keynessian
JF-Expert Member
- Feb 28, 2014
- 588
- 407
Katika gazeti la mwananchi imetaarifiwa kuwaLisu, Mnyika, Slaa pamoja na maafisa waandamizi wa CDM hawakuhudhuria mapokeziya Lowasa Jana tofauti na ilivyokuwa katika mapokezi ya Lembeli na Ester Bulaya. Naomba mtujuze kama walikuwa na udhuru kwani hii si kawaida kwa tukio kama la jana
Mbona katibu mkuu NLD, nccr,cuf,hawakuwepo, ukipata haya majibu utajua kwanini Slaa Hakuepo...