Kwanini maisha ni Ubatili?

Better iwe mwisho kuliko nafsi kuteseka ,miaka michache ijayo kutakuwa na maroboti tunaishi nao ... Binadamu atakosa hata kazi ,hizo biashara zitakuwa ngumu zaidi ... Ukifuatilia tu hasa Africa kila kukicha umaskini unaongezea; ile elimu iliyokuwa mkombozi haipo sasa, watu wanakufa hovyo kwenye ajali kila siku.
 
Well Said , Nakuelewa sana

Swali langu la mwisho haujanijibu mkuu ?!?
 
Assume wanaozaliwa na HIV, sickle na Asthma automatically wameanza na tatizo dunia, na wengine ni wale kutoka familia maskini.

Tunakuwa na malengo kibao ila ni ubatili kama vile tunapoteza muda tu ili tuje kufa...Mtu anazaa mtoto mwenyewe , mtoto akija kufa anapata maumivu ya milele : sasa hauoni kama anajitengenezea maumivu mwenyewe 😅😅
 
Hakika huu ni ubatili Mkuu, anashukuru kwa kutokufa wakati lazima tu atakufa. Anavyoshukuru ni kama hatokuja kufa tena.
Kuna muda ukitafuta maana halisi ya haya maisha unagundua hata maana yenyewe haina maana kwasababu hiyo maana haitodumu kwamaana utakufa na kuiacha,so hakuna maana.
 
🤣😂, Unaweza ukakuta anayemshukuru mungu kwa kutotokwa na uhai kapoteza mikono, miguu au viungo vingine, jambo ambalo linafanya maisha yazidi kuwa magumu zaidi.
 
Ni kweli lkn nani asiyependa kula vzr, kuvaa vzr, kulala sehemu nzuri yaani upate zile basic needs katika kiwango unachoona inafaa ??? Hakuna hakuna na hatatokea

Ni kweli maisha ni ubatili lakini maisha ni mazuri Sana haya ukifanikiwa kuelewa namna ya kuyaishi, cc secretarybird
 
Halafu kuna mipumbavu ambaye hata kula yake ni shida bado anatombatomba hovyo na uendelea kuleta viumbe wengine waje kuteseka kwenye huu ubatili mtupu

 
Halafu kuna mipumbavu ambaye hata kula yake ni shida bado anatombatomba hovyo na uendelea kuleta viumbe wengine waje kuteseka kwenye huu ubatili mtupu

View attachment 3368786
😁mkuu Mbona makasilikoo unajua Tanzania ni under populated.

Acha watu wenye uwezo wa kuzaa na kuzalisha waifanye kazi ya bwana

Woteeee tuseme Amina 🙏 🙏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…