Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,511
- Thread starter
- #61
Hili ni kweli kabisa mkuu ni wepesi kukubali lakini ni wagumu kutoa k labda tumuulize mtoa mada kama kafanikiw kut@mb
Wote nlokutana nao mekula bila shida
Hili ni kweli kabisa mkuu ni wepesi kukubali lakini ni wagumu kutoa k labda tumuulize mtoa mada kama kafanikiw kut@mb
Inaswmekana pia kwenye 6 kwa 6 ni mizigo yaani hawajui kabisa mapenzi na wana viuno vigumu balaa
Jinsi hakuna waoaji siku hizi kuna demu anakataa akitongozwa kweli?
Sidhani!
Tatizo ni kama unaenda kuoa...lazime wakuweke kwenye mizani huko kwao!
Wajue wewe ni mbegu chafu au bora,kama ni chafu ni shughuli sana!
Hii ni kwa wote
Mhmm sijawai ona hata mmojaKuna wwngine ni fire hatar
Mhmm sijawai ona hata mmoja
Duu kwann sasa mbona wamasai wafupi wapo mkuu mm nina futi 5.7 je ni mfupi na uyo demu nipo nae sawa kimo au nimempita kidogo.mm nazan ayo mambo ya kimo sio kwa sasa banaukiwa
ukiwa mfupi usitongoze masai....vijana wa kimasai watakupka futari walahi....hawapendi mbegu fupi...ukiwa tall hakika utawala
mkuu wamasai wenzie wakikuona unataka kuwapelekea mbegu fupi wanakufanya karamu......Duu kwann sasa mbona wamasai wafupi wapo mkuu mm nina futi 5.7 je ni mfupi na uyo demu nipo nae sawa kimo au nimempita kidogo.mm nazan ayo mambo ya kimo sio kwa sasa bana
MkuuTofauti ya mbegu chafu na safi?
Nimeuliza kwa nia njema naona umelipuka kama ugomvi mkuu.. Au na wewe ni muhanga?Mkuu
Nazungumzia sababu zote wanazotumia wanadamu kubagua watu katika marriage formation.
Mbegu Chafu nayosemea hapa,ni wale watu kwa sababu moja au nyingine wanabaguliwa kuoa au kuolewa kutokana na sababu mbalimbali wanadamu huzitumia kuharamisha ndoa,ambazo ni:
1.Racial barriers.....mhindi hapendi mwanae aolewe na mweusi,etc
2.Religious discrimination.....muislamu hataki mwanae aoe mkristo,etc
3.social status barriers....elitists hawapendi wanao waolewe na commoners
4.Financial status....matajiri sana hawapendi wanao waolewe na masikini sana....
5.Tribal discrimination....kabila au jamii fulani hawapendi wanao waoelewe na jamii fulani kutokana na historia ya chuki au chochote,etc
6.etc
Hivi ni sababu za kibaguzi zinazofanywa na wanadamu ambao ni pamoja na wewe na mimi katika kuhalalisha au kuharamisha ndoa..
Watu mnajifanya wanafiki sana eti hamfanyi ubaguzi hua mnatumia kigezo cha dini kubagua watu wanaotaka kuoa au kuolewa na nyie hapo hapo mnajipa uhalali eti mtaenda mbinguni mmetumia kigezo cha "Mungu"!
Ni ajabu sana unakuta anaetumia sababu ya 2 hapo juu kubagua fulani anamcheka na kumdharau sana anaetumia sababu ya 1 au ya 5 au ya 4 kuoa wakati wote ni manyani yanayomcheka mwenzie kumbe haoni kundule..
Sisi wanadamu ni wanafiki wa kiwango cha SGR!
Dada zako pia sio wagumu, tunatafuna tu
Kwanini akatae? Muomba hupewa usituchoshe
6 mkuu nasaiv na mchaga pia nko nae
Sina uhanga wowote mkuu!Nimeuliza kwa nia njema naona umelipuka kama ugomvi mkuu.. Au na wewe ni muhanga?
Labda wa huko kishumundu..ila born in town wale wanakata kama kawa
Wanachaga hawana SI za umalaya ...
Nitongoze ukiwa na pochi nene tafadhali 😀Aise. .nifikirie na mimi tafadhali
We unataka ugumu wa nini jaman?Point ni kwamba sio wagumu