Kwanini Magufuli hawezi kuwa na mafanikio

Kwanini Magufuli hawezi kuwa na mafanikio

nlkuwa na hope juu ya jpm,...sahv ni hopless,...sioni jipya/...........hana jipya
 
Umeambiwa Roma haikujengwa kwa siku moja. Uwe na subira na uishi kwa matumaini usikate tamaa mapema hivi!

..kwani roma ilijengwa kwa muda gani? mimi sina tatizo kusubiri, lakini lazima at some point lazima tupime mafanikio na mapungufu ya uongozi wa awamu ya 5.
 
What about halfway?

..good.

..at least wewe unatoa majibu yasiyo ya mkato.

..sasa kwanini unadhani tumpime half way thr' his first term.

..pia ni maeneo gani ambayo unapendekeza tuyapime, na kwanini?
 
Lucifer ana msimano (consistency)..ninyi hamueleweki.....CCM wote hawafai ni akili ndogo mara mnaazima akili ndogo kuwasaidia kuingia ikulu.....

kwa mtindo wa kibabe na zima moto,JPM anacheza ngoma ya kitoto,namkubali kwa misimamo,na anachooaini hadadiriki.lakini kuendesha ni maono na mfumo endelevu ,kiasi kwamba kumudu kutenda anayoaamini oazima ya jengwe na mfumo uliasisiwa na kulelewa na jamii yote lakini si huu ubabe wa mari za kamatakamata ,haziwezi kufanikiwa.Kwa sasa,ningemwona anaioenda nchi yetu kuanzisha kwa dhati katiba ya warioba,ingemsaidia sana ,ambaho chama chake hakiitaki,pili kutumbua majipu pekee bila mfumo sahihi wenye kutenda haki kwa umma wote,bila kuwa double standard kwa chama chake,pai ni kucheza ngoma ya kitoto,sheria zilizopo nyingi ni mbovu ziko kiccm,angeanza mchakato wa kuziondoa kujenga nchi yenye haki na usawa na isiho na manung'uniko.
 
..OK.

..tusubiri kwa muda gani?

..when do you think itakuwa wakati muwafaka/sahihi kuanza kumpima Raisi wetu kama anafanikiwa au anaboronga?
we ulitaka Tanzania ya Magufuli mpaka saivi iwe imeshafanya kipi ndo useme kuna maendeleo???
 
levo za uelewa kama huu ni kujadili urais kama wa malinzi, ama wa mukoba.. urais wa nchi weka mbali kabisa na wewe
Nimekupuuza kwa kuwa una akili za mende.
Nimefuatilia unachoandika unaonyesha ulivyo na akili za matege.
 
Mtakie mema tu kwa sasa bado ni mapema kuhukumu mafanikio yake ili mradi ume ukubali utendaji wake basi vuta subira.
 
Soma kwanza historia za nchi zilizo endelea ambao walikua maskini hapo awali ndio utapata majibu. Tatizo la watanzania ni wavivu wa kusoma na kutafuta njia badala ni mahodari wa kuandika na kulalamika.
Ebu jiulize katika historia yako ndogo uliokuanayo je ilisha wahi kutokea kazi na mwendo kama huu hapa tanzania? Hata afrika nzima ukiacha afrika kusini? Leo hii mnawekewa kila kitu wazi, hadi mapato na matumizi ya kodi lakini bado tunalalamina. Au bora basi Magufuli nae angejilia zake tu kwa mrija ndio mgefurahi. Uwazi upo kwamba serikali zilizopita ziliadhiri nchi sana
Samahani kwa kukukatisha,

Hiyo kasi ambayo haijawahi tokea tangu Uhuru na afrika nzima ni IPI? Ni hii ya kubadili sura za watu au?
 
Tatizo la nyie ccm hamfikiri. Chama ndicho kinafikiri hakuna independent thinking
 
Tatizo lako kama ilivyo kwa wapinzani wengiwao ni haraka. Roma haikujengwa kwa siku moja. Amekuta hali mbaya na anatengeneza mazingira rafiki ili aweze kutimiza aliyoahidi. Tulieni kinyozi afanye kazi yake. Tutapendeza tu. Mpeni muda.
Hadi ataondoka
 
Habari wanaJamii,

Mafanikio katika kazi na maisha mara nyingi hayaji kwa kusema tu,bali kuingia kazini na kufanya kazi kwa akili na nguvu zote.Mafanikio baina ya watu au kitu hayawezi kulinganishwa,bali tunaweza kuangalia hatua na mwelekeo wa jambo hilo kutokana na kuwa tumetofautiana katika mafikiri,maono,resources na hata wale wanaokuzunguka.

