Nadhan iliishia humu humu jf! Polisi wako zanzibar, Takukuru mpaka waagizwe, bunge wote CCM, waandishi wao wanaripoti tu ila sio wafuatiliaji, wananchi sisi kushabikia tu, Rais yeye ndie anayejua kila kitu!Hivi ile ishu ya MAKAMBA iliishia wapi?
Nadhan iliishia humu humu jf! Polisi wako zanzibar, Takukuru mpaka waagizwe, bunge wote CCM, waandishi wao wanaripoti tu ila sio wafuatiliaji, wananchi sisi kushabikia tu, Rais yeye ndie anayejua kila kitu!Hivi ile ishu ya MAKAMBA iliishia wapi?
Daaah!!! Kazi kweli hivi kunakupona katika awamu hii?!Nadhan iliishia humu humu jf! Polisi wako zanzibar, Takukuru mpaka waagizwe, bunge wote CCM, waandishi wao wanaripoti tu ila sio wafuatiliaji, wananchi sisi kushabikia tu, Rais yeye ndie anayejua kila kitu!
nyie pres. wenu ni lile zezeta,,, hayo maswali yenu yote liulizeni liwajibu....OK.
..tusubiri kwa muda gani?
..when do you think itakuwa wakati muwafaka/sahihi kuanza kumpima Raisi wetu kama anafanikiwa au anaboronga?
levo za uelewa kama huu ni kujadili urais kama wa malinzi, ama wa mukoba.. urais wa nchi weka mbali kabisa na weweSikiliza ndugu Rais yeyote anapoingia madarakani anakuwa na strategies ambazo anatakiwa kuanza kuzitekeleza immediately baada ya kuingia madarakani.
Kimsingi masuala ya mabadiliko ya 'kimfumo', 'kikatiba' na kufuta unnecessary posts ni mambo ya kufanyika mapema sana sio kusubiri mwezi wa 39 katika 60.
akiwa waziri mkuu,, hawara wa dadako ndo awe rais?Magufuli ana nia ya dhati sana kuhusu Tanzania lakni sio presidential material. Magufuli angefaa kuwa waziri mkuu.
Hata katika nchi ambazo ni duni kabisa, hata katika nchi wanazoongozwa na mafashisti kuna katiba na sheria. Kinachoweza kutufanya tupige hatua ni je sheria zetu na katiba yetu ni sahihi katika kutupeleka kwenye maendeleo?Fuata sheria za nchi...huko amerika kuna Guantanamo bay...jela kwa watu wallio kinyume na mamlaka...hiyo ndio tabia ya dola popote ulimwenguni,Inatakiwa wananchi tutii maagizo yote ya serikali kwa mujibu wa katiba na hayo mamlaka ya ma dc,rc ni kwa mujibu wa katiba.
Lower your expectation bro! Utaishi kwa amaniDaaah!!! Kazi kweli hivi kunakupona katika awamu hii?!
Mfano wako hauna uhusiano wowote. Issue ya Guantanamo bay ni tofauti kabisa na mfano ulioko mezani(unaojadiliwa). Kufuata sheria sawa lakini kauli ile siyo nzuri. Na kumbuka binadam ana tabia ya usugu kadri ya unavyomtreat. No wonder hata issue ya majipu watu washaizoea kwa kuwa tu imekua ni kawaida hata pasipostahili utasikia majipu. Vivyo hivyo watu wakianza kuwekwa ndani kwa 48 heures itazoeleka na hatimae kujenga usugu.Fuata sheria za nchi...huko amerika kuna Guantanamo bay...jela kwa watu wallio kinyume na mamlaka...hiyo ndio tabia ya dola popote ulimwenguni,Inatakiwa wananchi tutii maagizo yote ya serikali kwa mujibu wa katiba na hayo mamlaka ya ma dc,rc ni kwa mujibu wa katiba.
Tutampima sisi tunaomwamini! Wewe unayeamini kuwa Kapewa tu Urais huwezi kuwa Hakimu wa haki!..OK.
..tusubiri kwa muda gani?
..when do you think itakuwa wakati muwafaka/sahihi kuanza kumpima Raisi wetu kama anafanikiwa au anaboronga?
Hiyo ni njia ya wamarekani kupambana na maadui...hususan magaidi na wahalifu wengine,kila nchi infanya kwa namna yake;..ulitaka raisi awaagize wakuu wa mikoa kuwafanyaje wateka magari,majambazi wakiwa wenyeviti wa ulinzi na usalama mikoani,ulitaka wahujumu bandarini,TRA nk waachwe na kubembelezwa sababu neno jipu litazoeleka?..."kutoka kuzungusha mikono hadi kuzungusha viuno"...Bure kabisa.Mfano wako hauna uhusiano wowote. Issue ya Guantanamo bay ni tofauti kabisa na mfano ulioko mezani(unaojadiliwa). Kufuata sheria sawa lakini kauli ile siyo nzuri. Na kumbuka binadam ana tabia ya usugu kadri ya unavyomtreat. No wonder hata issue ya majipu watu washaizoea kwa kuwa tu imekua ni kawaida hata pasipostahili utasikia majipu. Vivyo hivyo watu wakianza kuwekwa ndani kwa 48 heures itazoeleka na hatimae kujenga usugu.
Umekariri,ni sheria zipi zikiwekwa wewe utaendelea?...wacheni maneno mengi yasiyo na tija!Hata katika nchi ambazo ni duni kabisa, hata katika nchi wanazoongozwa na mafashisti kuna katiba na sheria. Kinachoweza kutufanya tupige hatua ni je sheria zetu na katiba yetu ni sahihi katika kutupeleka kwenye maendeleo?
Ondoa neno WAHALIFU wengine. Treatment ya Guantanamo ni tofauti. Ni special. Bado kauli ile haiwez kuwa sahihi lakini kwa mwenye tafakari. Ukifuata upepo na uvyama utaona iko sawa, lakini kwa FIKRA HURU, na kama Taifa ambalo kuunganisha watu ni jambo muhimu, kauli ile ina dosari, ingawaje ipo sheria husika lakini kwa level ya hotuba haikuwa sahihi kuwa addressed pale. Haina tofauti na WAPIGWE TU!Hiyo ni njia ya wamarekani kupambana na maadui...hususan magaidi na wahalifu wengine,kila nchi infanya kwa namna yake;..ulitaka raisi awaagize wakuu wa mikoa kuwafanyaje wateka magari,majambazi wakiwa wenyeviti wa ulinzi na usalama mikoani,ulitaka wahujumu bandarini,TRA nk waachwe na kubembelezwa sababu neno jipu litazoeleka?..."kutoka kuzungusha mikono hadi kuzungusha viuno"...Bure kabisa.
Kwa hivyo sheria haitakiwi kuelezwa,kusisitizwa sababu kuna watu hawapendi?Ondoa neno WAHALIFU wengine. Treatment ya Guantanamo ni tofauti. Ni special. Bado kauli ile haiwez kuwa sahihi lakini kwa mwenye tafakari. Ukifuata upepo na uvyama utaona iko sawa, lakini kwa FIKRA HURU, na kama Taifa ambalo kuunganisha watu ni jambo muhimu, kauli ile ina dosari, ingawaje ipo sheria husika lakini kwa level ya hotuba haikuwa sahihi kuwa addressed pale. Haina tofauti na WAPIGWE TU!