Kwanini makato ya Sim Banking yapo juu?

Simu banking nilitumia week mbili tu nikaachana nayo kabsa. Ni gharama sana. Mfano ukihamisha hela kutoka kwenye bank kwenda mobile money gharama ni juu sana
hii ndio pasua kichwa.nikitaka kujirushia 1000 kutola a.c kuja kwemy mobire money wanakata 1400.
 
Na mabenki mengi wameongeza gharama ya kutoa hela bank Ili kuwalazimisha kutoa kwa sim banking au ATM au wakala...njia isiyo na Makati mengi ni ATM..kama hamna tafuta wakala ..huko mwingine wanakupiga saws saws..utajuta kuweka hela zako huko..hata Makato ya kutoa fedha kwenye mitandao ya simu ni kubwa mnooo

Hata kwa wakala napo kuna maumivu
 
Mbona nchi za wenetu hakuna makato ya kijinga kama hayo? Ukiachana na cm banking, hizi bank za kawaida pia zinamakato ya kijinga sana wakati bank za wenzetu hela ata ukiika miezi 6 unakuja kuiona ileile haijapungua ata cent 5, ni PBZ islamic bank na Amana bank pekeake ambazo hela yako haikatwi ila sijajua sasaivi kama na wao pia wamebadilika au laa
Benk za kikenya zote zenye branch hapa TZ hazina huo ujinga..kuanzia Equity na KCB bank..huwa ukiweka pesa unajikuta Kama Ilivyo..japo naona kwa sasa Kama Equity wanaanza kuleta huo ukumbafu wa kukata Makato.makubwa kwa transaction
 
Issue sio bank Gani ya kuhifadhi..tatizo ni akaunti Gani wafungua .? Mabenki karibu yote yana account maalum kwa ajili ya savings ..mfano Nbc Wana malengo account yaani unaweka hela zako bila Makato na KILA mwisho wa mwezi unapewa interest
Nitalifzatilia hilo mkuu
 
Back
Top Bottom