Linayasoma mawazo Yako na kuyahifadhiHili dude linarecord mazungumzo siku ukirudi linaanzia mlipoishia π
Kwahiyo tufe ss si ndioπBinadamu hawezi kuwa na akili timamu kwa sababu ni mtumwa wa maisha bila ya maamuzi yake ,utaona akaza kupambana ila hajui anapambania nn ? Kiuhalisia kuzaa na maisha kwa ujumla ni upatu na utapeli mkubwa kuwahi kutokea.
Baadhi ya wanafalsafa na great thinkers wa awali kabisa walichunguza wakaona kuishi ni utapeli ...
Linasoma maandishi sio mawazo...Linayasoma mawazo Yako na kuyahifadhi
Kwahiyo tufe ss si ndioπ
Existence ya viumbe wote hai Dunia inategemea KUZALIANA...... Binadamu wakikoma kuzaliana watapotea kwenye uso wa Dunia......Hii ni siri kubwa hasa kuzaliana kama ukitambua ,watu wa zamani hata waafrika walitaka kuzaliana ili wafalme waendelee kupanua himaya zao ..Hao wafalme walikuwa mstari wa mbele kuhamasisha ; walioa wake wengi na kuzaa sana ili kuongea ukubwa wa tawala zao.
Hii ni siri binadamu wamefumbwa bila ya kujijua ,siku zote binadamu anafurahi anapokuwa juu ya mwingine si kwa mali ,elimu ,madaraka ,wala idadi ya watoto..
Leo hii Musk anahamasisha watu wazaliane ili azidi kuongoza watu wengi ,anajihisi fahari kuwa tajiri mkubwa ...Hata leo utaona binadamu mafanikio yake hinafsi yanamtesa ;atataka kupost nyumba aliyojenga ,gari alilonunua ,mtoto aliyezaa mwenyewe ili kujionesha kwamba yuko juu ya wengine...
Maisha ni ubatili mtupu tena uthenge fulani.
Ume panic huyu jomba yupo sawa " maisha ni ubatiliUsitutishe! Bandiko lako ni ubatili mtupu..maisha ni yako!
Ni vile umedanganywa ila kufa ni jambo zuri tuLinayasoma mawazo Yako na kuyahifadhi
Kwahiyo tufe ss si ndioπ
Hauoni kama ni ubatili tena utapatu kabisa , just assume wewe unajua kama utakufa kwa akili ya kawaida ila haujui utakufa lini?Existence ya viumbe wote hai Dunia inategemea KUZALIANA...... Binadamu wakikoma kuzaliana watapotea kwenye uso wa Dunia......
Ndio maana Kuna sababu kwanini Sex(reproduction) is so pleasurable ili kuchochea kuzaliana
Viumbe wote ni GREED na SELFISH, kila mmoja anataka kuwa na HUHAKIKA wa kupata mahitaji ya kushibisha nafsi yake kwanza...... hii ndio NATURE ya viumbe wote
Ndio maana watu wote TUNACHUANA kuwa kwenye NAFASI ya kuwa na UHAKIKA wa kukidhi matakwa ya nafsi zetu.
LIFE is about
Be born
Fight to stay alive
Then die
Ukiijua hii CODE huwezi kusema maisha ni ubatili
Kwanza watu watasukumwa na UTAMU wa kujamiiana, itafuata Mimba kisha Mtoto..... Kuna sababu kwanini viumbe vingi vya kike vinakua so protective kwa vichanga vyao
Kwasababu vichanga vikifa hakuna MUENDELEZO
Baada ya kukua unatakiwa upambane kuishi..... nothing given for granted.....
Hapa ndio uta pambanua maisha yako utakayo fanikiwa kuishi yatakua ya namna gani
Baada ya hapo YOU DIE......
Sasa KUFA isiwe ndio sababu ya kuona maisha ni UBATILI
Hata ukizaliwa ukafa na siku moja...... utakua tayari ume play part yako
Hii comment yako imenikumbusha kibao cha Lucky Dube- Born to suffer.Swali lako ni muhimu mkuu sema kwa upande wangu namaanisha ni kitu kisicho na faida bali hasara
Yani tungekua na chaguzi za kuzaliwa ungekuta dunia haina watu... Hakuna sababu ya kuzaliwa alafu tuishi maisha haya kwa mwenye kufikiri kwa undani
Hebu rudiarudia kusoma haya maelezo yako utoe tafakuri mpya.Ukiijua hii CODE huwezi kusema maisha ni ubatili
Kwanza watu watasukumwa na UTAMU wa kujamiiana, itafuata Mimba kisha Mtoto..... Kuna sababu kwanini viumbe vingi vya kike vinakua so protective kwa vichanga vyao
Kwasababu vichanga vikifa hakuna MUENDELEZO
Baada ya kukua unatakiwa upambane kuishi..... nothing given for granted.....
