kwanini mademu wanasikia kiu

kuna wadada wengine hata wakilia basi wanakupandisha mzuka. Yaani kuna ticha moja kuna siku lilitwambia leo mtakoma! Tukazani linakuja kutupiga makwaju , kumbe lilikwenda kuchange nguo na kuvaa kimini. Tulikoma kweli aisee.

hahaaaaa
 
Hahaaa kuna msemo nilisikia kama umedu peku ukimaliza 2 ukanywa maji tena ya baridi hupati mimba nafikiri ndo mana wanakunywa maji na c kiu


Ha kumbe afadhali umenifundisha Maty nilikuwa sijui kabisa maana tunaogopa mimba za uzeeni tunakaa muda mrefu bila kudo ze nidifuli tukiogopa mimba kumbe kuna njia mbadala ubarikiwe
 
Haumwi chochote,kila baada ya miezi sita tunaenda full check up,hana tatizo lolote na nimekaa nae for for years.......lol
Nshashtuka hii JF itanifanya nimuangalie kwa jicho la pili,yaelekea nakosa mengi,yaani hapa na-imagine paka mweusi kifuani for 45 minutes,WOW

Angalia isije ikawa sio kifuani tu bali hata mgongoni pia, mixture.
 
michelle unamsingizia kama hafiki ten minutes basi mgonjwa huyo kawaida ili wwe uridhike kabisa ina takiwa min 45minutes au one hr hapo kidogo utakuwa unamkumbuka otherwise utamkandia tu
 
Back
Top Bottom