Kwanini makanisa yetu yanageuzwa hivi??

Kwanini makanisa yetu yanageuzwa hivi??

Status
Not open for further replies.
Hakuna jambo jipya chini ya jua. Yaleyale Yesu aliyoyashuhudia na macho yake nyumba ya ibada kugeuzwa sehemu ya biashara Ndio yanayojiri duniani sasa.

Usidanganyike na jina. Huyo jamaa sio mkristo. Ni 666. Ana Id kibao hapa.
 
Wana ukumbi.
Leo ktk pitapita zangu za weekend nimekuta kanisa moja limegeuzwa kuwa sehemu ya kuoshea magari!
(Car wash)!

Kusema ukweli nimesikitika sana kuona makanisa mengi huku ulaya yanageuzwa mno!
Mara Car wash, mara miskiti na kumbi za kujifunzia salsa ( miziki Ya kunyonga viuno!)

Naomba niulize! Je kunani huku ulaya na Haya makanisa!?

Huu uzi nilijua tu umeanzishwa na mbumbumbu mfuasi wa mbumbumbu mbakaji mudi,wakimwabudu marehem ala,mudi, wafuasi wake na ala mwenyewe hawana akili. Ala hasikii lugha yoyote zaidi ya kiarabu,ala hawezi kujitetea,anatetewa na wafuasi wake ambao 80% ni mbumbumbu.,wabakaji...

Heri kufa mpagani kuliko kufa mmuzilimu.
 
Ulaya wako so much brainwashed juu ya suala la Mungu. Ingawa they were so committed one time ndiyo maana wakadevelop moral compass waliyo nayo sasa ila kizazi cha sasa they question kuwa hawawezi amini kitu wasichokiona. Na haswa watafiti wapumbavu mfano wanaosema binaadamu tumetokana na sokwe aka
 
Sasa unataka nani aje asalie humo wakati vijana wamekimbilia kwenye ushoga? Labda kwenye hiyo dini ya misikiti inaruhusu ushoga ndo maana vijana wanakimbilia huko? Acha na iwe hivyo!!
 
Huu uzi nilijua tu umeanzishwa na mbumbumbu mfuasi wa mbumbumbu mbakaji mudi,wakimwabudu marehem ala,mudi, wafuasi wake na ala mwenyewe hawana akili. Ala hasikii lugha yoyote zaidi ya kiarabu,ala hawezi kujitetea,anatetewa na wafuasi wake ambao 80% ni mbumbumbu.,wabakaji...

Heri kufa mpagani kuliko kufa mmuzilimu.

Duh hivi miaka 7 ulikuwa unakwenda shule kucheza kombolela tu?
Hebu kajifunze kwanza kuandika ndio uje jukwaani,
Umejaa chuki tu,najua roho inakuuma sana kuona nyumba za kondoo zinauzwa kama njugu
 
Huko kwenu mnaabudu makanisa huku kwetu hakuna,
 
Duh hivi miaka 7 ulikuwa unakwenda shule kucheza kombolela tu?
Hebu kajifunze kwanza kuandika ndio uje jukwaani,
Umejaa chuki tu,najua roho inakuuma sana kuona nyumba za kondoo zinauzwa kama njugu

Iniume ili iweje??

Heri kufa mpagani kuliko kufa mmuzlim..
 
Schiendler aka MaxShimba aka Ishmael hapa tunataka kuokoa makanisa kuuzwa na kugeuzwa vilabu na Car wash!
We unatuletea habari za Syria!
Mbona kwenye Tv tunaona yote hayo!??

Haya ya makanisa kuuzwa huwa hawaonyeshi!

Sasa mi nilichofanya ni kuwapakulia tu!
We style zako za kizamaani!

Teh teh teh

You can keep the buildings, my God does not live in the buildings, in contrast, your deity does. Ephesians 3:17 so that Christ may dwell in your hearts through faith. And I pray that you, being rooted and established in love,

That is why your religion is fighting for a fictitious demigod who lives in filthy buildings.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom