Wengi issue ni NGOMA, figo ni geresha tu. Mara nyingi ni ngoma ndiyo huwaua, ukiwa na ngoma ni rahisi mno magonjwa kama ya figo, ini, moyo, BP, cancer aina zote ikiwemo ya koo, kisukari n.k, kukupata na kukuondosha kabisa duniani.
Issue ni kuwa wengi wa hao vijana wanauawa na UKIMWI ambao kwa kiasi kikubwa huwasababishia hayo magonjwa uliyotaja.
Tuache ngono zembe, AIDS is real!!!
Nasikitika kuona watu wengi kukosa ufahamu wa kuona dunia jinsi inavyokwenda hawa jamaa wanapumbaza watu sana. Tuko aina mpya ya utumwa ambao ni mental slavery watu wanahitaji kuamka kwa kweliUmepewa likes nyingi muda huu zipo 41, sijakupa ya kwangu kwa kuwa you are very wrong! Mind controlled from being fed by mind programing education school!
Unasema vijana wanakufa kwa Ukimwi!
Ukimwi upi unaoongelewa, ule wa kujamiiana au ni upi?
Acha hizo 'song sheet' kuhusu ukimwi.
Kwa kifupi maradhi mengi yanayoua watu wengi leo ni Kisukari, Figo, Cancer, Ini yanasababishwa na life style inayosababishwa na watu kuwa wajinga walioambatanisha elimu yao na mifumo ya kiulimwengu, then watu wanaumwa wanakwenda hospitali na kupewa dawa ambazo ni "hazard" kwenye miili yao afu wameandika 'side effects' kwenye kikaratasi, ndugu yangu hujanywa dawà ila umekunywa ili kupata hizo side effects. Wengi hamsomi.
But Medical Systems kills people nowadays!!
Mfano watu hawajui kuwa hizo dawa za meno wanazotumia ndio zinawaharibu meno. Dawa nyingi za meno zina Fluoride ambayo "science" wametuambia kuwa 'inaimarisha meno' , ukiangalia Fluoride ni toxic kiasi kwamba ukiihifadhi kwenye glass inatoboka! Lakini ndo imewekwa kwenye dawa za meno na kwenye maji ya kunywa ya chupa!! Afu wanakuandikia 'Afya' au nini sijui!
Lengo la Fluoride kuwekwa kwenye bidhaa hizo ni ku target 'pineal gland' ambayo ni jicho la tatu la ufahamu, tunaweza sema ina connection na Uungu wetu, na ndiyo inayoleta 'Intuition' au 'Consciousness'.
Fluoride ina 'Calcify' hiyo pineal gland iwe kama Calcium.
Pineal gland ipo kwenye pituitary gland ni kamjamaa kadogo sana kama punye ya mchele ambacho kazi yake ni kumuunganisha naturally binadamu kwenye ufahamu wake na Cosmic.
That is why Illuminati na secret societies wenye hivi viwanda vinavyotusambazia vyakula na vinywaji wanahakikisha katika kila product ya chakula inayokwenda mtaani ina some manipulating elements zenye kum change binadamu ' the way he/she perceive the world.
Tunaishi kipindi cha mwisho ambacho kunatokea 'human awakenings' so unapopokea nuru au elimu mpya, don't suppress it, right?
Je ile samli ya Ng'ombe ?Mafuta ya wanyama kama ng'ombe , , nk, Blueband (margarine) kaa nayo mbali sio natural fat.
Duh! Ahsante kaka, sikujua hili!Acha mizinguo arifu. Sema tatizo ni hayo "maharagwe" wanayobwia kwa kisingizioa cha kuwa mtu anangoma ndo yanawamaliza. Hayo makitu ya ni hatari kuliko hata hiyo ngoma yenu!
Nimependa! Nashukuru kufahamu haya ila umekwenda out of point. Suala ni kuwa UKIMWI ndio huleta magonjwa kama hayo.Umepewa likes nyingi muda huu zipo 41, sijakupa ya kwangu kwa kuwa you are very wrong! Mind controlled from being fed by mind programing education school!
Unasema vijana wanakufa kwa Ukimwi!
Ukimwi upi unaoongelewa, ule wa kujamiiana au ni upi?
Acha hizo 'song sheet' kuhusu ukimwi.
