Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 10,142
- 12,188
Koti linahusiana vipi na kinga ya madhara ya mapafu?Mapafu kukaa Maji hii kitu inawapga Sana bodaboda wanaokmbza mapikipk bila koti zito
Embu naomba fafanua kitaalamu kidogo!
Koti linahusiana vipi na kinga ya madhara ya mapafu?Mapafu kukaa Maji hii kitu inawapga Sana bodaboda wanaokmbza mapikipk bila koti zito
Kama ni kweli basi watakufa wengi maana siku hizi vyemba vinazibuliwa kuliko wakati wowote.Kwa figo nadhani tatizo ni UTI sugu inayosababishwa na kufukunyua mitaro kwa speed 120
Lazima mfe nyie umbwa
Olive oil haina Omega 6 nyingi kama mafuta mengine yatokanayo na mbegu.
Mafuta ya kupikia yanayotokana na mbegu ni hatari mfano alizeti? mbona tuliambiwa hayo ndo salama, yapi ni mafuta salama sasa?Pombe na sigara kupitiliza ,,pia kuna hizi sumu tunakula kila siku kama sukari especially ya kwenye bidhaa za viwandani kama juice, soda,pipi nk. Mafuta ya kupikia yanayotokana na mbegu ni hatari sana lakini ukijumkisha na madawa yanayopigwa kwenye mazao,mboga basi ni kama tunakula sumu inayotuua taratibu .
Omega 6 si ndo inayopatikana kwenye mafuta ya samaki ambayo tunaambiwa ni salama kwa afya, hii inakaaje?Olive oil haina Omega 6 nyingi kama mafuta mengine yatokanayo na mbegu.
Si jukumu la madaktariMadaktari wameshindwa kabisa kuthibiti vifo vya magonjwa haya
Ngwengwe sio poa hata kidogo, nadhani inachangia asilimia kubwa sana katika haya magonjwa yanayoumiza watu sasa. Imagine mtu anakunywa vidonge miaka kumi mfululizo, au anatumia vidonge vya pressure miaka nenda...lazima figo zikatae tu!Madawa ya kufubaza yanachosha ini na hatimae kuua figo!
Wengi issue ni NGOMA, figo ni geresha tu. Mara nyingi ni ngoma ndiyo huwaua, ukiwa na ngoma ni rahisi mno magonjwa kama ya figo, ini, moyo, BP, cancer aina zote ikiwemo ya koo, kisukari n.k, kukupata na kukuondosha kabisa duniani.
Issue ni kuwa wengi wa hao vijana wanauawa na UKIMWI ambao kwa kiasi kikubwa huwasababishia hayo magonjwa uliyotaja.
Tuache ngono zembe, AIDS is real!!!
jamani mtavunja mbavu zetu hukuKama ni kweli basi watakufa wengi maana siku hizi vyemba vinazibuliwa kuliko wakati wowote.
Acha mizinguo arifu. Sema tatizo ni hayo "maharagwe" wanayobwia kwa kisingizioa cha kuwa mtu anangoma ndo yanawamaliza. Hayo makitu ya ni hatari kuliko hata hiyo ngoma yenu!Wengi issue ni NGOMA, figo ni geresha tu. Mara nyingi ni ngoma ndiyo huwaua, ukiwa na ngoma ni rahisi mno magonjwa kama ya figo, ini, moyo, BP, cancer aina zote ikiwemo ya koo, kisukari n.k, kukupata na kukuondosha kabisa duniani.
Issue ni kuwa wengi wa hao vijana wanauawa na UKIMWI ambao kwa kiasi kikubwa huwasababishia hayo magonjwa uliyotaja.
Tuache ngono zembe, AIDS is real!!!
Umepewa likes nyingi muda huu zipo 41, sijakupa ya kwangu kwa kuwa you are very wrong! Mind controlled from being fed by mind programing education school!Wengi issue ni NGOMA, figo ni geresha tu. Mara nyingi ni ngoma ndiyo huwaua, ukiwa na ngoma ni rahisi mno magonjwa kama ya figo, ini, moyo, BP, cancer aina zote ikiwemo ya koo, kisukari n.k, kukupata na kukuondosha kabisa duniani.
