Kwanini Marais wengi wa Afrika ni wanene wakati Ulaya, Amerika na Asia ni Wembamba?

Ndg wasomaji kwanini maraisi wengi wa Afrika ni wanene wakati Marais karibu wote wa Ulaya, Amerika na Asia ni wembamba?

Najiuliza Nini kinasababisha hayo! Je, Waafrika ndivyo tulivyoumbwa?

Au ni kula pasipo kipimo. Au ni utaahira maana wengine wanahusisha unene na tatizo la akili, akili kutochakata mambo sawasawa hivyo kupelekea mwili kufutuka, au ni tatizo gani haswa ndugu zangu Marais wetu kuwa wanene tofauti na wenzao wa mabara mengine!
Fanya utafiti vzuri. Hata Ulaya wapo wanene na hata Afrika wapo wembamba.

Ukibisha nakuletea ushahidi wa haya usiyoyajua
 
Japo inasemekana watu wenye matumbo makubwa hawana akili timamu, kama waziri wa habari wa nchi fulani hivi tumbo kama mtungi
 
1: vyakula vya Kiafrika ni wanga tuu, ugali na wali. Unakuwa na mwili mkubwa, nguvu nyingi lakini akili kisoda.
2: Udumavu wa akili kwa kudhani mtu mnene ni tajiri na mwenye afya.
3: Ulaji wa hovyo bila mpangilio mzuri yani hakuna balance diet
4: N.k
Ezekiel mbaga bana
 
Ingekuwa vice versa, mmngecomment negatively pia. Me naona afadhali uwe mnene kuliko kuwa mwembamba.
Usizungumzie marais tu, zungumzia matajiri...
Ukiwa Africa na una ela... mbona kitambi hichoo....

Labda ukapambanie kuzuia kama kina mo ila unene kaumbiwa muafrica...
 
Back
Top Bottom