba Mpanzu siyo mpiga penalty, halafu kingine unatakiwa ujue hizi Timu ndogo zinavyocheza na Simba ni tofauti na zinavyocheza zenyewe kwa zenyewe, kabla ya Sowah Rupia ndiye alikuwa top scorer wa Singida ila walipocheza na Simba hakuambulia goli hata la kuotea
 
Simba sio bingwa , bali ubingwa ni wa Yanga, nyie penalt FC hamna Kitu, hamna chenu
Nimekwambia Simba anawania ubingwa hapo kipi hujaelewa? Hakuna team iliyojihakikishia mpaka Sasa na hizo penalties unazosema labda unaona ni ajabu au upendeleo kisa haufwatilii mechi zinavyokuwa
 
Nimekwambia Simba anawania ubingwa hapo kipi hujaelewa? Hakuna team iliyojihakikishia mpaka Sasa na hizo penalties unazosema labda unaona ni ajabu au upendeleo kisa haufwatilii mechi zinavyokuwa
Nimekuelewa ngoja tusubiri
 
Back
Top Bottom