Kwanini Lowassa atashinda Uchaguzi Mkuu wa Oct 25

Kwanini Lowassa atashinda Uchaguzi Mkuu wa Oct 25

https://youtu.be/wUw-qRihn7k

Kwetu Bukoba kuna msemo wenye kumaanisha "KAMA UMEGAWA BASI ONGEZAPO!"
KAMA 'MGODI UNAOTEMBEA' UMEGAWA BASI UENDELEE KUONGEZAPO LAKINI KURA KWA MAGUFULI!
HAPA NI KAZI TUUU!
 
ninachokiona hapa ni kuwa ndo uwezo wako ulipoishia wa kufikiria.
watu wanajaa kwenye mikutano kusikiliza sera na wengine hata kuja jushangaa tu ukizingatia watu kama lowasa na sumaye wameshawahi kuwa viongozi wa juu kabisa (PM) kwenye taifa hili. kwa hiyo hiyo siyo sababu pekee ya kupigiwa kura.
Isitoshe Tanzania ni zaidi ya bukoba na katerero na sio kinyume chake.
Kule kalenga kuna chama fulani kilitumia chopa na kila aina ya miondombinu iliyowezekana. na kama haitoshi walitoa mpaka wasisimamizi wa kura zao uli mji ulio karibu na mount meru. lakini waliambulia 20%. kwa nini hamjifunzi? Sometimes tumia japo muda kidogo kufikiria.

Kilichotokea na kushuhudiwa kwenye kampeni ya leo viwanja vya Gymkhana Bukoba, naamini CCM leo hawalali usingizi..lazima wamechanganyikiwa. Kama ilivyotarajiwa umati ulojitokeza kupindukia ulikuwa gumzo..hakukuwa na malori, ma bus wala hakuna aliyeletwa kwa shuruti kuhudhuria mkutano.

Kilichoshangaza zaidi ni pale Lowassa aliposimama ili aanze kuhutubia...haikuwa hali ya kawaida, umati huo kwa maelfu walipiga makelele ya kushangilia kwa takribani dakika 3, huku Lowasa mwenyewe akijitahidi kuwashusha munkari umati huo. Wengine walisikika wakisema hata usijichoshe kuongea...kwa kweli hamasa ilikuwa kubwa sana. Ni kweli nimeamini maelfu ya watu wana"Mahaba" na Lowassa.

USHAURI WA BURE KWA CCM:

Jumatatu kwenye mkutano wenu, ambao na nyie kama kawaida yenu kuiga mmeuhamishia kwenye viwanja vilvyibatizwa leo "Lowasa Grounds" msitaje jina la Lowassa, wala msitaje neno mabadiliko, MTAUMBUKA.

Kasombeni watu na malori kama kawaida yenu kutoka Kemondo, Katerero, Maruku,hata kutoka Kyaka ili nanyie mjaze UMATI.
Pia msisahau kuleta wasanii wale wakali zaidi ili angalau wakazi wa bukoba waje kushuhudia burudani ya bure.
Mwisho..chonde chonde msizungumzie meli kwasababu mkapa aliahidi mwaka 2000, Kikwete 2005,Kikwete 2010..na mpaka leo bila bila.

Nilikuwa nayasikia tu ila kwa leo nimeamini,

LOWASA IS UNSTOPABLE.
 
mkuu hiyo research yako umeifanya lini, methodology yako ilikua ya aina gani, data analysisi ilifanyikaje...ukitupa japo abstract yako watu tunaoelewa utafiti tutakueew,,,,lakini kama ndo research kama za in mkamba jr,,, then your f..u...c...k...e...d ....up. shut your....cunt

thubutu!!!!fanyeni research!!!dr maguful anaungwa mkono kwa 90% mikoa ya katavi,lindi,ruvuma,pwani,morogoro,tabora,shinyanga,tanga,dodoma,geita,na simiyu,,na anaungwa mkono kwa 75% mikoa ya mara,singida,manyara,mtwara,mbeya,bukoba,!!!!!!leteni taarifa ya research za lowasa c polojo
 
jaman lowasa anapendwa sana mfano jana nilikuwa ktk kampen za mgombea wa ubunge kupitia Cuf ktk jimbo la lind mjin,,kila wakisema lowasa watu wanafurah na kusema mabadiliko na anasubiriwa trh22 aje kuuteka mji wa lind
 
Khaa!! Dogo usichanganye mambo. Kupendwa na kuwa Rais wa JMT ni vitu tofauti
 
Lowasaa iko gonjwa sana inaongea dakika tatu hoi taabani,iko na utapiamlo kali sana hapana taka kwenda lazwa hospital yeye taka lazwa Ikulu kama gonjwa wodi ya IKULU

Uzuri hana ngoma na tezi dume
 
thubutu!!!!fanyeni research!!!dr maguful anaungwa mkono kwa 90% mikoa ya katavi,lindi,ruvuma,pwani,morogoro,tabora,shinyanga,tanga,dodoma,geita,na simiyu,,na anaungwa mkono kwa 75% mikoa ya mara,singida,manyara,mtwara,mbeya,bukoba,!!!!!!leteni taarifa ya research za lowasa c polojo

Wewe wasema polojo sisi twasema porojo na vise versa is true
 
Ccm ni chama cha wahaini. Waliutangazia umma wakiwa wametumwa na kikwete kuwa rais hawezi kutoka kaskazini
Tunataka kuwaonesha kuwa ccm wala kikwete hawana hati miliki ya nchi hii na hawawezi kuwaambia atakakotoka rais wa hii nchi.
NI KUWAKATA TU OCTOBA,25
 
ninachokiona hapa ni kuwa ndo uwezo wako ulipoishia wa kufikiria.
watu wanajaa kwenye mikutano kusikiliza sera na wengine hata kuja ojushangaa tu ukizingatia watu kama lowasa na sumaye wameshawahi kuwa viongozi wa juu kabisa (PM) kwenye taifa hili. kwa hiyo hiyo siyo sababu pekee ya kupigiwa kura.
Isitoshe Tanzania ni zaidi ya bukoba na katerero na sio kinyume chake.
Kule kalenga kuna chama fulani kilitumia chopa na kila aina ya miondombinu iliyowezekana. na kama haitoshi walitoa mpaka wasisimamizi wa kura zao uli mji ulio karibu na mount meru. lakini waliambulia 20%. kwa nini hamjifunzi? Sometimes tumia japo muda kidogo kufikiria.
soma a lama za nyakati Ndugu na wewe na utambue huu ni uchaguzi Wa kumtafuta kiongozi wa taiga.
 
thubutu!!!!fanyeni research!!!dr maguful anaungwa mkono kwa 90% mikoa ya katavi,lindi,ruvuma,pwani,morogoro,tabora,shinyanga,tanga,dodoma,geita,na simiyu,,na anaungwa mkono kwa 75% mikoa ya mara,singida,manyara,mtwara,mbeya,bukoba,!!!!!!leteni taarifa ya research za lowasa c polojo

mkuu hauna haibu ni research gani uliyofanya mkoa wa mara ktk jimbo ambalo chadema hawana nguvu ni mwibara lkn watu wengi wanasema ubunge kangi coz nimpambanaji lkn prezida ni lowassaaa
 
Jipe moyo, ucje Sema wameiba kura, kujaza watu kwenye mikutano Co upigaji wa kura, polesana, tafakari
 
Back
Top Bottom