Point ni kwamba sio wagumu
Kama wa kabila lako nao ni kushika mkono tu na kwenda nae kumla tena wa kabila lako hata kiuno hawazungushi kama yule wa gwajiboy?
Kabila langu ndo linasifiwa kwa viuno feni nadhan ushalijuaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Pigia mstari mkuuWw ni mgum?
Wapi ww yule wa gwaji boy sista ako
Pigia mstari mkuu
Anza kurusha ujihakikishieMpka ntakapo rusha kombora zangu ndo nita underline
Anza kurusha ujihakikishie
Anza kurusha ujihakikishie
Kwanini akatae? Muomba hupewa usituchoshe
😀😀 Binadamu hatueleweki nini tunatakaKama unataka akatae kwanini umtongoze!!
Aisee!Kwanini akatae? Muomba hupewa usituchoshe
Inategemea una Nini, Kama Ni dyudyu tu hapanaNikikuomba utanipa?
Rafiki hujambo?Aisee!
Poa, njoo uchukueSijambo za siku?
Naomba
Sijawasusa, kesho nitakujaUmetususa
Aya 🏃♂️ 🏃♂️ nakuja
Nakusubiri kwa hamu 😀Sijawasusa, kesho nitakuja