Kwanini Magufuli hawezi kuwa na mafanikio

Kwanini Magufuli hawezi kuwa na mafanikio

Kama haukumpigia kura GET A FUCKING LIFE, na kama ulimpigia kwa kufuata mkumbo tu GET A FUCKING LIFE TOO.
Hii Tanzania ina wapumbavu wachache sana kama walio humu ila ndio wanaongoza kwa kupiga kelele, kweli debe tupu ..........!
 
hana sera na hajui pakuanzia!elimu bure ni sera aliyo ikopi na kuipesti kutoka upinzani,aliiba wazo ila akasahau kuwaibia na machinery ya utekelezaji wake!dhana ya kutumbua jipu aliiropoka tu,ila leo imekuwa ndio ajenda kuu na sera kuu ya magufuli,juzi kateua wakuu wa mikoa,napo akaropoka kuwa ma r.c watie ndani ma v.e.o na ma w.e.o wanao sumbua wananchi,na kuanzia nahc ndio sera yake ya tatu ukiacha elimu bure,utumbuaji majipu na na sasa ya kutia ndani watendaji na pia kukataza pool table
Watu kama wewe mnatumalizia hewa maana ni yuzilesi.
 
mtu anaye teua watu wabovu,eti lengo kuwa nyamazisha wapinzani,atafanikiwa kweli?kwa hio miaka hii mitano itakuwa ni kutea teuzi za kuwapga pini wapinzani tu?maendeleo tutafanya lini?
Subirini serikali ya ukawa 2085, mtaweka safu yenu.
 
ila si umlimsikia magufuli alivyo msifia wakati wa uzinduzi wa Kinyerezi II?Kwamba eti amemteua Muhongo kuwa nyamaazisha wale wapinzani wake,wale walio kuwa wamelishikia bango swala la IPTL!Sasa,kama huyu akili zina chaji,hata kama ni kweli,hii kauli ilikuwa ni kuitoa mbele ya hadhara?aya mambo si asinge ya weka sirini mwake ya kabaki umo?kwa hio ni mambo mangapi ataharibu kisa tu,awakomoe wapinzani?kwa hio atateua ata wabovu ili kutukomoa?
Jaribu kutumia na akili yako sio umekalia tu mitako yako huku Mbowe kakushikia akili yako, pamoja na rais kusema hivyo, akili yako haijaona na kitambua kuwa sasa hivi kuna mabadiliko upande wa umeme?
 
Kila awamu ina priirity yke katika kujenga nchi

katiba haijawahi kuwa priority ya serikali ya magufuli

watanzania wana matatizo mengi sana kwa ss ambayo hata katiba ya ss ina uwezo wa kuyamudu

watu wana shida za maji,shida za afya,miundombinu,matatizo ya ajira na mengne kadha wa kadha ambayo hata current constitution una uwezo nayo

Worst enough mchakato wa kubadili katiba ni very expensive una gharimu more than 300 bill ambaz kw kiasi flan znatosha kutatua baadhi ya matatizo kuntu nloyataja hapo juu

Kenya walibadili katiba njoi hapa mtoa uzi useme unafuu ambao mkenya wa hali ya chini amanufaika na mabadiliko yale

Hata raus Franklin Roosevelt katka mpango wake wa kuijenga upya USA yaani New deal hakukua na kipengere chcht katka new deal ambacho kiliainisha mabadiliko ya kikatiba ndan ya USA

ngoja niishie hapa tarudi baadae
 
Kitu ambacho bado ninaamini ni kuwa huyu....hana haiba ya uraisi...hafanani kuwa raisi....hana hata chembe ya hekima ya kuwa kiongozi wa umma achilia mbali kuwa raisi.....haya anayoyafanya ndio yeye alivyo na ndio haiba yake.....kila mtu anajua jinsi gani alivyomkurupukaji......anafanya siasa za kizamani sasa...bado haamini kama ameshakuwa raisi....bado haamini yeye ndiye amiri jeshi mkuu wa taifa hili....mihemko ya kulazimisha kuenenda na vile asivyolingana navyo vinamfanya apoteze uwezo kuhariri maneno anayoyatoa kinywani mwake......hotuba zake hazina tofauti na za makamanda wa kijeshi wawapo vitani....
Katiba ingetakiwa iwadhibiti viongozi wa hii....lakini katiba ndiyo inayowafanya wajione miungu watu.....taifa haliwezi kupiga hatua kwa hali kama hii....kwani katiba inawafanya viongozi kuwa madikteta kwa mamlaka makubwa waliyopewa........

BADO NAIONA TANZANIA IKIWA GIZANI....
ila si umlimsikia magufuli alivyo msifia wakati wa uzinduzi wa Kinyerezi II?Kwamba eti amemteua Muhongo kuwa nyamaazisha wale wapinzani wake,wale walio kuwa wamelishikia bango swala la IPTL!Sasa,kama huyu akili zina chaji,hata kama ni kweli,hii kauli ilikuwa ni kuitoa mbele ya hadhara?aya mambo si asinge ya weka sirini mwake ya kabaki umo?kwa hio ni mambo mangapi ataharibu kisa tu,awakomoe wapinzani?kwa hio atateua ata wabovu ili kutukomoa?
 
