Kwanini mawakala wa M-Pesa, T-Pesa, Airtel Money wanakatwa 10% kila mwezi?

BALAGASHIA

JF-Expert Member
Jan 21, 2017
392
383
Mwenye kujua hili naomba anielimishe, ukipata kamisheni ya milioni 1 unakatwa laki moja. Hilo ni zoezi la kila mwezi, hii ni sahihi? Wakati huo TRA ulipe kodi, manispaa ulipe tena kodi.

Huu siyo unyonyaji kweli? Na hawa mawakala kwa nini wametulia tu au ni kutokujielewa?
 
Mwenye kujua hili anielimishe ukipata kamisheni ya milioni 1 unakatwa laki moja hilo ni zoezi la kila mwezi,hii ni sahihi?wakati huo TRA ulipe kodi ,manispaa ulipe tena kodi.Huu siyo. unyonyaji kweli?Na hawa mawakala kwa nini wametulia tu?au ni kutokujielewa?
 
Jiulize wafanyabiashara wanaoagiza mzigo kutoka nje wanakatwa kodi na wakija huku kutuuzia napo pia wanakatwa kodi nao tusemeje.
 
Mkuu yaani inauma MTU usote kwenye mwamvuli then wanakata kilaini
 
Tena sio asilimia kumi tu, kuna 18% ya VAT, na 10% ya kiasi kinachohamishwa, 0.01% kodi ya zuio, bado upeleke TRA kodi ya TIN number, bado halmashauri leseni, bado makonda hajapita kuomba mchango awajengee walimu ofithi dha kithatha, gari ya taka hiyo inapita anataka buku 3, huyu hapa mjumbe anataka mchango wa polisi jamii, mhindi mwenye fremu iko taka kodi yangu veve......
 
TIN inalipiwa kodi??
Duh
 
Mwenye kujua hili naomba anielimishe, ukipata kamisheni ya milioni 1 unakatwa laki moja. Hilo ni zoezi la kila mwezi, hii ni sahihi? Wakati huo TRA ulipe kodi, manispaa ulipe tena kodi.

Huu siyo unyonyaji kweli? Na hawa mawakala kwa nini wametulia tu au ni kutokujielewa?

HUJAWAI kupata ELIMU ya MPESA

M PESA
HAILIPIPIWI KODI
M PESA NI BIDHAA

UKIWA NA KA DUKA
UNAUZA BIA
UKIWA UNALIPA KODI 100,000
UNAWEZA KUWEKA NA M PESA NA HUTATOZWA KODI

VODACOM WANAKUPA TILL
IKIWA TUU LESENI YAKO YA BIASHARA IPO ACTIVE
HATA UWE UNALIPA KODI TSH 50,000 TRA
NA MANISPAA TSH 20,000
Wao wanachotaka NI leseni active

NA mwisho wa mwezi Ile hela unayokatwa NI KWa ajili YA wakala mkuu
Anakusambazia float
NA kukuhudumia mambo madogo madogo

Nafikiri Utakua umeelewa
Kama hujaelewa
Niulize.
 
Mwenye kujua hili naomba anielimishe, ukipata kamisheni ya milioni 1 unakatwa laki moja. Hilo ni zoezi la kila mwezi, hii ni sahihi? Wakati huo TRA ulipe kodi, manispaa ulipe tena kodi.

Huu siyo unyonyaji kweli? Na hawa mawakala kwa nini wametulia tu au ni kutokujielewa?

Kama unalipa kodi TRA basi hujielewi.inamaana hapo una lipa kodi mara mbili.nenda TRA uwaeleze kua wewe ni wakala na unakatwa kodo moja kwa moja na mitandao ya simu!
 
kwa hyo huyo wakala mkuu watu wote wanakatwa pesa apeww yeye.. kisa float wakat float mtu anapeleke pesa kama laki 2 anawekewa kwenye simu yake laki mbili

n pesa yangu tumebadilishana yye nmempa cash ye katumia kwenye lain yangu ya uwakala ... sasa nikate 10% apewe yeye imekaaje hii??? Matatz madg kama pesa kutomfikia mteja wanapiga simu huduma za mpesa wanahudumiwa... nimlipe wakala mkuu 10% kisa nini?? lip hasa kubwa analonfanyia nmlipe 10% kwenye million 1 apewe yeye laki moja kila mwisho wa mwezi uuh me ndo nmemuajiri? ina maana wa watu wote anapata bei gan uyo mtu? kwann msilipane wenyew makampun mlompa tenda ya uwakala mkuu?? kweli Tanzania kila mtu anamnyonya mwenzie halafu tuna laumu serikali maisha magumu kumbe mijitu ya uku uku chini ndio inatupa ugumu wa maisha
 
Nimesikia hasira sana na mimi yani wakala mkuu ndo anakula 10% kwa kipi hasa kama mm sijawahi wakala mkuu hajawahi kunihudumi float nabadalishana na wakala wenzangu au naenda benki. Hii kitu inakikera sana yani bora Tigo sijaiona hiyo 10% labda kama wanakata juu kwa juu.
Wajuzi wa Sheria watupe solution tufanyeje ili tusikatwe.?
 
Mwenye kujua hili naomba anielimishe, ukipata kamisheni ya milioni 1 unakatwa laki moja. Hilo ni zoezi la kila mwezi, hii ni sahihi? Wakati huo TRA ulipe kodi, manispaa ulipe tena kodi.

Huu siyo unyonyaji kweli? Na hawa mawakala kwa nini wametulia tu au ni kutokujielewa?
Huo sio unyonyaji bali ni ukamuzi wa kweli kweli.
 
kwa hyo huyo wakala mkuu watu wote wanakatwa pesa apeww yeye.. kisa float wakat float mtu anapeleke pesa kama laki 2 anawekewa kwenye simu yake laki mbili

n pesa yangu tumebadilishana yye nmempa cash ye katumia kwenye lain yangu ya uwakala ... sasa nikate 10% apewe yeye imekaaje hii??? Matatz madg kama pesa kutomfikia mteja wanapiga simu huduma za mpesa wanahudumiwa... nimlipe wakala mkuu 10% kisa nini?? lip hasa kubwa analonfanyia nmlipe 10% kwenye million 1 apewe yeye laki moja kila mwisho wa mwezi uuh me ndo nmemuajiri? ina maana wa watu wote anapata bei gan uyo mtu? kwann msilipane wenyew makampun mlompa tenda ya uwakala mkuu?? kweli Tanzania kila mtu anamnyonya mwenzie halafu tuna laumu serikali maisha magumu kumbe mijitu ya uku uku chini ndio inatupa ugumu wa maisha
Tusichanganye mada hii asilimia 10℅ si yawakala mkuu ni kodi ya serekali,kuna meneja wa VODA nilimuuliza kuhusu hii asilimia 10 akadai ni kodi ya zuio ya serikali
 
Back
Top Bottom