Kwanini makalio yao wanawake ndio kivutio zaid?

Laiti ungalijuwa kuwa na wanawake wengi huvutiwa na makalio ya wanaume, ungeanza kutafuta "mchina". Binafsi huvutiwa sana na huyatamani makalio ya wanaume.
Mh hapana aisee yale yakizidi kuwa makubwa kifanyio kinapungua ukubwa,so kwa mwanaume haifai yawe makubwa
 
FF utie kucha wapi? mmmhh

Jama nyie mnafikiri zile kucha tunazofuga basi kwa ajili ya kupaka rangi tu? khaaaa! unanchekesha, zile za kukunia na hakuna raha kukuna kama makalio na mgongo. Hivi wewe hujawahi kumwambia darling wako "darling nawashwa mgongoni, hebu nikune kidogo"? Basi ujuwe, watu wazima tukiambiwa hivyo hatuishii mgongoni pekee.
 
Nani alikwambia ukubwa una "matter", nakuomba chukuwa asali kwenye kidole halafu kishindilie kooni? halafu chukuwa tena ukinyonye kidole mdomoni? jibu utalopata utajaza mwenyewe.

Dah, bonge la meseji!
 
Nani alikwambia ukubwa una "matter", nakuomba chukuwa asali kwenye kidole halafu kishindilie kooni? halafu chukuwa tena ukinyonye kidole mdomoni? jibu utalopata utajaza mwenyewe.
FF,
Njoo umcheze binti yangu January mwakani anaolewa, waonekana kungwi mzuri!
 
nani alikwambia ukubwa una "matter", nakuomba chukuwa asali kwenye kidole halafu kishindilie kooni? Halafu chukuwa tena ukinyonye kidole mdomoni? Jibu utalopata utajaza mwenyewe.

hapo nina swali,hivi kipi kitakachopata utamu wa asali hapo,ni kidole ama ulimi na mdomo kiujumla?
 
ebwana ile kitu wakati wa style ya mbuzi kagoma kwenda ndio utaona utamu wake kama lipo round na kitu ndembendembe
 
Nani alikwambia ukubwa una "matter", nakuomba chukuwa asali kwenye kidole halafu kishindilie kooni? halafu chukuwa tena ukinyonye kidole mdomoni? jibu utalopata utajaza mwenyewe.

hahahaha nimeipenda hii unajua kufikirisha ningekupa like sema natumia mobile. Umetisha best
 
Mtoa hoja apaswa kuwa makini. Siyo kila makario ya mwanamke ni kivutio. Sijui kama makario ya mama yake au dada yake hata shemeji yake ni kivutio. Tia akilini jamani. I am just a philosopher.
 
Back
Top Bottom