Kwanini Marekani haivamii China kisa changamoto ya madawa ya kulevya kama wanavyotaka kuivamia Venezuela?

Mi mi

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2024
Posts
5,752
Reaction score
10,523
Nchi ya marekani kila siku imekuwa ikihituhumu China kuhusu changamoto ya fentanly na matumizi yake ndani ya nchi ya marekani.

Marekani mara kadhaa inasema China ina zalisha kwa wingi na kupenyeza fentanly ndani ya marekani ili watu wake waathirike na waharibikiwe.

Sasa kupitia malalamiko hayo nayo nchi ya Venezuela chini ya Maduro inekubwa na malalamiko kama hayo toka kwa marekani.

Venezuela inalalamikiwa ni kiwanda cha madawa ya kulevya na serikali ya gang la madawa ya kulevya na marekani imeendesha operation kadhaa wakidai kudhiti usafishwaji wa madawa ya kulevya kwa njia ya boti ndogo ndogo juzi hapo wameripua both kadhaa.

Na kwa sasa marekani inatishia kuivamia Venezuela kijeshi ili kwenda kudhibiti madawa ya kulevya na kwenda kufanya regime change Venezuela kuiondosha serikali ya gang la madawa ya kulevya ya bwana Maduro.

Kwa nini huyu Marekani asiende South China Sea na kuendesha operation kadhaa za kulipua usafirishwaji wa fentanly kuelekea Marekani ? Na pia asijiandae kabisa kufanya regime change Beijing na kuiondosha serikali ile ya wakomunisti gang la kusafirisha fentanly Marekani ili watu wake wawe salama kama anachotaka kufanya Venezuela ?
 
Jamaa na genge lake wakikuhitaji watakutafutia sababu yeyote ile..
Kinachotokea Iran wachambuzi wengi tu wanasema si issue ya nuclear, ni kwa sababu Iran ni threat kwa uchumi wa US na threat kwa Israel...

Sadam walimvamia hivyo hivyo kwa kusema ana nuclear baadae wanakwenda kuhakikisha hawakukuta nuclear...

Muammar Gaddafi hivy hivyo..

Ukichunguza hizo ni nchi zenye mali na hawana mahusiano mazuri na US...
 
China tayari sababu wanayo ya fentanly kama tu ilivyo Venezuela sasa kwanini wanafanya kama hawaioni China ila wanaiona Venezuela na wakati wanalalamika kuhusu China kwa muda mrefu sasa
 
Kiongozi Venezuela ina oil reserve kubwa kuliko Saudia na Iran...
KWa dunia yote Venezuela ndio wana reserve kubwa zaidi ya mafuta... ni threat kwa US dollar ya USA hik ki nchi...
Ndio maana nakuambia wanatafuta sababu..

Unaweza kuelewa kwanini wanaiacha Pakistan halafu wanakwenda kuishambulia Iran? hali ya kuwa Pakistan wana nuclear na walisema wazi itaipiga Israel nuclear endapo Iran itapigwa na nuclear?
 
We jamaa ni lijinga sn marekani anapgana vita kwa faida huko china ana nn mpk avamiwe venezuela ana mafuta kama yote au kim jong un avamiwe ana nn sasa cha kumlipa marekani mwambie china avamie taiwan kama kweli ye kidume tena jiran tu hapo.
 
Kiongozi Venezuela ina oil reserve kubwa kuliko Saudia na Iran...
KWa dunia yote Venezuela ndio wana reserve kubwa zaidi ya mafuta... ni threat kwa US dollar ya USA hik ki nchi...
Ndio maana nakuambia wanatafuta sababu..

Unaweza kuelewa kwanini wanaiacha Pakistan halafu wanakwenda kuishambulia Iran? hali ya kuwa Pakistan wana nuclear na walisema wazi itaipiga Israel nuclear endapo Iran itapigwa na nuclear?
Sawa
 
Hivyo sio madawa ni michongo ya wese nimekupata mkuu.
 
Cha kuongezea..
Hayo mafuta aliyonayo Venezuela ingetokea yako China hii tunayoiona, wasingeweza kuvamia...
China ina uwezo mkubwa tu wa kuichakaza US kwa uwezo wa nguvu za kijeshi kwa sasa..
 
