1. Uchafu maana yake ni kutoweza kujitunza kwa maana ya kujiweka nadhifu,wewe mwenyewe,mazingira yako na wale wanaokutegemea.Labda utuambie uchafu maana yake nini...
Je mwalimu akipakazwa na vumbi la chaki naye anakuwa mchafu?? Daktari akitapakaliwa na damu anaweza akaitwa mchafu?? Mvuvi akinuka shombo la samaki anakuwa mchafu?
Je uchafu wa hawa mafundi ni kwakuwa wanakuwa wameshika grease na oil??
Tatizo sio wakati yupo kazini,ila baada ya kazi ndio hoja yangu ilipo unakuta wengine bado wapo wachafu wachafu.Kwako unaweza kuona ni uchafu lakini kwake Ndo namna pekee ya kung'arisha maisha yake. Je Wewe ukipeleka gari lako gereji ukakuta mekanika kaulamba suti utamwamini?
Naona ushamjibuLabda utuambie uchafu maana yake nini...
Je mwalimu akipakazwa na vumbi la chaki naye anakuwa mchafu?? Daktari akitapakaliwa na damu anaweza akaitwa mchafu?? Mvuvi akinuka shombo la samaki anakuwa mchafu?
Je uchafu wa hawa mafundi ni kwakuwa wanakuwa wameshika grease na oil??
Ni wachafu au wanavaa nguo zenye mafuta mafuta na vumbi vumbi? Mavazi yanategemea sana na mazingira ya kazi.Habari zenu wakuu.
Wakuu naomba tueleweshane kwenye hili,ni kama macho yangu yameshazoea kuona fundi anayejiusisha na magari,pikipiki na vinavyovanana na hivo kuwa ni WACHAFU. Sisemi ni wote ila nadhani kati ya 70% - 85% wapo hivo,sasa sijajua kwanini inakuwa hivi ??
Natanguliza shukrani zangu.
Ukivaa miwani ya bluu kila kitu utakiona ni cha bluu, uchafu baada ya kazi ni mazoea ya mtu binafsi haijalishi anafanya kazi gani! Nadhani unazungumzia unaowaona wanapiga Story nje ya gereji mida ya jioni kabla ya kujisafiUchafu wao ninaouzungumzia hapa ni ule wa baada ya kazi, sio ule wa wakati wa kazi.