Kwanini Lowassa atashinda Uchaguzi Mkuu wa Oct 25

Kwanini Lowassa atashinda Uchaguzi Mkuu wa Oct 25

Fikiri kwanza, umati wa watu, siyo kushinda urais, kumbuka ukawa ni vyama vinne!!, kwa hiyo uwingi uliouonaa wewe, ni kilio siku ya tar 25, LOWASA hawezi shinda'!!
 
Kaka umetoa ushauli mzr sana sana kwawenye akir watayafanyia kazi mawazoyako ila hawa watawala huwa awafanyi risechi kabla yakuamua jambo matokeo yake nikuumbka.
 
Lowasaa iko gonjwa sana inaongea dakika tatu hoi taabani,iko na utapiamlo kali sana hapana taka kwenda lazwa hospital yeye taka lazwa Ikulu kama gonjwa wodi ya IKULU
 
Lowasaa iko gonjwa sana inaongea dakika tatu hoi taabani,iko na utapiamlo kali sana hapana taka kwenda lazwa hospital yeye taka lazwa Ikulu kama gonjwa wodi ya IKULU

Hata akiwa ICU tutampa kura zetu.
 
Fikiri kwanza, umati wa watu, siyo kushinda urais, kumbuka ukawa ni vyama vinne!!, kwa hiyo uwingi uliouonaa wewe, ni kilio siku ya tar 25, LOWASA hawezi shinda'!!

Mkuu nijuze kidogo hivyo vyama vinne vyote vina wagombea urais ama nn sijaelewa point yako
 
thubutu!!!!fanyeni research!!!dr maguful anaungwa mkono kwa 90% mikoa ya katavi,lindi,ruvuma,pwani,morogoro,tabora,shinyanga,tanga,dodoma,geita,na simiyu,,na anaungwa mkono kwa 75% mikoa ya mara,singida,manyara,mtwara,mbeya,bukoba,!!!!!!leteni taarifa ya research za lowasa c polojo
 
lowasa ni nani?

Majibu ya kiselamavi ya kujibu maswali ya tasnifa kama haya , tunayo kibwena !
Ila nachelea kukujibu kwa status ya ID yako nakuheshimia wewe hapa Jf ni mkongwe mwenzetu Baba Enock !
Ila ukirudiarudia vijitasnifa utapata majibu stahili .
 
Last edited by a moderator:
...

Kasombeni watu na malori kama kawaida yenu kutoka Kemondo, Katerero, Maruku,hata kutoka Kyaka ili nanyie mjaze UMATI.
......
Be careful utapigwa ban. Hiyo ni dirty/filthy word
 
Lowasaa iko gonjwa sana inaongea dakika tatu hoi taabani,iko na utapiamlo kali sana hapana taka kwenda lazwa hospital yeye taka lazwa Ikulu kama gonjwa wodi ya IKULU

Bukoba tumesema tunamtaka hivyo alivyo..na je , Hao wazima ambao hawaumwi wametusaidia kitu gani?
 
Back
Top Bottom