Kwanini Makonda hakumuita Askofu Pengo?

Tunasema pengo kwa sababu huko nyuma alishatajwa kuwa anajihusisha. So ili kujiridhisha makonda alitakiwa amuite ili naye wamhoji na kumchukua vipimo.
 
Wangemtaja tu kama walivyo mtaja gwajima
 
Pengo kama aliwahi kufanya hii biashara labda zamani,sikuhizi kazeeka sana ,hawezi.
Ila mi namlaumu anapokaa kimya vijana wake wanavyonyanyasa watu,
sijui anawaogopa au anaung mkono haya manyanyaso

Fuatilia vizuri mkuu kishatoa statement.Tafuta Gazeti la Kiongozi toleo la Jana.Ila amesema Serikali isiwekewe mipaka katika kupambanua na tatizo hilo.Na akaiasa jamii ipambane Na tatizo hili tokea kwenye familia Kwa kuhimiza vijana kuacha kutaka mazuri Kwa njia ya mkato.
 
usifananishe Pengo na vitu vya kijinga!Roman Catholic ni shadow government na Pope ni shadow UN secretary
Hakuna kitu kama hicho, papa mbona anachanwa kila siku na Trump,hakuna lolote zaidi ya u freemason humo ndani
 
Hii vita sio ya madawa trust me, ni dhidi wa waliokua au ambao wapo upinzani. Vita ya madawa inatajwa hadharani, ushaidi utaupata vipi, labda kama awapate watumiaji
 
Pengo afanye biashara ana shida ipi wakati hana familia na kila anchotaka anapewa kumbuka yeye ana uraia wa Vatican pia
K
Kwa hiyo ana Uraia wa nchi mbili?
Au uraia wa vatican unahesabikaje?
 
Hao kina Gwajima uaskofu wa kujipachika, sio kama uaskofu wa wakatoliki
Kujipachika mtu ana PhD ya mambo ya dini wewe unasema Kujipachika, sasa huyo ambaye hajajipachika bwana pengo ana elimu gani, tuanzie hapo
 
Kina makosa kidogo kwenye hiyo habari manji alisema pengo na masheikh, ikiachwa olivyoinatoa inatoa picha sio sahihi
 
Kujipachika mtu ana PhD ya mambo ya dini wewe unasema Kujipachika, sasa huyo ambaye hajajipachika bwana pengo ana elimu gani, tuanzie hapo
PhD inategemea umeipata chuo gani au kivipi. Tunawaona akina.... wenye PhD na hawawezi hata kujieleza kwa kujieleza. Zipo zakina rwakatale, mrema, kikwete nk
 

Hata pocket money hana pa kuzitumia. Kila kitu anapewa bure. Muda mwingi anautumia kwa sala tuu. Na kila kitu analetewa. Kwake pesa haina maana. Na akihitaji anaomba waumini wanampa anapeleka palipo na shida.
 

Kaomba ahojiwe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…