bintidarajani
JF-Expert Member
- Aug 21, 2014
- 200
- 178
We endelea kujitekenya na kucheka . Majibu ya mchezo wako huo utayapata October 25Kwa mkoa wa Kagera sioni jimbo hata moja litakalo enda ccm. Everything is UKAWA!
We endelea kujitekenya na kucheka . Majibu ya mchezo wako huo utayapata October 25Kwa mkoa wa Kagera sioni jimbo hata moja litakalo enda ccm. Everything is UKAWA!
Tutumie tuisome please
lowasa aliongea nn kwenye mkutano? kaongea kwa dakika ngapi?
Leo hii mwaongelea umati tu. endeleeni kucheza ngoma ya lowasa. wengi wanaenda mshuhudia fisadi papa aliyeishinda ccm kumshitaki na sasa mbowe kampa chama aisake ikulu.
kama kwa mawazo yake wale wote watampigia kura subiri oune.
hajaanza leo kujaza watu, rejea kutafuta wadhamini akiwa ccm.
kikweli lowassa alishashinda kwa wanachama wake kujifariji...ilaa kikweli kabisa oct 25 hatoboiiii. Magufuli woyeeeeeeee
Kikweli lowassa alishashinda kwa wanachama wake kujifariji...ilaa kikweli kabisa oct 25 hatoboiiii. MAGUFULI WOYEEEEEEEE
thubutu!!!!fanyeni research!!!dr maguful anaungwa mkono kwa 90% mikoa ya katavi,lindi,ruvuma,pwani,morogoro,tabora,shinyanga,tanga,dodoma,geita,na simiyu,,na anaungwa mkono kwa 75% mikoa ya mara,singida,manyara,mtwara,mbeya,bukoba,!!!!!!leteni taarifa ya research za lowasa c polojo
Khaa!! Wanaweza kukupenda kwa kukuona unavyoongea, unavyosimama kwenye majukwaa nk. Lakini kamwe wasikuchague uwe raisKwann wakati wanaokupenda ndo wapiga kura
Khaa!! Wanaweza kukupenda kwa kukuona unavyoongea, unavyosimama kwenye majukwaa nk. Lakini kamwe wasikuchague uwe rais![]()