Kwanini Lowassa atashinda Uchaguzi Mkuu wa Oct 25

Kwanini Lowassa atashinda Uchaguzi Mkuu wa Oct 25

thubutu!!!!fanyeni research!!!dr maguful anaungwa mkono kwa 90% mikoa ya katavi,lindi,ruvuma,pwani,morogoro,tabora,shinyanga,tanga,dodoma,geita,na simiyu,,na anaungwa mkono kwa 75% mikoa ya mara,singida,manyara,mtwara,mbeya,bukoba,!!!!!!leteni taarifa ya research za lowasa c polojo

Tutumie tuisome please
 
Labda awe rais wa kauzu fc,mwenye akili timamu hawezi kumchagua Lowassa

Na mwenye akili zenye akili hawezi kuichagua ccm miaka 53 yote bado huduma za kijamii shida wanagawa tisheti tu na kofia na kusomba watu kwenye malori lol
 
ninachokiona hapa ni kuwa ndo uwezo wako ulipoishia wa kufikiria.
watu wanajaa kwenye mikutano kusikiliza sera na wengine hata kuja jushangaa tu ukizingatia watu kama lowasa na sumaye wameshawahi kuwa viongozi wa juu kabisa (PM) kwenye taifa hili. kwa hiyo hiyo siyo sababu pekee ya kupigiwa kura.
Isitoshe Tanzania ni zaidi ya bukoba na katerero na sio kinyume chake.
Kule kalenga kuna chama fulani kilitumia chopa na kila aina ya miondombinu iliyowezekana. na kama haitoshi walitoa mpaka wasisimamizi wa kura zao uli mji ulio karibu na mount meru. lakini waliambulia 20%. kwa nini hamjifunzi? Sometimes tumia japo muda kidogo kufikiria.

Basi acheni kusomba watu ili kujaza viwanja. Jangwani Rais wa sasa, Mstahafu na Lodi Lofa wote walisifu umati
 
thubutu!!!!fanyeni research!!!dr maguful anaungwa mkono kwa 90% mikoa ya katavi,lindi,ruvuma,pwani,morogoro,tabora,shinyanga,tanga,dodoma,geita,na simiyu,,na anaungwa mkono kwa 75% mikoa ya mara,singida,manyara,mtwara,mbeya,bukoba,!!!!!!leteni taarifa ya research za lowasa c polojo

Daah!hiyo research ni ya kifamilia yako tu nazani.
 
ninachokiona hapa ni kuwa ndo uwezo wako ulipoishia wa kufikiria.
watu wanajaa kwenye mikutano kusikiliza sera na wengine hata kuja jushangaa tu ukizingatia watu kama lowasa na sumaye wameshawahi kuwa viongozi wa juu kabisa (PM) kwenye taifa hili. kwa hiyo hiyo siyo sababu pekee ya kupigiwa kura.
Isitoshe Tanzania ni zaidi ya bukoba na katerero na sio kinyume chake.
Kule kalenga kuna chama fulani kilitumia chopa na kila aina ya miondombinu iliyowezekana. na kama haitoshi walitoa mpaka wasisimamizi wa kura zao uli mji ulio karibu na mount meru. lakini waliambulia 20%. kwa nini hamjifunzi? Sometimes tumia japo muda kidogo kufikiria.

Tulishafikiri ndo maana tupo na Lowassa
 
mkuu hauna haibu ni research gani uliyofanya mkoa wa mara ktk jimbo ambalo chadema hawana nguvu ni mwibara lkn watu wengi wanasema ubunge kangi coz nimpambanaji lkn prezida ni lowassaaa

Kajiandikia tu hili kujipa moyo ila ukweli anajua kuwa ccm shughuli wanayo
 
Kikweli lowassa alishashinda kwa wanachama wake kujifariji...ilaa kikweli kabisa oct 25 hatoboiiii. MAGUFULI WOYEEEEEEEE
 
Eti lowasa ni nani! we umgeni ktk hi nchi? Hata vitoto vilivyozaliwa Jana viliovyao ni lowasaaaaaaaa! Kama humjui ni raisi wa wtz anayesubiri kuapishwatu
 
Dah.hossam umenikumbusha mbali, cheki na hili. Nini na ni wapi KUMBIZALEE?
 
Naunga mkono ushauri huu wa mdau hapo juu kwa CCM, zingatieni ni muhimu kwenu
1) msitaje jina la Lowassa, wala msitaje neno mabadiliko kwenye kapeni zenu.
2) chonde chonde msizungumzie meli kwasababu mkapa aliahidi mwaka 2000, Kikwete 2005, Kikwete 2010
 
lowasa aliongea nn kwenye mkutano? kaongea kwa dakika ngapi?
Leo hii mwaongelea umati tu. endeleeni kucheza ngoma ya lowasa. wengi wanaenda mshuhudia fisadi papa aliyeishinda ccm kumshitaki na sasa mbowe kampa chama aisake ikulu.
kama kwa mawazo yake wale wote watampigia kura subiri oune.
hajaanza leo kujaza watu, rejea kutafuta wadhamini akiwa ccm.
 
Back
Top Bottom