kwanini mademu wanasikia kiu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kwanini mademu wanasikia kiu

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mwadui, Jan 12, 2011.

 1. Mwadui

  Mwadui Senior Member

  #1
  Jan 12, 2011
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 102
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  kwanini mademu wanasikia kiu pindi wanapomaliza ku DO?? na kwa nini mwanaume anasikia usingizi pindi anapomaliza KU DO???
   
 2. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #2
  Jan 12, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Mbio za mita 1500 si mchezo
   
 3. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #3
  Jan 12, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  mmhy uyo demu wako tu atakuwa na ugonjwa
  si mademu wote wapo ivyo...
  ...wale wa kisungu au masi sta du ndo utawaskia ...beb i wana cup of cofee...kat kat ya mchezo ili usitishe zoez na yeye apate break fup bt si wote wapo ivyo et kiu...thou ile olympic yaleta kiu!
  barid la mafinga usiku wa manane atataka maji kweli?au ili joto la ilala?
   
 4. Mwadui

  Mwadui Senior Member

  #4
  Jan 12, 2011
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 102
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  me mwenyewe nilijua joto la Ilala lakin hata baada ya kwenda Arusha ngoma ni ilele kiu afta marathon, tena cha ajabu kabla hajaanza marathon yenyewe ana oda maji kabisa, kikweli inanichanganya
   
 5. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #5
  Jan 12, 2011
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  one bao=8km running
   
 6. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #6
  Jan 12, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,641
  Likes Received: 82,289
  Trophy Points: 280
  ...au mita 5,000 ni lazima uombe maji maana mwili unakuwa umekaukiwa kabisa. Hivyo si vibaya kukawa na birika/chupa ya maji.

   
 7. Maty

  Maty JF-Expert Member

  #7
  Jan 12, 2011
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 2,170
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Hahaaa kuna msemo nilisikia kama umedu peku ukimaliza 2 ukanywa maji tena ya baridi hupati mimba nafikiri ndo mana wanakunywa maji na c kiu
   
 8. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #8
  Jan 12, 2011
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,442
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Mbona unaposti mbilimbili? anyway mi huwa nalala saaaaana ila ukinigusa tu naanzisha nyingine! ....:car:
   
 9. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #9
  Jan 12, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  me bado sijawahi kufanya hivo,nikifanya ntakwambia
   
 10. Mwana va Mutwa

  Mwana va Mutwa JF-Expert Member

  #10
  Jan 12, 2011
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 429
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  ngoja nifanye utafiti wa kina
   
 11. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #11
  Jan 12, 2011
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,900
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145


  Usifanye mchezo kabisa na hiyo shughuli bana.....
   
 12. The Hunter

  The Hunter JF-Expert Member

  #12
  Jan 12, 2011
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 1,049
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  wengine huomba glucose kabisa.
   
 13. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #13
  Jan 12, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Hivi hii shughuli mnayoongelea hapa ni kubwa hivyo?? sitanii namaanisha mi labda sijawahi kuona ukubwa wake??? waga watu wanakomoana au,mi sielewi bwana...............1bao=8km????kweli????watu wangekuwa wanaenda kazini kweli na maumivu yote hayo na uchovu?:frog:
   
 14. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #14
  Jan 12, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  kuna mmoja alipigishwa gwaride mpaka akaanza kupiga makelele . mwiziiiiii mwiziiiiiiiiii! kumbe anamnadia mwizi mume wake bana! asalamaleko wayahi! hii shuhuli ina mambo kwelii
   
 15. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #15
  Jan 12, 2011
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  hivi unafikiri mchezo????


  [​IMG]
   
 16. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #16
  Jan 12, 2011
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,900
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145


  Kwani hujawahi kukutana na mtu anayetumia dakika 45 round ya kwanza?
   
 17. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #17
  Jan 12, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,641
  Likes Received: 82,289
  Trophy Points: 280
  Michelle si kukumoana. Binadamu wanatofautiana katika mambo mbali mbali. Hivyo katika kunanihii pia wengine wana pumzi isiyo ya kawaida. Wanaweza kupiga 30 minutes au hata zaidi na hapo shurti mtu aombe birika au chupa ya maji. Na muhusika anayeomba maji haoni kama alikuwa anakomolewa kwa namna moja au nyingine.

   
 18. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #18
  Jan 12, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Acha kudanganya watu mbona mi na wewe ulikuwa hufanyi kilomita zote hizo,huku JF ndo unajidai kusema,muone kwanza??
   
 19. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #19
  Jan 12, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Hata dakika kumi hapana,na sidanganyi.....i mean it!
   
 20. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #20
  Jan 12, 2011
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  we michelle wewe
  [​IMG]
   
Loading...