nzengeli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    JamiiForums Tanzania Yanga yamuongezea mkataba Max Nzengeli wa miaka miwili

    Unadhani kwa sajili hizi wanazoendelea kufanya yanga,zinawaeza kuwa na manufaa makubwa kuelekea mashindano makubwa ya kimataifa ngazi ya vilabu?
  2. U

    JamiiForums Tanzania Kwanini Max Mpia Nzengeli ni Bora kuliko Elie Mpanzu Kibisawala

    Ndio, hata kama hamtaki lazima tukubali kuwa kuna baadhi ya wachezaji ni wazuri sana kwenye aspect ya dribbling lakini sehemu nyingine si wazuri sana, ndio mana hata kwasasa Mzee wa uwalaza Mutale anaonekana anafanya vizuri kuliko mkimbiaji na dribbler Kibisawala kwasababu ukitoa dribbling kwa...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Fei Toto awaacha mbali Nzengeli, Jean Ahoua, Aziz Ki kwa upisha wa mabao Ligi Kuu ya NBC

    Wakati huu Ligi ya NBC ikiwa katika mzunguko wa 23 Kiungo fundi wa Soka, Feisal Salum maarufu Fei Toto amewaacha mbali Nzengeli, Jean Ahoua, Aziz Ki na nyota wengine kwa upisha wa mabao Ligi Kuu ya NBC akiwa ametoa pasi za mwisho za magoli (assists) 12 huku wanaomfuatia wakiwa na 7 Soma: Jean...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Azim Dewji awajibu wanaomponda Chasambi, adai "mimi mbona nampenda Maxi, je mi ni Yanga?

    Mfadhili wa zamani wa Simba SC, Azim Dewji amesema haoni maana yoyote ya kosa la Ladack Chasambi katika mechi ya Fountain Gate lizue mjadala kwa sababu alishawahi kumtaja mchezaji wa Yanga Maxi Nzengeli kama mchezaji kioo chake. Dewji amesema yeye pia anampenda Maxi Nzengeli na ndiye mchezaji...
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ya Okra na Baleke bado huku Mkopo wa Zengeli ukifika Ukingoni leo tena mmemtambulisha haraka haraka huyu Mkongomani Shauri yenu

    DAR ES SALAAM: YANGA imetambulisha usajili wa kiungo wa pembeni 𝐉𝐨𝐧𝐚𝐭𝐡𝐚𝐧 𝐈𝐤𝐚𝐧𝐠𝐚𝐥𝐨𝐦𝐛𝐨 kutoka timu ya AS Vita ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Chanzo: habarileo_tz Na nasikia Wakala wa Zengeli ameshawakazieni na huenda Wiki ijayo Zengeli akarejeshwa Kwao DR Congo alikotokea.
Back
Top Bottom