Kwanini makanisa yetu yanageuzwa hivi??

Kwanini makanisa yetu yanageuzwa hivi??

Status
Not open for further replies.
ulaya wamejaa watu aina ya kiranga ndyo wengi unafikiri makanisa yatadumu kweli.waarabu n tofouti sna na wazungu,mwarabu hata akiwa wapi lazima msikiti muhimu,anajali sna imani yake.

Funga kazi ni Wahindi... Wengine ushawishi mdogo tu wameshabadili dini.. ila hawa mmmh hawataki hata waumini
 
attachment.php

Kwetu wasomaji wa maandiko walal hili halitusumbui

Tunajua huu ni wakati gani!
 
Wana ukumbi.
Leo ktk pitapita zangu za weekend nimekuta kanisa moja limegeuzwa kuwa sehemu ya kuoshea magari!
(Car wash)!

Kusema ukweli nimesikitika sana kuona makanisa mengi huku ulaya yanageuzwa mno!
Mara Car wash, mara miskiti na kumbi za kujifunzia salsa ( miziki Ya kunyonga viuno!)

Naomba niulize! Je kunani huku ulaya na Haya makanisa!?
kwa wakati silent inn inabadilishwa kuwa kanisa ulilalamika...??
 
Karusee nimeanzisha uzi kwa lugha ya kwetu!
Hebu tusichanganye madawa kwanza!
Halafu la pili ni kuwa huku ulaya ambako ndiko shina la Ukristo kila siku makanisa yanauzwa!
Tena kwa bei rahisi mno! Kiasi kwamba waislamu wanayanunua vibaya mno! Na mengine wameyageuza madrasa na sehemu za kufanyia shughuli zao za kidini!

Serikali za huku zimefanya kila njia kuyaokoa lkn wapi!
Waendao makanisani huku SIO WAZUNGU! bali ni wahamiaji km mimi WAAFRIKA!
Yaani hali ya Makanisa huku inasikitisha mno! Ukristo unakufa siku hadi siku!
Mpaka sasa najiuliza! NI kwanini hasa Ukristo unapotea fasta namna hii!? Na Uislamu unakuja juu fasta namna hio!??

Au nyie wenzangu hamyaoni hayo!??

Samahani kama nakukwaza kwa kutumia English but sometimes huwa nashindwa kujieleza kwa ufasaha bila ya kutumia English.

Back to the topic what really is the big deal?

Is Christianity fading-as you state- as a result of the Muslims buying the buildings and turning them into mosques?If so, has religion been reduced to the number of buildings that faith owns? If I do not go to church does that make me a lesser Christian?

Think bigger like I said before. The buildings were sold out of their own will. Its real estate like any other property.

Unaposema Serikali ya huko inafanya kila njia kuzuia hili ninakuwa na doubt kidogo. Why should the government intervene if the trade is legal? To whom do churches belong?
 
Mkuu ungetupa faraja sana kama ungetuwekea picha za hio miskiti ilio geuzwa magereza!
Maneno peke yake yanazidi kutuhuzunisha sisi tunaoona nyumba za yesu zinageuzwa sehemu ya kuoshea magari!

Kinachokutafuna ni udini tu and weakness of faith.

Would you rather zigeuzwe gesti?

Hivi umejaribu kujiuliza mfano by some act of nature makanisa yote yakumbwe mfano na Tsunami, would Christianity be destroyed too?
 
Mkuu mafuriko au vimbunga haviwezi kuimaliza imani ya Dini!

Lzm uone tofauti!
Haya makanisa yanauzwa kwa HIARI na sio kwa njia isio epukika!

Na uliza yyt anaeishi ulaya na America kwa ujumla waenda kanisani waliobaki ni WAZEE! na wahamiaji km mimi. Lkn Wazungu woote vijana wanao ABUDU ni Aidha wamesilimu na kuwa waislamu! Au utawakuta kwenye ma temple ya Budah na sehemu zingine!
Makanisa YANAKUFA kwa haraka sana!

Nakuuliza wewe! Je! Unadhani sababu kuu ni nini!??
 
Nashukuru kwanza kama umekubali hamna relationship kati ya majengo na ukuaji wa dini.

Kuhusu Uislam kukua well I can tell you one thing.

Kila mtu anaafata Imani anayoona it makes sense to them.

Nikikuuliza wewe kwanini ni Christian utajibu nini? Tuanzie hapo.
 
Samahani kama nakukwaza kwa kutumia English but sometimes huwa nashindwa kujieleza kwa ufasaha bila ya kutumia English.

Back to the topic what really is the big deal?

Is Christianity fading-as you state- as a result of the Muslims buying the buildings and turning them into mosques?If so, has religion been reduced to the number of buildings that faith owns? If I do not go to church does that make me a lesser Christian?

Think bigger like I said before. The buildings were sold out of their own will. Its real estate like any other property.

Unaposema Serikali ya huko inafanya kila njia kuzuia hili ninakuwa na doubt kidogo. Why should the government intervene if the trade is legal? To whom do churches belong?

Nasikitika kuona kuwa mwafrika km wewe unashindwa kujieleza bila kuweka lugha ya mkoloni!
Na mimi wala hunikwazi! Bali unalikwaza jukwaa letu LA KISWAHILI!

You choose to go that road! Its fine by me.

Any Faith on this planet is symbolised by ITS BUILDINGS!
Thats why In Switzerland the Government there decided to Ban Minarets for the MOSQUE! Because they say Switzerland is a symbol of Christianity! And if the Muslims put minarets in their Mosques then that Christian symbol will no longer be valid!

In regards to who OWN the churches!
Here in the west although churches belongs to Organisations outside Government but they are FULLY SUPPORTED BY THE GOVERNMENT.

And only recently the Minister of culture in the british parliament says that "if nothing gets done to encourage young people to go to the churches;, then Churches in Britain will be extinct in a very near future!

If the Christians looses there place of Worship! It's automatically looses its faith and the whole thing will be history!.
And that is the fact!

To have faith without a place of worship its like to have a president without the country!

Thats not going to happen!
 
Kwani hujui ni kwanini!!!

... Sababu yake ni ukweli na uhalisua wa kile kibacho abudiwa.

Huku kwetu kama kanisalako halina kwaya nzuri au hailiagui wachawi HUPATI WAUMINI
 
Name calling! Au unatafuta ban!?

wewe kahtaan umepigwa ban unatumia id hii halafu unambwelambwela eti name calling unajuwa maana ya name calling wewe?

kukata mauno kote nilifikiri utaenda kuganga njaa nchi za kiislamu kumbe umejipeleka kwenye nchi makafir utumwani.
 
Nasema hivi!
Huyo babako wa haramu kahtaan hajakufundisha adabu!
Mi namuomba mkuu THE BIG SHOW amsaidie! Manake we binti adabu zako zinapotea siku hadi siku!
 
Last edited by a moderator:
wewe kahtaan umepigwa ban unatumia id hii halafu unambwelambwela eti name calling unajuwa maana ya name calling wewe?

kukata mauno kote nilifikiri utaenda kuganga njaa nchi za kiislamu kumbe umejipeleka kwenye nchi makafir utumwani.

Huyo jamaa ni noma

Kwa uongo ni namba moja!
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom