Kwanini mabibi harusi wengi wanapenda kulia siku ya ndoa?

Kwanini mabibi harusi wengi wanapenda kulia siku ya ndoa?

Jerhy

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2013
Posts
3,135
Reaction score
1,000
Hodi wanajamvi wakuu wa JF,

Najitokeza hapa kwa mara ya kwanza, kwanza nitoe shukrani kwa jinsi mnavyodadavua mada husika, Nimeoa hivi Karibuni, hivo siku ile ya harusi tulipotoka tu kanisani na kujumuika katika ukumbi wa BZ HOTEL basi bibi arusi alikuwa akitoa matone ya chozi moja, moja, huku wazee wa hekima wakitoa neno.

Ulikuwa wakati mgumu sana kwangu kuona mwenzi akibubujikwa na machozi hali ambayo ilinipa nafasi ya kufikiri mengi sana. Sasa nimekukutana na hilo la kulia kwa bibi arusi siku ya harusi, hivi maana yake ni nini?

Naomba kufafanuliwa nanyi wanajamvi...
 
Hodi wanajamvi wakuu wa JF najitokeza hapa kwa mara ya kwanza, kwanza nitoe shukrani kwa jinsi mnavyodadavua mada husika, Nimeoa hivi Karibuni, hivo siku ile ya harusi tulipotoka tu kanisani na kujumuika katika ukumbi wa BZ HOTEL basi bibi arusi alikuwa akitoa matone ya chozi moja,moja, huku wazee wa hekima wakitoa Neno , ulikuwa wakati mgumu sana kwangu kuona mwenzi akibubujikwa na machozi hali amabyo ilinipa nafasi ya kufikiri mengi sana sasa nimekukutana na hilo la kulia kwa bibi arusi siku ya arusi, hivi maana yake ni nini? Naomba kufafanuliwa nanyi wanajamvi....

Machozi ya furaha kwa ajili ya mgegedo wa usiku wa fungate
 
Sasa we unaoa jitu lilikuwa linacungua vizibo kona bar kwa nini asilie
 
Bwana Harusi, kwanza hongera kwa kutekeleza wajibu wako kwa jamii, wazazi na kwa Mungu kwa kufunga Ndoa!

Ni mara chache sana siku hizi kuona Bibi Harusi akitoa machozi siku ya Harusi. Wengi wao macho makavu kuangalia zawadi gani imetoka na nani ametoa - kibiashara zaidi!

Kwa maoni yangu hakuna atakayekuja na jibu moja kuhusu kwa nini Bibi Harusi atoe machozi siku ya Harusi.

Vilevile kwa maoni yangu usimuulize Mkeo sababu ya kutoa machozi. Tunza hiyo kumbukumbu ikufariji katika kila utakapopitia katika vipindi vigumu huko mbele. Just treasure the memory - it is unique!

Mpende na kumuheshimu Mkeo. Fanya kazi halali kwa bidii ili utunze familia yako. Siku za Ibada (bila kujali imani yenu) nendeni kusali - pamoja! Mtangulizeni MUNGU katika maisha yenu - A Family Which Prays Together, Stays Together!

Mungu abariki kazi za mikono na akili zenu na awajalie kila lililo la heri katika maisha yenu. Awajalie maisha marefu ya furaha na ya mafanikio - muishi kuona na kufurahia mafanikio ya wajukuu ma vitukuu wenu! Amina.

Wataalamu watakuja na majibu zaidi!
 
... vilevile mara moja moja usiache kuzungukia MMU hapa JF. Utapata nondo/darasa la kutosha kabisa hasa katika mambo ya nanihii - huko kuna watu wenye PHD kwenye masuala ya nanihii! We acha kabisa!
 
Bwana Harusi, kwanza hongera kwa kutekeleza wajibu wako kwa jamii, wazazi na kwa Mungu kwa kufunga Ndoa!

Ni mara chache sana siku hizi kuona Bibi Harusi akitoa machozi siku ya Harusi. Wengi wao macho makavu kuangalia zawadi gani imetoka na nani ametoa - kibiashara zaidi!

Kwa maoni yangu hakuna atakayekuja na jibu moja kuhusu kwa nini Bibi Harusi atoe machozi siku ya Harusi.

Vilevile kwa maoni yangu usimuulize Mkeo sababu ya kutoa machozi. Tunza hiyo kumbukumbu ikufariji katika kila utakapopitia katika vipindi vigumu huko mbele. Just treasure the memory - it is unique!

Mpende na kumuheshimu Mkeo. Fanya kazi halali kwa bidii ili utunze familia yako. Siku za Ibada (bila kujali imani yenu) nendeni kusali - pamoja! Mtangulizeni MUNGU katika maisha yenu - A Family Which Prays Together, Stays Together!

Mungu abariki kazi za mikono na akili zenu na awajalie kila lililo la heri katika maisha yenu. Awajalie maisha marefu ya furaha na ya mafanikio - muishi kuona na kufurahia mafanikio ya wajukuu ma vitukuu wenu! Amina.

Wataalamu watakuja na majibu zaidi!

Ha haaa nakushukuru sana kwa maoni
 
Habari zenu ndugu,

Jamaa na marafiki, leo nimepata majibu ya swali niliokuwa najiuliza kwa miaka kadhaa sasa kwamba kwanini baadhi ya mabinti hasa wa miaka kadhaa hivi ya nyuma walikuwa wanalia siku zao za harusi?

Sasa leo kwenye kituo kimoja cha redio cha hapa nchini kilikuwa na mada hii, na mmoja wa wachangiaji akasema kwamba eti moja ya sababu ya mabinti hao kulia ni kuwa kuwaacha ndugu zake aliowazoea.

Na hii ilisababishwa na mabinti hao kuolewa na wanaume ambao hawajawahi kukutana nao kimwili au hata kuwa nao karibu, sasa kule kulia ni njia ya kupambana na mawazo mengi yanayomzunguka kwamba anakwenda kuanzisha uhusiano na mtu asiyemzoea.

Sasa swali je ni kweli? Tujuzana juu ya hili
 
Wengi ni vilio vya furaha cz ndoa n makubaliano ya wawili czan kama anakua analia kisa hajamzoea mme wake
 
Habari zenu ndugu, jamaa na marafiki, leo nimepata majibu ya swali niliokuwa najiuliza kwa miaka kadhaa sasa kwamba kwanini baadhi ya mabinti hasa wa miaka kadhaa hivi ya nyuma walikuwa wanalia siku zao za harusi?

Sasa leo kwenye kituo kimoja cha redio cha hapa nchini kilikuwa na mada hii, na mmoja wa wachangiaji akasema kwamba eti moja ya sababu ya mabinti hao kulia ni kuwa kuwaacha ndugu zake aliowazoea

Na hii ilisababishwa na mabinti hao kuolewa na wanaume ambao hawajawahi kukutana nao kimwili au hata kuwa nao karibu, sasa kule kulia ni njia ya kupambana na mawazo mengi yanayomzunguka kwamba anakwenda kuanzisha uhusiano na mtu asiyemzoea

Sasa swali je ni kweli????

Hilo swali la kipimajoto peleka ITV
 
Kulia kunatokana na kwamba..binti amelelewa tangu udogoni na familia yk..na ameizoea..kile kitendo cha kuondoka nyumbani ni cha huzuni..sababu anaenda anza maisha mapya na mtu ambaye mmejuana ukubwani....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom