technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,647
- 58,453
Hivi toka Samia ameingia Madarakani Miezi 2 sasa kashazindua mradi wowote?Wewe huna akili...
Utaratibu wa kuhakikisha tunawajali marais wastaafu unapunguza pressure za kuwafanya
'wajijali wenyewe wanapokuwa madarakani'
Faida yake ni kubwa kuliko unavyofikiri..
Halafu huu utaratibu haukuanzishwa na Samia..
Simu Ile ya msiba Kikwete alisema Magufuli alishamwambia nyumba yake iko tayari
Wanasubiri tarehe ya kumkabidhi..
Kwa yote aliyoyafanya Mwinyi nchi hii
Mpumbavu peke yake ndo anaweza sema
'hana faida tena na nchi'..
Jitu kama wewe lisilo na shukran za sacrifices
Walizofanya watu kama Mzee Ruksa Kwa nchi hii ndo jitu lisilo na faida
Unapima uchapakazi wa mtu kwa miezi miwili? inaonekana huna experience yoyote kwenye utawala.Hivi toka Samia ameingia Madarakani Miezi 2 sasa kashazindua mradi wowote?
Pesa alizochota kikwete bado unamjengea nyumba ya nini?
Wewe una akili.
Una akili sana lakina tunza hii Huyu ndiye rais mbovu kuliko wote tuliowai kuwa naoHuna akili, na huna unachojua zaidi ya kujaza kande kichwani
#mama Samia kanyaga twende# kazi iendelee#
Rais analizwa na maisha ya Rais mstaafu
Rais anamnunulia BENZI la dollar 187,000 Rais mstaafu.?
Wakati huo mwanae akiwa Rais wa Zanzibar.
Rais anahailisha mechi inayofatiliwa na watu zaidi ya million 200+ Africa kwa sababu ya kitabu cha maisha ya mtu ambaye hana tena msaada tena kwa nchi.
Rais anampa nyumba Rais aliyekaa madarakani na kuchuma pesa ndefu sana ndani ya utawala wake zikiwemo kashifa kibao za wizi wa pesa za umma kama Richmond, Escrow, Dowans na kashifa ya bomba gesi kutoka mtwara.
Rais anaagiza Rais aliyefariki madarakani stahiki zake ziwaishwe
Wakati huo bado watoto wetu wanakaa chini
Madawa hakuna kwenye zahanati
Vyumba vya madarasa havitoshi
Walimu hawatoshi
Nyumba za walimu hakuna
Madakitari na manesi hawatoshi
Barabara nyingi bado hazipitiki
Huduma ya maji na umeme bado duni
Hakika nawaambia ccm hii laana itawatafuna kwa miaka mingi ijayo Baba wa taifa na familia yake ndiye alitakiwa kuenziwa kwa vitendo maana yeye hakuiba pesa kama waliomfuata.
Kama nchi tumepotea.

Rais mstafu ana haki ya kupewa magari mawili.Una akili sana lakina tunza hii Huyu ndiye rais mbovu kuliko wote tuliowai kuwa nao
Their day of reckoning is coming, very soon.Swala la kujengewa nyumba,kupewa magari siyakubali kwa maraisi wastaafu,sio kweli kwamba rais mstaafu hawezi kujenga nyumba,tuchukulie mfano tu wa JPM na Kikwete ,wote hao wana majumba zaidi ya 100 nchi nzima,Kikwete ana bonge la jumba migombani mikocheni regeent hakai mtu lipo lipo limetelekezwa,kikwete ana jumba la kifahari mikocheni Heinken near kwa bakhresa,kikwete ana kijiji msoga,bado tumetumia bilions of Tsh kumjengea jumba jingine ambalo nina uhakika ataenda kukaa riz1 au miraji na sio JK.
Hayo mabilions tumeshindwa kununua utra sound hosptital zetu nchini? Maana nimeona leo Mwananyamala wamesaidiwa na boom play wheel chair na pia wakaomba wapatiwe pia ultrasound equipment,really?
Acheni huu sijui tuuite ni uvivu au upendeleo. Kuna raisi aliyeombwa kuwa raisi? Walipigania kuwa maraisi kwa maslahi yao binafsi. Wapo watumishi waliofanya kwa uaminifu na maslahi madogo kabisa, kwa miaka 36 na hakuna anayejali.Wa kulaumiwa ni sheria zilizotungwa bungeni huku watunga sheria wengine kususia mijadala bungeni.
Mh. Rais ni mtekelezaji wa sheria, hivyo hana kosa.
Kutumia justifications za matatizo yaliyopo hakuondoi utekezaji wa sheria.
Hata hivyo busara inaelekeza kuheshimu sheria bila shuruti.
Zawadi aliyopewa Mzee Mwinyi ni ndogo sana kulingana na utumishi na umri wake, kilichofanyika ni heshima wala sio malipo.
Hivi kwa mfano kesho Mzee huyu akisikia jinsi mnavyomsimanga eti kwa kuwa kapewa zawadi ya Gari na akaamua kuwarudishia gari yenu, mtaweza kweli kuibadilisha hiyo gari kutimiza ulivyoandika?
Heshima ni kitu cha bure, ebu tusiitafute kwa kuwasimanga wengine walioitumia nchi hii kwa Hekima na Weledi wa hali ya juu.
Rais analizwa na maisha ya Rais mstaafu
Rais anamnunulia BENZI la dollar 187,000 Rais mstaafu.?
Wakati huo mwanae akiwa Rais wa Zanzibar.
Rais anahailisha mechi inayofatiliwa na watu zaidi ya million 200+ Africa kwa sababu ya kitabu cha maisha ya mtu ambaye hana tena msaada tena kwa nchi.
Rais anampa nyumba Rais aliyekaa madarakani na kuchuma pesa ndefu sana ndani ya utawala wake zikiwemo kashifa kibao za wizi wa pesa za umma kama Richmond, Escrow, Dowans na kashifa ya bomba gesi kutoka mtwara.
Rais anaagiza Rais aliyefariki madarakani stahiki zake ziwaishwe
Wakati huo bado watoto wetu wanakaa chini
Madawa hakuna kwenye zahanati
Vyumba vya madarasa havitoshi
Walimu hawatoshi
Nyumba za walimu hakuna
Madakitari na manesi hawatoshi
Barabara nyingi bado hazipitiki
Huduma ya maji na umeme bado duni
Hakika nawaambia ccm hii laana itawatafuna kwa miaka mingi ijayo Baba wa taifa na familia yake ndiye alitakiwa kuenziwa kwa vitendo maana yeye hakuiba pesa kama waliomfuata.
Kama nchi tumepotea.
Kila level ya utumishi wa umma ina mafao na pensheni zake.Acheni huu sijui tuuite ni uvivu au upendeleo. Kuna raisi aliyeombwa kuwa raisi? Walipigania kuwa maraisi kwa maslahi yao binafsi. Wapo watumishi waliofanya kwa uaminifu na maslahi madogo kabisa, kwa miaka 36 na hakuna anayejali.
Huu ni ujinga tu.