Kwanini Marais wengi na viongozi wakuu wa nchi na wake zao wanaishi mda mrefu?

Hii naanzia hapa Tz marais na viongozi wakuu wa nchi wastaafu na wake zao wote wapo hai...hata mzee wetu nyerere mke wako yuko hai...
Nchi km marekani baba yake bush yuko hai hadi Leo...nenda uingereza..
Hapo Kenya jirani mzee moi yupo.. .
Nipe mifamo BT tuambizane kwann wanadumu? Mzee mwinyi ana miaka 90+ BT ukimuona yuko fit ...
Matibabu na lishe bora ila Kwa ufupi tuuu mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke sikuzake ni chache nazo hupita kama kivuli!!! sana sana ni miaka sabin kama ayaishi saaana miaka 80 nazo hujaa tabu na shida hivyo wasikutishe hawatavuka 95
 
Marekani ina Ma Rais watano wastaafu ambao wako Hai Jimmy carter, Bush Senior, Bill Clinton, Bush Jr na Baraka obama, Bush Sr ndio kamzika Mkewe juzi tu yupo 90+ na Jimmy pia yupo 90+
 
si wao tu wote wapatao huduma bora za afya chakula bora ulinzi hukwepa sana mambo yaletayo vifo.. vifo vingi husababishwa na ajali, magonjwa na vita.

wao huwakumbani sana na hivi vitu
 
walimu nao huishi muda mrefu kwa vile kazi zao zinaambatana na indirect mazoezi kama kusimama darasani angalau kwa dakika 40+
 
Usalama wa chakula bora,tiba bora,makazi bora na usafiri wa uhakika bila kusahau mshahara 40% ya mshahara wa Rais kama Rais kafariki na vilevile kama Rais mstaafu yupo hai anachukua 80% ya mshahara wa Rais aliyepo madarakani.
 
Watafariki vipi mapema, wakati wanapata huduma zote muhimu kwa wakati...

Kinachotuwahisha wengi mapema, ni ukosefu wa huduma za matatibu za uhakika, chakula cha uhakika, sehemu nzuri ya kulala...


Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom