Galacha Maestro
JF-Expert Member
- Sep 29, 2011
- 1,353
- 2,231
- Thread starter
- #21
Asante kwa maoni yako.ndoa ndoa ndoa...ukiwa kwenye ndoa ndio utajua wapi ulichemsha......ukiwa nje katu hutojua, unabahatisha tuu.
Asante kwa maoni yako.ndoa ndoa ndoa...ukiwa kwenye ndoa ndio utajua wapi ulichemsha......ukiwa nje katu hutojua, unabahatisha tuu.
Pamoja galacha maestro matatizo ni mengi ulimbukeni kwa pande zote kama safari ya kambale wote wana ndevu aaah ni kumuomba mungu .Asante kwa maoni yako.
Sana rafiki yanguu. Mungu ndio kila kitu.Pamoja galacha maestro matatizo ni mengi ulimbukeni kwa pande zote kama safari ya kambale wote wana ndevu aaah ni kumuomba mungu .
Asante kwa mawazo mazurii sanaa.. ila kila jambo linawezekana ni kijipanga.Wakijiuliza maswali hayo uliyoyainisha wabongo na kuyafanyia kazi nahamia MARS! Hatutaki kufikiri beyond tunataka kuona vile tunavyotaka tuone tu,halafu reality iki-take its place tunaanza kulaumu na kutafuta chanzo! Vyanzo ni sisi wenyewe,tubadilike kifikra na kimatendo pia. Tusikurupukie tu ndoa!
Asante kwa maneno mazuri.Maisha yamekuwa maigizo hizo ndoa zitadumu vipi?wazee wetu walifanya further investigation na kujiridhisha sisi upembuzi yakinifu umebakia penye projects za kupiga hela tu.Watu mnakutana billz au Serena baada ya siku 3 mnatutembezea kadi za michango na harusi mnataka mtokee front page ya magazeti yote ya UDAKU unadhani itasimama hiyo ndoa?achilia mbali Beijing na ubrothermen mwingi niambie hiyo ndoa inawezaje kudumu?
TrueAsante kwa mawazo mazurii sanaa.. ila kila jambo linawezekana ni kijipanga.
Asante kwa mawazo mazuri.Kuolewa/kuoa kwa vile rafiki.,ndugu wameolewa.......achilia mbali muda.umekwenda anayekuja sukuma twende liwalo na liwe huko baadaye.....ndio maisha ya ndoa yaliyopo sasa....
Hahaha! Apo kwenye kutonywa ni balaa inaweza biaashara ikaisha apoapo kuna watu nuksiNakubaliana na wewe mkuu kwa asilimia zote,watu wanafikiria Ndoa ni lele mama,mie ningejua mwanzo Ndoa ikoje mbona ningesema basi staki tena,kama hukujikaza wallah hukai hata miezi 6,manake baada ya ndoa tuu ndio ma buzi ndio yatakua mengi mpaka unajiuliza jamani mlikua wapi mwanzo,kwa upande wa mume nae Totoz wanajileta mpaka unasikia kichefuchefu,upande wa pili kuna ma wifi na na mashemeji wana midomo na maneno makali utadhani wao hawana watoto au hawana mume/mke, lakini chamsingi bora hizo hela za mchango ukalipie japo kodi ya nyumba na usitake harusi kubwa
kwanza hapo kwenye harusi unaweza ukapa mtu akakutonya "yule alovaa nguo ya red anaecheza sana ndio mwanamke wake
na yeye ndio kamualika aje akuone tena kaja na wapambe wake wakuthamini kama unamfikia uzuri" hapo bi harusi picha lazima zitoke kama analia...
Umeona eeeeh! Binadamu wengine nuksi huko kote hawajasema pale ndio wanapokutia jiti la Roho ukatamani kufa..Hahaha! Apo kwenye kutonywa ni balaa inaweza biaashara ikaisha apoapo kuna watu nuksi