Kwanini makalio yao wanawake ndio kivutio zaid? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini makalio yao wanawake ndio kivutio zaid?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Ndevu mbili, Dec 27, 2011.

 1. N

  Ndevu mbili JF-Expert Member

  #1
  Dec 27, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 382
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  kwenu waungwana!
  Kwan iwe hiyo sehem inawavutia wanaume wengi?
  Inawakilisha vitu gani?
   
 2. DEVINE

  DEVINE JF-Expert Member

  #2
  Dec 27, 2011
  Joined: Mar 11, 2011
  Messages: 539
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wezere!! Mnh cjui ila kwangu mimi cvutiwi na makalio,mie kwangu kiunoni 2
   
 3. Yegomasika

  Yegomasika JF-Expert Member

  #3
  Dec 27, 2011
  Joined: Mar 21, 2009
  Messages: 7,149
  Likes Received: 23,848
  Trophy Points: 280
  Subiri wenyewe wanaopenda hiyo sehem waje wakudandavulie!.
   
 4. N

  Ndevu mbili JF-Expert Member

  #4
  Dec 27, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 382
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  maana naona hata hapa jamaa mwanamke akishaanza kwenda wao ndio wanamwangalia kwa nyuma!
  Hii kitu yaumiza mawazo yangu sana!
   
 5. M-pesa

  M-pesa JF-Expert Member

  #5
  Dec 27, 2011
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 605
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Makalio yawe balanced hapo utapata raha kumwangalia mwanamke. Lakini yakiwa makubwa extremely kero, akiwa kama kapigwa pasi pia kero.
  Wadada msinichukie kwani naamini kunavitu huwa vina supplement hizo kasoro ndogondogo!
   
 6. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #6
  Dec 27, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  We jamaaa ukiona mwanamke mwenye mahips huwa hugeuki?
   
 7. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #7
  Dec 27, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,163
  Trophy Points: 280
  Laiti ungalijuwa kuwa na wanawake wengi huvutiwa na makalio ya wanaume, ungeanza kutafuta "mchina". Binafsi huvutiwa sana na huyatamani makalio ya wanaume.
   
 8. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #8
  Dec 27, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  hili ni kali zaidi duuu...
   
 9. M-pesa

  M-pesa JF-Expert Member

  #9
  Dec 27, 2011
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 605
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Una maana mwanaume kama Steven Wassira anakupagawisha sana?
   
 10. N

  Ndevu mbili JF-Expert Member

  #10
  Dec 27, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 382
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  yangu makubwa kiasi ya mwili wangu. Kwan nanyie wakina dada mnavutiwa kwa makalio?
  Au ndio uhuni wenu mnaanza?
   
 11. J

  JATELO1 JF-Expert Member

  #11
  Dec 27, 2011
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 1,235
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  ff mbavu sina
   
 12. Evarm

  Evarm JF-Expert Member

  #12
  Dec 27, 2011
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 1,500
  Likes Received: 186
  Trophy Points: 160
  Uwe nalo, huna ili mradi wajua mambo, ndio naridhika!
  Ila kuna wanaume wengine wanapenda makalio ya mbele ya wadada!
   
 13. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #13
  Dec 27, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,163
  Trophy Points: 280
  Gonga ka "like", mbavu huna kavukavu tu?
   
 14. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #14
  Dec 27, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,163
  Trophy Points: 280
  Hayaitwi hivyo wewe, muulize "mzee wa vitumbuwa" aka "The Boss" aka "El Basha".
   
 15. N

  Ndevu mbili JF-Expert Member

  #15
  Dec 27, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 382
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Ha ha ha ha umenfurahisha jion hii.
  Kumbe wakina dada wana makalio mbele? Hizo b.a.k.u.l.i zina ukubwa tafauti.
   
 16. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #16
  Dec 27, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 305
  Trophy Points: 160
  Kaazi kweli kweli

  mie napenda mahips.
   
 17. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #17
  Dec 27, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 305
  Trophy Points: 160
  hayupo, kaniweka msemaji kwa sasa

  siku hizi anapenda mandazi na bajia

   
 18. N

  Ninaweza JF-Expert Member

  #18
  Dec 27, 2011
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 7,188
  Likes Received: 1,190
  Trophy Points: 280
  Huyo ni kidume ww stuka!
   
 19. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #19
  Dec 27, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Hii bibi ni kinyume nyume
   
 20. Evarm

  Evarm JF-Expert Member

  #20
  Dec 27, 2011
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 1,500
  Likes Received: 186
  Trophy Points: 160
  Asante kwa kunijuza ngoja nimtafute huyo "mzee wa Vitumbuwa" anihabarishe vizuri!
   
Loading...