Kitu ambacho bado ninaamini ni kuwa huyu....hana haiba ya uraisi...hafanani kuwa raisi....hana hata chembe ya hekima ya kuwa kiongozi wa umma achilia mbali kuwa raisi.....haya anayoyafanya ndio yeye alivyo na ndio haiba yake.....kila mtu anajua jinsi gani alivyomkurupukaji......anafanya siasa za kizamani sasa...bado haamini kama ameshakuwa raisi....bado haamini yeye ndiye amiri jeshi mkuu wa taifa hili....mihemko ya kulazimisha kuenenda na vile asivyolingana navyo vinamfanya apoteze uwezo kuhariri maneno anayoyatoa kinywani mwake......hotuba zake hazina tofauti na za makamanda wa kijeshi wawapo vitani....
Katiba ingetakiwa iwadhibiti viongozi wa hii....lakini katiba ndiyo inayowafanya wajione miungu watu.....taifa haliwezi kupiga hatua kwa hali kama hii....kwani katiba inawafanya viongozi kuwa madikteta kwa mamlaka makubwa waliyopewa........

BADO NAIONA TANZANIA IKIWA GIZANI....
Kama tz iko gizan washa taa basi
 
Kama haukumpigia kura GET A FUCKING LIFE, na kama ulimpigia kwa kufuata mkumbo tu GET A FUCKING LIFE TOO.
Hii Tanzania ina wapumbavu wachache sana kama walio humu ila ndio wanaongoza kwa kupiga kelele, kweli debe tupu ..........!
we pay magufuli's salaries through taxes are deducted out of our salaries,wages,business taxes,and et cetera...so we can fuckin say whatever we want and u ain't no auhority to shut us up!
 
Tena Raisi Magufuli asijaribu kuinga mfano wa Regan, Magufuli is Magufuli period,
Nia gani unayotaka kama hao washawishi wanamuangusha.
Magufuli akishidwa sisi viongonzi na wananchi ndio tumemfanya ashindwe
mfumo wa ccm ndio utamfanya ashindwe. USITAFUTE SABABU SIZO.
 
Jaribu kutumia na akili yako sio umekalia tu mitako yako huku Mbowe kakushikia akili yako, pamoja na rais kusema hivyo, akili yako haijaona na kitambua kuwa sasa hivi kuna mabadiliko upande wa umeme?
mabadiliko ni haki yetu,sio hisani,hivi unajua hilo shirika watz tunaliendesha kwa 100%?
 
CCM ni uharo tu hata wakae miaka 1000 hakuna chochote kitakacho kuwa zaidi ya kuongeza wizi tu
 
mfumo wa ccm ndio utamfanya ashindwe. USITAFUTE SABABU SIZO.
Hivi hii hoja ya mfumo inatoka wapi?na ninafikiri ndio hoja ambayo Upizanzani wanaona ni bora swali je wenyewe wanamfumo gani wakutueleza tuwaamini. Siohuoni huwo mfumo. Hii haimaanishi kwamba CCM wana mfumo nzuri!!

Mfumo upi wewe unaona ni mzuri?
 
Kama tz iko gizan washa taa basi
Mkuu....bila shaka andiko lako hili lina chembe za kishabiki ndani yake....labda tu kwa kukusaidia ni kuwa hiyo unayoizungumzia ni taa ya maendeleo na utawala bora....ambayo inatakiwa iwashwe na wale tuliowapa mamlaka ya kufanya hivyo kupitia boksi la kura....na ndio hao tunaowaita viongozi wetu....tukitegemea dira ya uelekeo wa kule tunapopataka....
 
Hivi hii hoja ya mfumo inatoka wapi?na ninafikiri ndio hoja ambayo Upizanzani wanaona ni bora swali je wenyewe wanamfumo gani wakutueleza tuwaamini. Siohuoni huwo mfumo. Hii haimaanishi kwamba CCM wana mfumo nzuri!!

Mfumo upi wewe unaona ni mzuri?
Mfumo wa kisiasa baada ya RASIMU YA Warioba kupitishwa na sio vinginevyo. Itasaidia kupangua mafigisu. Hata upinzani kwa katiba hii siamini mfumo wao. JAMBO MUHIMU HAPA ni kupangua kiongozi kuzungukwa na MATAKWA BINAFSI. Matakwa haya ndio yanazaa tuhuma endapo yatawakwaza wengine. Mfano walioachwa katika teuzi UTAWASIKIA WAKIPANDIKIZA VITU KAMA UDINI; UKABILA nk. kuna wanaosema sasa kuwa Magu kawaacha waislamu, Wachaga YOTE HII NI MATATIZO YA MFUMO AMBAO CCM ILIUELEA KUPITIA VIONGOZ WAKE. Yaweza isionekane sana nje lakini ndani imo sana wenyewe wanajua japo wakitoka nje wanakanusha kwa nguvu zote, tena kwa hili la kukanusha wanakuwa na umoja.
 
Back
Top Bottom