iziga azizi
Member
- Aug 16, 2020
- 75
- 156
Nawasalimu kwa jina la JMT
Nmeingia lodge nying sana nimekuwa nikiumizwa na hiii sheria ya ambayo inasema.
Chumba unatakiwa urudishe saa Nne kamili hela yako inakuwa imeisha ?
Kwanini isiwekwe sheria chumba unalipia ndani ya masaa 24 tu yaani kwa mfano umeingia saa4 usiku utoke kesho yake saa4 usiku
Kuliko hii sheria ya sasa inasema hata kama umeingia saa5 usiku ila ikifika saa4 asubuhi unatakiwa ukabidh chumba.
Bunge liiingilie kati hiii sheria inataji mabadiliko makubwa tena ya haraka sana kwani imekuwa ikitukandamiza siye wadau wa hiii huduma.