Katika uongozi wa nchi,mafanikio hayaji kwa maamuzi ya raisi mwneye bali ushawishi wake kwa kile anachoamini akishirikiana na washauri na wataalumu katika ujuzi wa jambo.

Kwanini nasema Magufuli hawezi kufanikiwa?Awali,ikumbukwe mimi napenda kazi anazofanya raisi katika kupunguza matumizi,rushwa nk.Lakini je akimaliza awamu yake yeye,Tanzania haiwezi kurudi kwenyewe pale alipokuta?

Lazima tukubaliane kuwa sasa ni wakati wa kwenda mbele.Vietnam,south korea na nchi nyingi zilizotuacha, hazjafika hapo kwa maneno na siasa.Wamefika hapo kwa kujituma na kufanya kazi lakini kubwa Zaidi ni mfumo thabiti na sheria zilizotungwa kunufaisha nchi.

Hii leo,wako wanaopinga katiba ya warioba ambayo imeelezea na wananchi wameafiki.Tumekuwa tukitunga sheria za kuwanufaisha wakubwa na wale wanaofanya kazi serikalini;huu ni wakati wa wananchi watanzania kufaidika na kuwa na fahari na nchi yao.

Namshauri raisi kwanza aangalie mzigo na utitiri wa viongozi wandamizi kwenye serikali yake.Ukuu wa wilaya,mkoa na vyeo vingi wasomaji mnavijua.

Rais Magufuli bado anaamini kuwa anaweza kuongoza nchi kwa njia zile zile watanguliz wake walipopita na tukafanikiwa,hili naliona ni usingizi wa mchana.

Namshari raisi Magufuli awe kama maraisi waliotokea na kuunda mifumo, mfano,raisi wa marekani Raisi Roosevelt,Reagan na weingine ambao ndio walioweka misingi mikuu ya taifa la marekani na kuwafikisha hapo waliopo.Magufuli,anahitaji kuwa na maono hata kama uraisi ni wakupewa.

Lazima ifike wakati tuwe na maono na ndoto ni wapi tunataka kwenda,huku tukikumbuka wapi tunatoka.Raisi usiwe mwoga kufanya maamuzi na mapinduzi ya uchumi.Kwa mwendo huu na yale unayoaamini,na kasi hii uliyoipa jina "Hapa Kazi tu" ni sawa na usingizi wa mchana wa maskini aliyeshiba ugali na maharagwe.

Haijalishi hata kama mnge mweka Yesu mwenye awe Raisi, sababu ya nchi kutokuendelea hamja itatua. Tatizo liko kwenye economic policies, na katiba za haki. Katiba, kanuni au sheria, vyovyote mnavyo iita, ilijengwa na Raisi aliyedanganywa na macomunist wa kichina na masocialist wa kirusi. Akaweka sheria ambazo mpaka leo zina zuwia biashara kukuwa, zinafukuza investors, zina haribu sekta binafsi, zina pandisha kodi, zinanyima haki ya kumiliki mali, vitu ambavyo vinahitajika ili uchumi ukuwe. Mpaka tupate mwanauchumi aliyesoma uchumu wa soko lenye uhuru Yani (free market economics) then hatuendi popote. Hata mkitoa corruption yote, hata mkikamata majambazi wote, hata mkitoa helimu mpaka chuo kwa bure, hatuta fika.
 
Ukitazama mfumo wa nchi yetu na jinsi nchi ilivyooza ni dhahiri kuwa tunahitaji mageuzi makubwa sana ya kiutawala......tunahitaji mageuzi makubwa sana katika sheria na adhabu dhidi ya wezi wa mali za umma....
Haya yanayofanyika sasa hayana tofauti na maigizo na dhihaka kwa Watanzania.....kwani kwa kila mwenye macho haoni nuru huko mbele zaidi ya giza.....

Kwa jinsi raisi anavyokumbana na majipu ni ishara kuwa taifa lilikuwa katika hali mbaya kimaadili yaani kulikuwa hakuna msafi wa kujiita msafi.....lakini kwa ukawaida kabla ya kushughulika na matokeo unatakiwa uhangaike na chanzo ambacho ndio kimeleta hayo matokeo......kinachofanya werevu wawe na mashaka na bwana mkubwa ni kuhangaishwa kwake mno na matokeo badala ya kuangamiza chanzo cha uozo uliopo serikalini.....
 