China tayari sababu wanayo ya fentanly kama tu ilivyo Venezuela sasa kwanini wanafanya kama hawaioni China ila wanaiona Venezuela na wakati wanalalamika kuhusu China kwa muda mrefu sasa
Venezuela ni mafuta chief. Na Marekani kama ilivyo china zote zinafanya biashara kubwa ya pamoja hawawez kuaharibiana. Ukisikia marekan anapiga kelele kuhusu china ujue mchina anamsogelea kwa kasi.
 
Ukubwa ndio unaamua yupi wa kumvamia na yupi wa kutokutia mguu kabisa.
Kabisa.

Nchi yenye nguvu za kijeshi kama China na Urusi huwezi tu kukurupuka na kuivamia.

Vinchi vidogo ndio vinavyovamiwa na kuonewa lakini sio nchi kubwa zenye nguvu kubwa za kijeshi.

We kwa akili za kawaida tu unaweza kuivamia Urusi au China upambane nayo?
 
Nchi ya marekani kila siku imekuwa ikihituhumu China kuhusu changamoto ya fentanly na matumizi yake ndani ya nchi ya marekani.

Marekani mara kadhaa inasema China ina zalisha kwa wingi na kupenyeza fentanly ndani ya marekani ili watu wake waathirike na waharibikiwe.

Sasa kupitia malalamiko hayo nayo nchi ya Venezuela chini ya Maduro inekubwa na malalamiko kama hayo toka kwa marekani.

Venezuela inalalamikiwa ni kiwanda cha madawa ya kulevya na serikali ya gang la madawa ya kulevya na marekani imeendesha operation kadhaa wakidai kudhiti usafishwaji wa madawa ya kulevya kwa njia ya boti ndogo ndogo juzi hapo wameripua both kadhaa.

Na kwa sasa marekani inatishia kuivamia Venezuela kijeshi ili kwenda kudhibiti madawa ya kulevya na kwenda kufanya regime change Venezuela kuiondosha serikali ya gang la madawa ya kulevya ya bwana Maduro.

Kwa nini huyu Marekani asiende South China Sea na kuendesha operation kadhaa za kulipua usafirishwaji wa fentanly kuelekea Marekani ? Na pia asijiandae kabisa kufanya regime change Beijing na kuiondosha serikali ile ya wakomunisti gang la kusafirisha fentanly Marekani ili watu wake wawe salama kama anachotaka kufanya Venezuela ?
Hilo swali la kujiuliza mtu mwenye uelewa wa mambo.
 
China itafika muda wake,kwa sasa wacha USA iendelee kuimalisha demokrasia maeneo mengine iki accumulate total power and control.

Halafu si unajua uchina ni sehemu ya cheap labours wa viwanda vya wazungu.

Nenda kacheki bajeti za ulinzi na usalama wa nchi zao ndio utajua nani ni nani.
 
Kwa nini huyu Marekani asiende South China Sea na kuendesha operation kadhaa za kulipua usafirishwaji wa fentanly kuelekea Marekani ?
Mjuwe muanzilishi wa haya mambo kwanza

  • Opium Trade:
    British merchants began importing large quantities of opium, grown in India, into China to sell.
  • The Central Intelligence Agency (CIA) has been involved in allegations of collaboration with drug traffickers to finance the Contra rebels in Nicaragua during the 1980s, with individuals linked to the Contras involved in narcotics trafficking.

https://www.google.com/search?sca_e...EHaNPImYQxccNegUIoQIQAw&biw=428&bih=859&dpr=3
 
China itafika muda wake,kwa sasa wacha USA iendelee kuimalisha demokrasia maeneo mengine iki accumulate total power and control.

Halafu si unajua uchina ni sehemu ya cheap labours wa viwanda vya wazungu.

Nenda kacheki bajeti za ulinzi na usalama wa nchi zao ndio utajua nani ni nani.
Kwa hiyo itakuwa lini mkuu ?
 
Mjuwe muanzilishi wa haya mambo kwanza

  • Opium Trade:
    British merchants began importing large quantities of opium, grown in India, into China to sell.
  • The Central Intelligence Agency (CIA) has been involved in allegations of collaboration with drug traffickers to finance the Contra rebels in Nicaragua during the 1980s, with individuals linked to the Contras involved in narcotics trafficking.

Google Search
Asante mkuu
 
Back
Top Bottom