Bill Cosby
JF-Expert Member
- Sep 2, 2013
- 2,588
- 1,554
Wana ukumbi.
Leo ktk pitapita zangu za weekend nimekuta kanisa moja limegeuzwa kuwa sehemu ya kuoshea magari!
(Car wash)!
Kusema ukweli nimesikitika sana kuona makanisa mengi huku ulaya yanageuzwa mno!
Mara Car wash, mara miskiti na kumbi za kujifunzia salsa ( miziki Ya kunyonga viuno!)
Naomba niulize! Je kunani huku ulaya na Haya makanisa!?