Kwanini maisha ni Ubatili?

Ikiwa afanyacho mtu kinaingilia mpangalio wa shughuli za vitu vingine, maana yake maisha ni ubatili.
 
Kiufupi haya maisha kama huna mtoto au wazazi wanaokutegemea usishangae usipoona thamani ya Uhai au kuishi maana vingine vyote ikiwepo mali tunazotesekea ni UPUUZI MTUPU yani mwisho wetu ni mauti ndo reward ya uhakika katika hustle zetu zote thats why matajiri huwa hawaoni shida kugawa kiasi kikubwa cha utajiri kwa maskini vyote utaviacha na unaondoka FUVU.
 
Lakini hata wao mwisho wao ni mauti tu lakini binadamu wachache sana hasa wenye madaraka huwa wanaliona hilo..tamaa ni kubwa sana juu ya mali na vyeo.
 
Indeed ni ubatili Kwa kweli
 
Maisha yanakuwa ubatili kama unajilisha upepo. Lakini kwa wengine, maisha yana maana.
Still ni ubatili cuz hawato kiepuka kifo magonjwa na mateso mbali mbali ktk maisha yao
 
Kuishi ni utapeli ni meaningless
 
Aisee !!! Nakubaliana na huo ukweli kwamba maisha ni ubatili but naomba kuuliza iwapo binaadamu wataacha kuzaliana sindio utakuwa mwisho wa uwepo wa binaadamu duniani na vipi kuhusu kuumbwa kwetu lengo haswaa lilikuwa ni nini !? Au ndio tuli kuwa cron na annunak ili tuje kukamilisha mission zao !?
 
Umeongea mengi yana maana but still umeshindwa kutetea hoja yako inayo Pinga kuwa maisha ni ubatili


Still maisha ni ubatili cuz yana mambo mengi yenye kuumiza hata ukiwa umefanikiwa kiuchumi kiasi gani bado jinamizi la maumivu haliwezi kukuacha , na maisha yana create maumivu ktk nafasi nyingi sana ,

Na mwisho wa Yale yote inayo yapigania lazima utakuja kuyapoteza ama kuyaacha so maisha ni ubatili mtupu
 
Ni Mambo ya hovyo sana kwa kweli na kwanini palikuwa na hii mechanism ya kuzaliwa pasipo kumshirikisha mzaliwa

Imagine mtu ana zaliwa halafu anakuja duniani mara anaanza kuumwa cancer mara Figo zimefeli mara kapata ajali kakatwa miguu na mikono mara sijui kafilisika mara kafukuzwa kazi , maisha ni us**nge mtupu kmmk ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ



Ni ubatili sana Kwa kweli assume maisha ya watu wa Palestine na Ukraine the yalivyo !!! Hapo ndio utaelewa kwamba kuishi ni ubatili
 
๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜†๐Ÿ˜† Yaani ninecheka kama mazuri vile , bad enough huyo mwabasiasa na yeye anakuja kufa na kuyaacha Yale yote Aliyo kuwa anayapigania , maisha ni ubatili for sure 100%
 
Exactly ๐Ÿ’ฏ..Mfano mzuri mzuri Putin...anakomaa hataki vita isimame wakati yeye kavaa suti katulia ikulu....hao underprivileged ndio wapo front wakiumia kwa kivuli cha kiapo....
Hakika ni ubatili...
So sad
 
Basi ubatili wenyewe ndio huu,kama una "Fight to stay alive",then unakufa. Kunakua na umuhimu gani wa kupambania kuishi wakati lazima ufe?
๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†

Nimecheka sana hoja yako nzito mnooo

Sasa katika mambo ambayo huwaga siyaelewi unakuta inatokea Kuna mtu Amenusurika Kupata ajali Au amepata ajali halafu hajafa --- Halafu anasema anamshukuru mungu hajafa Wakati huo huo anashukuru kuwa hajafa Wakati ipo siku lazima atakufa tu , kuna haja gani sasa ya kushukuru wakati kifo huwezi kukiepuka na nilazima uje kufa !!!!

Kuishi ni ubatili Kwa kweli
 
Naona wengi tunapata tabu sana kuhsu kufahamu lengo halisi la sisi kuletwa duniani,ila ndg zangu kwa yeyote anaehtaji kufahamu lengo la kuletwa kwake Hapa Duniani Basi namsihi atenge muda asome kitabu Cha Quran tukufu,kitabu kinachosomwa na waislam.
Quran imetoa majibu yote Khs Kwann sisi tupo Hapa duniani.
Moja ya mistari inayoelezea Hilo ni Hapa Mungu muumbaji aliposema ktk Quran kwamba "HATUKUUMBA MAJINI NA WATU ILA WAPATE KUNIABUDU"....Hapa Kwenye "KUNIABUDU" ndipo unahitajika kuipata elimu yake na hapo ndipo lilipo jibu la Haya yote tunayojadili hapa ikiwemo Hili neno "PUMBAO LA DUNIA"
Someni Quran ndg zangu Mungu ameweka majbu yote hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