Mkuu yule kwa tukio lile amevuka viwango vya ufisadi....yule ni MAFIOSO....
ila si umlimsikia magufuli alivyo msifia wakati wa uzinduzi wa Kinyerezi II?Kwamba eti amemteua Muhongo kuwa nyamaazisha wale wapinzani wake,wale walio kuwa wamelishikia bango swala la IPTL!Sasa,kama huyu akili zina chaji,hata kama ni kweli,hii kauli ilikuwa ni kuitoa mbele ya hadhara?aya mambo si asinge ya weka sirini mwake ya kabaki umo?kwa hio ni mambo mangapi ataharibu kisa tu,awakomoe wapinzani?kwa hio atateua ata wabovu ili kutukomoa?
 
ni kwel kabisa mkuu
mtu anaye teua watu wabovu,eti lengo kuwa nyamazisha wapinzani,atafanikiwa kweli?kwa hio miaka hii mitano itakuwa ni kutea teuzi za kuwapga pini wapinzani tu?maendeleo tutafanya lini?
 
Binafsi sioni kama kutumbua majipu ndo solution!
bali ni kuweka mikakati ya ya nchi yenye mwelekeo,ikiwa ni pamoja na kuweka sera zenye uwezo wa kutekelezeka.
 
Binafsi sioni kama kutumbua majipu ndo solution!
bali ni kuweka mikakati ya ya nchi yenye mwelekeo,ikiwa ni pamoja na kuweka sera zenye uwezo wa kutekelezeka.
hana sera na hajui pakuanzia!elimu bure ni sera aliyo ikopi na kuipesti kutoka upinzani,aliiba wazo ila akasahau kuwaibia na machinery ya utekelezaji wake!dhana ya kutumbua jipu aliiropoka tu,ila leo imekuwa ndio ajenda kuu na sera kuu ya magufuli,juzi kateua wakuu wa mikoa,napo akaropoka kuwa ma r.c watie ndani ma v.e.o na ma w.e.o wanao sumbua wananchi,na kuanzia nahc ndio sera yake ya tatu ukiacha elimu bure,utumbuaji majipu na na sasa ya kutia ndani watendaji na pia kukataza pool table
 
Habari wanaJamii,

Mafanikio katika kazi na maisha mara nyingi hayaji kwa kusema tu,bali kuingia kazini na kufanya kazi kwa akili na nguvu zote.Mafanikio baina ya watu au kitu hayawezi kulinganishwa,bali tunaweza kuangalia hatua na mwelekeo wa jambo hilo kutokana na kuwa tumetofautiana katika mafikiri,maono,resources na hata wale wanaokuzunguka.

Katika uongozi wa nchi,mafanikio hayaji kwa maamuzi ya raisi mwneye bali ushawishi wake kwa kile anachoamini akishirikiana na washauri na wataalumu katika ujuzi wa jambo.

Kwanini nasema Magufuli hawezi kufanikiwa?Awali,ikumbukwe mimi napenda kazi anazofanya raisi katika kupunguza matumizi,rushwa nk.Lakini je akimaliza awamu yake yeye,Tanzania haiwezi kurudi kwenyewe pale alipokuta?

Lazima tukubaliane kuwa sasa ni wakati wa kwenda mbele.Vietnam,south korea na nchi nyingi zilizotuacha, hazjafika hapo kwa maneno na siasa.Wamefika hapo kwa kujituma na kufanya kazi lakini kubwa Zaidi ni mfumo thabiti na sheria zilizotungwa kunufaisha nchi.

Hii leo,wako wanaopinga katiba ya warioba ambayo imeelezea na wananchi wameafiki.Tumekuwa tukitunga sheria za kuwanufaisha wakubwa na wale wanaofanya kazi serikalini;huu ni wakati wa wananchi watanzania kufaidika na kuwa na fahari na nchi yao.

Namshauri raisi kwanza aangalie mzigo na utitiri wa viongozi wandamizi kwenye serikali yake.Ukuu wa wilaya,mkoa na vyeo vingi wasomaji mnavijua.

Rais Magufuli bado anaamini kuwa anaweza kuongoza nchi kwa njia zile zile watanguliz wake walipopita na tukafanikiwa,hili naliona ni usingizi wa mchana.

Namshari raisi Magufuli awe kama maraisi waliotokea na kuunda mifumo, mfano,raisi wa marekani Raisi Roosevelt,Reagan na weingine ambao ndio walioweka misingi mikuu ya taifa la marekani na kuwafikisha hapo waliopo.Magufuli,anahitaji kuwa na maono hata kama uraisi ni wakupewa.

Lazima ifike wakati tuwe na maono na ndoto ni wapi tunataka kwenda,huku tukikumbuka wapi tunatoka.Raisi usiwe mwoga kufanya maamuzi na mapinduzi ya uchumi.Kwa mwendo huu na yale unayoaamini,na kasi hii uliyoipa jina "Hapa Kazi tu" ni sawa na usingizi wa mchana wa maskini aliyeshiba ugali na maharagwe.

Go back to the drawing board; mpiga ramli wako kakuingiza chaka!
 
Back
Top Bottom