Kwa kifupi maradhi mengi yanayoua watu wengi leo ni Kisukari, Figo, Cancer, Ini yanasababishwa na life style inayosababishwa na watu kuwa wajinga walioambatanisha elimu yao na mifumo ya kiulimwengu, then watu wanaumwa wanakwenda hospitali na kupewa dawa ambazo ni "hazard" kwenye miili yao afu wameandika 'side effects' kwenye kikaratasi, ndugu yangu hujanywa dawà ila umekunywa ili kupata hizo side effects. Wengi hamsomi.
But Medical Systems kills people nowadays!!
Mfano watu hawajui kuwa hizo dawa za meno wanazotumia ndio zinawaharibu meno. Dawa nyingi za meno zina Fluoride ambayo "science" wametuambia kuwa 'inaimarisha meno' , ukiangalia Fluoride ni toxic kiasi kwamba ukiihifadhi kwenye glass inatoboka! Lakini ndo imewekwa kwenye dawa za meno na kwenye maji ya kunywa ya chupa!! Afu wanakuandikia 'Afya' au nini sijui!
Lengo la Fluoride kuwekwa kwenye bidhaa hizo ni ku target 'pineal gland' ambayo ni jicho la tatu la ufahamu, tunaweza sema ina connection na Uungu wetu, na ndiyo inayoleta 'Intuition' au 'Consciousness'.
Fluoride ina 'Calcify' hiyo pineal gland iwe kama Calcium.
Pineal gland ipo kwenye pituitary gland ni kamjamaa kadogo sana kama punye ya mchele ambacho kazi yake ni kumuunganisha naturally binadamu kwenye ufahamu wake na Cosmic.
That is why Illuminati na secret societies wenye hivi viwanda vinavyotusambazia vyakula na vinywaji wanahakikisha katika kila product ya chakula inayokwenda mtaani ina some manipulating elements zenye kum change binadamu ' the way he/she perceive the world.
Tunaishi kipindi cha mwisho ambacho kunatokea 'human awakenings' so unapopokea nuru au elimu mpya, don't suppress it, right?
Tatzo ni kunywa maji yasiyochemshwa na mawaz ya tozoZamani ilionekana UKIMWI ni tishio kwa Dunia nzima, kwa dhana kwamba ni lazima mtu atakufa tu.
Siku hizi magonjwa ya ini, mapafu kujaa maji, Figo kushindwa kazi yake yamekuwa tishio sana na yanaondoa uhai wa watu wengi sana hasa vijana.
Sijui sababu kubwa ni matumizi ya pombe au sigara bila kula vizuri, kunywa maji mengi n.k?
Lakini mbona wazee wetu wanakunywa pombe miaka nenda rudi lakini hawasumbuliwi na magonjwa haya kama vijana wa leo?
Madaktari wameshindwa kabisa kuthibiti vifo vya magonjwa haya kiasi kwamba mtu akishaumwa tu haya magonjwa anahesabu kifo wakati wowote.
Kwanini yameshindikana?
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Ile iko poa kabisaJe ile samli ya Ng'ombe ?
Hizo hizo dawa ndio zina haribu Ini,figo,ubongo na Moyo!!!Mtu anakufa ghafla tu!!Hizo si nzuri kama udhaniavyo, fuatilia utajua! Ini na figo ni geresha tu.
KweliHizo hizo dawa ndio zina haribu Ini,figo,ubongo na Moyo!!!Mtu anakufa ghafla tu!!
Double kiki+ ugoro+ bangi+ sigara+ nyagi + kvant= huwezi kuwa salama mzeeZamani ilionekana UKIMWI ni tishio kwa Dunia nzima, kwa dhana kwamba ni lazima mtu atakufa tu.
Siku hizi magonjwa ya ini, mapafu kujaa maji, Figo kushindwa kazi yake yamekuwa tishio sana na yanaondoa uhai wa watu wengi sana hasa vijana.
Sijui sababu kubwa ni matumizi ya pombe au sigara bila kula vizuri, kunywa maji mengi n.k?
Lakini mbona wazee wetu wanakunywa pombe miaka nenda rudi lakini hawasumbuliwi na magonjwa haya kama vijana wa leo?
Madaktari wameshindwa kabisa kuthibiti vifo vya magonjwa haya kiasi kwamba mtu akishaumwa tu haya magonjwa anahesabu kifo wakati wowote.
Kwanini yameshindikana?
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Acheni kusingizia sigara. Bi Kidude(R.I.P) alianza kuvuta fegi akiwa teenager na aliishi miaka 100 na chenji.