Hiyo kazi ni ngumu, inahitaji ujue kuishi na watu vizuri, kumtuliza mgonjwa, kumpa pole, yaani mgonjwa ana mahitaji ya kihisia..... na vile wagonjwa wanavyotia huruma na kulalamika, changanya na ugumu wa maisha wanayopitia hao manesi, changamoto za kazi wagonjwa wengi, manesi wachache.... kunakua na shinikizo fulani
Lazima hao manesi watakua wakorofi, sio wote lakini....
Ni kama customer care wa benki na waalimu