Issue ni kuwa wengi wa hao vijana wanauawa na UKIMWI ambao kwa kiasi kikubwa huwasababishia hayo magonjwa uliyotaja.
Tuache ngono zembe, AIDS is real!!!
Aisee hii sio teknik ya marketing ya hyo mafuta ya olive?Olive oil haina Omega 6 nyingi kama mafuta mengine yatokanayo na mbegu.
Flouride iliyomo kwenye dawa ya meno ni kiasi kidogo sana ambacho hakina madhara kwa mtumiaji,ukichukulia flouride 100% kama sumu hapo sawa .Umepewa likes nyingi muda huu zipo 41, sijakupa ya kwangu kwa kuwa you are very wrong! Mind controlled from being fed by mind programing education school!
Unasema vijana wanakufa kwa Ukimwi!
Ukimwi upi unaoongelewa, ule wa kujamiiana au ni upi?
Acha hizo 'song sheet' kuhusu ukimwi.
Kwa kifupi maradhi mengi yanayoua watu wengi leo ni Kisukari, Figo, Cancer, Ini yanasababishwa na life style inayosababishwa na watu kuwa wajinga walioambatanisha elimu yao na mifumo ya kiulimwengu, then watu wanaumwa wanakwenda hospitali na kupewa dawa ambazo ni "hazard" kwenye miili yao afu wameandika 'side effects' kwenye kikaratasi, ndugu yangu hujanywa dawà ila umekunywa ili kupata hizo side effects. Wengi hamsomi.
But Medical Systems kills people nowadays!!
Mfano watu hawajui kuwa hizo dawa za meno wanazotumia ndio zinawaharibu meno. Dawa nyingi za meno zina Fluoride ambayo "science" wametuambia kuwa 'inaimarisha meno' , ukiangalia Fluoride ni toxic kiasi kwamba ukiihifadhi kwenye glass inatoboka! Lakini ndo imewekwa kwenye dawa za meno na kwenye maji ya kunywa ya chupa!! Afu wanakuandikia 'Afya' au nini sijui!
Lengo la Fluoride kuwekwa kwenye bidhaa hizo ni ku target 'pineal gland' ambayo ni jicho la tatu la ufahamu, tunaweza sema ina connection na Uungu wetu, na ndiyo inayoleta 'Intuition' au 'Consciousness'.
Fluoride ina 'Calcify' hiyo pineal gland iwe kama Calcium.
Pineal gland ipo kwenye pituitary gland ni kamjamaa kadogo sana kama punye ya mchele ambacho kazi yake ni kumuunganisha naturally binadamu kwenye ufahamu wake na Cosmic.
That is why Illuminati na secret societies wenye hivi viwanda vinavyotusambazia vyakula na vinywaji wanahakikisha katika kila product ya chakula inayokwenda mtaani ina some manipulating elements zenye kum change binadamu ' the way he/she perceive the world.
Tunaishi kipindi cha mwisho ambacho kunatokea 'human awakenings' so unapopokea nuru au elimu mpya, don't suppress it, right?
Sio technique, kwenye mafuta ya mbegu kuna excessive amount of Omega 6 pamoja na non saturated fats (sijui kiswahili chake) kibao ambazo ni harmful kwa mtumiaji. Ongezeko la magonjwa ya moyo limeanza miaka ya mwanzo 1910 huko baada ya kuanza kwa matumizi ya mafuta ya kula ya viwandani . Jiulize tu kama mtu ana pressure ana shauriwa kupunguza au kuacha kabisa kutumia mafuta ya kupikia ,kwanini?Aisee hii sio teknik ya marketing ya hyo mafuta ya olive?
Jukwaani humu kuna kikundi cha watu wanasema ngoma ni hoax tu, hakuna kitu cha vile.Wengi issue ni NGOMA, figo ni geresha tu. Mara nyingi ni ngoma ndiyo huwaua, ukiwa na ngoma ni rahisi mno magonjwa kama ya figo, ini, moyo, BP, cancer aina zote ikiwemo ya koo, kisukari n.k, kukupata na kukuondosha kabisa duniani.
Issue ni kuwa wengi wa hao vijana wanauawa na UKIMWI ambao kwa kiasi kikubwa huwasababishia hayo magonjwa uliyotaja.
Tuache ngono zembe, AIDS is real!!!