Hapa ndio uta pambanua maisha yako utakayo fanikiwa kuishi yatakua ya namna gani
Komenti zako huwa zina madini na maarifa mengi sana kwenye mambo mengi sana...πUmenikumbusha kitabu kimoja nilikuwa nakisoma miezi michache iliyopita. Kinaitwa "The Human Predicament : A Candid Guide To Life's Biggest Questions" cha David Benatar. Nime attach PDF file hapo chini.
View attachment 3338238
Kitabu hiki kimeongelea mada hizi kwa utaalamu mkubwa na falsafa, nilikuwa nakisoma mpaka nataka kukiacha kwa maana kinaonesha maisha yalivyo mzigo tuliotwekwa bila kutaka ambao hata kuutua tunatakuwa tuutue bila kutaka.
Warning, this book may trigger suicide ideation.
Kwenye cover wameandika.
Are our lives meaningful, or meaningless? Is our inevitable death a bad thing? Would immortality be an improvement? Would it be better, all things considered, to hasten our deaths by suicide? Many people ask these big questions -- and some people are plagued by them. Surprisingly, analytic philosophers have said relatively little about these important questions about the meaning of life. When they have tackled the big questions, they have tended, like popular writers, to offer comforting, optimistic answers. The Human Predicament invites readers to take a clear-eyed and unfettered view of the human condition.
David Benatar here offers a substantial, but not unmitigated, pessimism about the central questions of human existence. He argues that while our lives can have some meaning, we are ultimately the insignificant beings that we fear we might be. He maintains that the quality of life, although less bad for some than for others, leaves much to be desired in even the best cases. Worse, death is generally not a solution; in fact, it exacerbates rather than mitigates our cosmic meaninglessness. While it can release us from suffering, it imposes another cost - annihilation. This state of affairs has nuanced implications for how we should think about many things, including immortality and suicide, and how we should think about the possibility of deeper meaning in our lives. Ultimately, this thoughtful, provocative, and deeply candid treatment of life's big questions will interest anyone who has contemplated why we are here, and what the answer means for how we should live.
Asante sana mkuu.Komenti zako huwa zina madini na maarifa mengi sana kwenye mambo mengi sana...π
Whenever I see your comment, I pause scrolling down to get food for thought.
Jamaa kaandika kwa upole sana wala hakutishi
Kichwa kama babayakoUme panic huyu jomba yupo sawa " maisha ni ubatili
Mkuu hujanijibu maswali yangu lakiniTafuta maana yako uishi nayo
"Jogoo Hatembei Na Vifaranga"Ndio, ni ubatili mtupu.
Futuhii
Ukiwa mjinga utayafurahia ila ukiwa mwerevu na mwenye kuchunguza kwa mapana utajua ubatili wake kisha utateseka.
Ukitambua hili wakati hujapata watoto hatokubali kamwe kuleta watoto duniani. Kwa nini?
Kwasababu hamna maana yoyote umpate mtoto wako mpendwa kisha aje azunguke duara ulilozunguka alafu aishie
Uwe masikini au tajiri mkubwa mwenye hadi jeshi binafsi, utagundua maisha hayana maana kwa yeyote sababu utaishi kisha utaishia
Hakuna mwanadamu timamu atakaekubali kuzaa!
Ukiona mwenye hekima ambaye ana uzao wake katika dunia hii, basi elewa alipata uzao kabla hajaipata hekima au alitegeshewa.
Ubatili mtupu
Hapa Kuna hoja.Ndio, ni ubatili mtupu.
Futuhii
Ukiwa mjinga utayafurahia ila ukiwa mwerevu na mwenye kuchunguza kwa mapana utajua ubatili wake kisha utateseka.
Ukitambua hili wakati hujapata watoto hatokubali kamwe kuleta watoto duniani. Kwa nini?
Kwasababu hamna maana yoyote umpate mtoto wako mpendwa kisha aje azunguke duara ulilozunguka alafu aishie
Uwe masikini au tajiri mkubwa mwenye hadi jeshi binafsi, utagundua maisha hayana maana kwa yeyote sababu utaishi kisha utaishia
Hakuna mwanadamu timamu atakaekubali kuzaa!
Ukiona mwenye hekima ambaye ana uzao wake katika dunia hii, basi elewa alipata uzao kabla hajaipata hekima au alitegeshewa.
Ubatili mtupu
Exactly π―..Mfano mzuri mzuri Putin...anakomaa hataki vita isimame wakati yeye kavaa suti katulia ikulu....hao underprivileged ndio wapo front wakiumia kwa kivuli cha kiapo....Maisha ni ubatili .
Mfano Mwanasiasa anaanzisha VITA anapeleka wanajeshi vitani na wanakufa wakifa wanaitwa mashujaa Ila yeye hakubali kuuliwa au kufa kifo kibaya .
So maisha yapo ili kuyaishi ila Watu wachache wameamua kwa makusudi kujipatia Faida kupitia watu wengine wenye ufahamu mdogo.
Maisha tunayapa maana sisi wenyewe hivyo yape maana unayotaka wewMkuu hujanijibu maswali yangu lakini
Maisha tunayapa maana sisi wenyewe hivyo yape maana unayotaka wew