Kwanini Mashabiki wa Yanga ndiyo Wanaoogoza kulalamikia Simba kudhulumiwa na Mo Dewji?

Mimi ni simba na Liverpool kama wewe
Uchambuzi wako ishia kwenye mpira
Kwenye biashara ambako ndo tunajadili
Mo Brand na Simba Brand wewe usijipe mamlaka ya 'know it all's na kila anaetofautiana na wewe basi umuite Utopolo..

Ya biashara waache wajuzi wa biashara wakuelimishe
Leo mo akiamua kuondoka simba au simba wakimtaka aondoke anaweza kuwadai bilioni 400 na akawawekea mchanganuo kwanini anadai kiasi hicho
 
Nimegundua kuwa kila ninapokutia Malalamiko dhidi ya Mo Dewji basi Mlalamikaji ni Mashabiki wa Yanga na sio Simba! Je Yanga amekuwa na huruma kwa kumtetea Simba dhidi ya kile wanachodai ni Utapeli wa MO? Au wanachotaka MO aondoke ili sisi Simba tufanane na Wao kwenye kuomba?

Mashabiki Utopolo Mara kwa Mara wamekuwa wakihoji Hisa 49% za MO Dewji kuwa hajaziwekea 2B.
Lakini kwanini hawahoji Hisa 51% za Wanachama kuwa zimewekewa Billion ngapi?

Maoni Yangu:
As long as Wachezaji na Wafanyakazi wote wa Simba wanalipwa mishahara, Usajili Mzuri unafanywa, Wachezaji wanakula Vizuri, Makombe tunabeba! Basi Mimi Nina Imani na MO, hayo mengine Mimi hayanihusu, Sitaki kirudi kule kuchezesha Wachezaji wa Simba B.

Waliokataa kutapeliwa na Manji huku Wakiishi maisha Mazuri Chini ya Manji, Waache waishi Maisha ya Kuombaomba chini ya Utapeli wa GSM.

Tunapodai 20B za 49%
Pia tusisahau kudai B za 51%.

NAWASILISHA
Manyani kazi yao kuzomea zomea tu
FB_IMG_1598022191549.jpg
 
Samahani hivi yule aliyekuwa Mwenyekiti pale msimbazi, Mzee Kilo na Bi Hindu wote ni Yanga hao?
 
Uliwahi kujiuliza Mzee Akilimali aliyemuondosha Manji alikuwa Simba?
Jibu utakalolipata kwa Akilimali ndiyo hilohilo utakalolipata kwa Kilomoni.
Hao Wazee hawakuwa na Ubavu wowote wa kuyafanya Waliyoyafanya bali kulikuwa na Watu nyumayao ambao Maslahi yao yanaelekea kufifia ndiyo Wakaamua kuwatumia hao Wazee ili kujaribu kulinda Maslahi yao. Na ndiyomana Uzi haukusema ni Mashabiki wa Yanga 100%.
 
Mimi ni simba na Liverpool kama wewe
Uchambuzi wako ishia kwenye mpira
Kwenye biashara ambako ndo tunajadili
Mo Brand na Simba Brand wewe usijipe mamlaka ya 'know it all's na kila anaetofautiana na wewe basi umuite Utopolo..

Ya biashara waache wajuzi wa biashara wakuelimishe
Sasa we umejadili kibiashara kwenye eneo lipo?
Kwa hisa 51% za wanachama sio kibiashara?.
Mngekua na akili za kufikiria mngekua mnahoji hizo hisa 51% mbona hamjazitendea haki.
Mwenzenu mwenye hisa 49% anatoa B 3 kila mwaka na ndo mnazitamba nazo.
Ko mlitaka aweke zote B 20 wakati nyie hakuna hata sh mliochangia kwenye hizo hisa zeno 51%
 
Mashabiki wa simba mnamambo ya kindezi sasa ulitaka watu wasiseme ukweli
 
Uliwahi kujiuliza Mzee Akilimali aliyemuondosha Manji alikuwa Simba?
Jibu utakalolipata kwa Akilimali ndiyo hilohilo utakalolipata kwa Kilomoni.
Hao Wazee hawakuwa na Ubavu wowote wa kuyafanya Waliyoyafanya bali kulikuwa na Watu nyumayao ambao Maslahi yao yanaelekea kufifia ndiyo Wakaamua kuwatumia hao Wazee ili kujaribu kulinda Maslahi yao. Na ndiyomana Uzi haukusema ni Mashabiki wa Yanga 100%.
Badala ya kujibu swali husika naona umetoa maelezo marefuuu...!!
 
mimi najiuliza hivi mashabiki kwenye hizi timu wanataka nini? makombe au pesa?

sijawahi kuelewa faida tutakayopata mashabiki endapo hizi timu zikiwa tajiri sana,...... labda kama tunataka furaha!

hata simba/yanga zikiuzwa kwangu poa tu, wacha wenye akili wapige pesa maana sina maslahi direct na hizi timu..........
Bonge la point. Hata akiweka c zitatumika hivihivi tu
 
Back
Top Bottom