Kwanini madini hayataki uchafu wa zinaa?

Kwanini madini hayataki uchafu wa zinaa?

Nataka nijue kwanini, Nimeambiwa ila sijapewa sabbu

Kama ni mapenzi ni usiwe nae au awe mmoja na kama ni mmoja na yeye asigawe

Uhusiano wa madini na mapenzi ukoje??

Na je ni madini tu ...uchimbaji na uuzaji? au kuna vingine visivyohitaj mapenzi ya uchafu yaani zinaa
huenda ni kwasababu penzi ni Kitovu Cha Uzembe, na kazi ya uchimbaji madini inahitaji bidii na concentration zaidi 🐒
 
Nataka nijue kwanini, Nimeambiwa ila sijapewa sabbu

Kama ni mapenzi ni usiwe nae au awe mmoja na kama ni mmoja na yeye asigawe

Uhusiano wa madini na mapenzi ukoje??

Na je ni madini tu ...uchimbaji na uuzaji? au kuna vingine visivyohitaj mapenzi ya uchafu yaani zinaa
Sekta ya uchimbaji wa madini inahitaji elimu, utaalamu wa wanajiolojia, wahandisi wa migodi, na matumizi ya sayansi, si kutegemea ushirikina.
Mara nyingi waganga hudai kutumia majini kuwasaidia wateja wao kupata mafanikio, huku wakisisitiza masharti ya usafi au uchafu wa mwili katika huduma zao. Hata hivyo, majini hayo hayawezi kuchukua nafasi ya utaalamu wa kitaalamu katika masuala ya jiolojia na madini.
 
Utajiri kwa ujumla hautaki zinaa

Hivi unajua hakuna wajinga wana zini kama wazungu?

Tena wao sio kuzini tuu(Mwanaume kwa mwanamke) ila wanakulana hadi viboga(ushoga), ila wana Ongoza kwa utajiri mkubwa na wana maandeleo.

Africa siku tukiacha hizi imani walizotuleta wao(maana hata wao hawazifati) na kuachana pia na Imani za kishirikana(maana zina ujinga mwingi) tukatumia Fact kama science kwenye kutatua changamoto zetu tutafaidika sana.

Mtu anatafuta madini anaziamin Ramli na Sijui Imani ila science hataka kuitumia unategemea nini.

Hakuna uhisiano wa kuzini na Madini wala umaskini.
 
Watu wengi hufikiri kuwa Wazungu ni watakatifu, hawana ushirikina wala uchawi, kumbe wapo level ya juu sana kwenye hayo mambo kuliko hata Waafrika. Maovu kama mauaji, ushoga, usagaji (LGBTQ), nk wanayofanya ni kati ya matendo ya ibada zao.

Waulize tu kuwa hivi makundi kama Illuminati, Freemason, Skull & Bones, nk, (yapo mengi), kazi yake ni nini hasa? Je, waanzilishi na wamiliki wake ni nani, ni Waafrika??
===========================

In recent years, Dan Brown, author of The Da Vinci Code, and other writers have shined a light on some of the bigger secret fraternal organizations, like the ORDER OF SKULL AND BONES, the FREEMASONS, the ROSICRUCIAN ORDER and the ILLUMINATI. But other lesser-known groups have compelling stories, too...
 
Hizo imani potofu. Elimu na technology ndio vitafanya upate madini. Hao watu weupe ndio vinara wa kufanya uchafu ambao weusi hata hawasogei.

Hakuna waganga au ramli iliyowahi kuonyesha eneo lenye madini, ni research na mitambo ya kisasa
 
Hizo ni imani tu ila tu zinaa za kukutana kutana na kila aina ya mtu kuna wengine ni nuksi zaidi ya nuksi, hata katika maisha ya kawaida tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom