Ishmael
JF-Expert Member
- Oct 18, 2011
- 15,039
- 6,018
Too bad that fellow wont be able to save the Churches frm being turn to car wash!
Last edited by a moderator:
Too bad that fellow wont be able to save the Churches frm being turn to car wash!
Schiendler aka MaxShimba aka Ishmael hapa tunataka kuokoa makanisa kuuzwa na kugeuzwa vilabu na Car wash!
kahtaan aka bill Cosby inapendeza sana mvaa kipedo ukipenda majina ya makafir.Schiendler aka MaxShimba aka Ishmael hapa tunataka kuokoa makanisa kuuzwa na kugeuzwa vilabu na Car wash!
We unatuletea habari za Syria!
Mbona kwenye Tv tunaona yote hayo!??
Haya ya makanisa kuuzwa huwa hawaonyeshi!
Sasa mi nilichofanya ni kuwapakulia tu!
We style zako za kizamaani!
Teh teh teh
Think big my friend.
Think of it as a mere building because at the end of the day that is what it really is.
What people do when they are there is what really matters.
God does not live in any of those buildings.
He lives in our hearts.
So when a building is turned into a car wash or whatever, our faith is not altered in any way.
Usisikitike sana.
Karusee nimeanzisha uzi kwa lugha ya kwetu!
Hebu tusichanganye madawa kwanza!
Halafu la pili ni kuwa huku ulaya ambako ndiko shina la Ukristo kila siku makanisa yanauzwa!
Tena kwa bei rahisi mno! Kiasi kwamba waislamu wanayanunua vibaya mno! Na mengine wameyageuza madrasa na sehemu za kufanyia shughuli zao za kidini!
Serikali za huku zimefanya kila njia kuyaokoa lkn wapi!
Waendao makanisani huku SIO WAZUNGU! bali ni wahamiaji km mimi WAAFRIKA!
Yaani hali ya Makanisa huku inasikitisha mno! Ukristo unakufa siku hadi siku!
Mpaka sasa najiuliza! NI kwanini hasa Ukristo unapotea fasta namna hii!? Na Uislamu unakuja juu fasta namna hio!??
Au nyie wenzangu hamyaoni hayo!??
Wamengoja wee yesu arudi mpaka leo harudi asa wafanyeje tena!?
Wale watakaovumilia mpaka mwisho Ndio watakaookoka.
kuokoka na nini?
Kuokoka na moto wa jehanamu
Kasome biblia
allah anakuongezea swawabu kwa kila tusi kwa kutimiza vyema sunna na hadithi za mtume na unakwenda moja kwa moja firdaus.
swali linabaki palepale dhiki zenu mbona hamuwendi nchi waarabu mnakimbilia kwa makafir?
allah anakuongezea swawabu kwa kila tusi kwa kutimiza vyema sunna na hadithi za mtume na unakwenda moja kwa moja firdaus.
swali linabaki palepale dhiki zenu mbona hamuwendi nchi waarabu mnakimbilia kwa makafir?