Kwanini Lissu, Mnyika, Slaa na wengine hawakuwepo kwenye mapokezi ya Lowassa?

Katika gazeti la mwananchi imetaarifiwa kuwaLisu, Mnyika, Slaa pamoja na maafisa waandamizi wa CDM hawakuhudhuria mapokeziya Lowasa Jana tofauti na ilivyokuwa katika mapokezi ya Lembeli na Ester Bulaya. Naomba mtujuze kama walikuwa na udhuru kwani hii si kawaida kwa tukio kama la jana

Mbona katibu mkuu NLD, nccr,cuf,hawakuwepo, ukipata haya majibu utajua kwanini Slaa Hakuepo...
 
Mapokezi yalihudhuriwa na Wenyeviti wa vyama vya UKAWA. Makatibu na maofisa wengine walikuwa na shughuli nyingine ambazo kwa wakati huu ni muhimu. Hili linapaswa kueleweka na wale wasio wapika majungu.
 
Nadhani kilikuwa kikao cha watu wa Kilimanjaro, yaani Mbowe Mbatia Makaidi na shemeji yao Lipumba. Hata Baregu prof.safari na Marando hawakuwepo wakati mkutano ulikuwa hapohapo Dar.
wewe ulivaa miwani ya mbao halafu unategemea uone, Marando na Baregu walikuwepo acha uzushi
 
Nadhani kilikuwa kikao cha watu wa Kilimanjaro, yaani Mbowe Mbatia Makaidi na shemeji yao Lipumba. Hata Baregu prof.safari na Marando hawakuwepo wakati mkutano ulikuwa hapohapo Dar.

Marando alikuwepo alikaa kwa wasikilizaji
 
Nadhani kilikuwa kikao cha watu wa Kilimanjaro, yaani Mbowe Mbatia Makaidi na shemeji yao Lipumba. Hata Baregu prof.safari na Marando hawakuwepo wakati mkutano ulikuwa hapohapo Dar.

Prof. Safari na Marando walikuwepo. Makaidi ni mtu wa masasi. Sasa kaskazini imekosa nini?
 
Nadhani kilikuwa kikao cha watu wa Kilimanjaro, yaani Mbowe Mbatia Makaidi na shemeji yao Lipumba. Hata Baregu prof.safari na Marando hawakuwepo wakati mkutano ulikuwa hapohapo Dar.

Acha uongo mzee marando alikuwepo
 
Acha uongo wewe. Huko nje ya nchi kaenda lini? Mbona jana wakati kikao kinaendelea alikuwa nyumbani kwake pamoja na John Mrema, John Mnyika, na Tundu Lissu

Umezoea siasa za kitoto sana, hebu tuambie jana Magufuli, Rizone, Pinda walikuwa na akina nani kwani unajua sana ratiba za watu hasa siku ya jana.
 
Siku moja baada ya UKAWA kumkaribisha Waziri Mkuu mstaafu Edward Lowassa kujiunga na umoja huo, mchana huu kupitia ukurasa wake wa Twitter, Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dr Willibrord Slaa ameandika hivii;
"Kwa miaka 23 upinzani sasa umefikia hatua ya kuongoza nchi yetu. Watanzania watambue kwamba tuko makini sana katika wakati huu"
"Tuna intelijensia ya kutosha kujua nini kinaendelea, nani anahama CCM na kwa nini, nani anakuja kwetu kwa mema na nani ametumwa"
"Muda wa Chadema kuchukua makapi, kuyumbishwa na intelijensia butu ya nchi ulipita zamani. Chama tawala kinatambua hili kwa wazi kabisa"
"Tunaomba iwepo subira, tunakaribisha wana CCM wanaotaka kuja kujieleza mbele yetu, tutawajadili tutaripoti kwa Watanzania, tutaamua"

hiyo account fek sio ya slaa;yake anayotumia n willibroad,hyo n willibrord hii kanjanja
 
Nadhani kilikuwa kikao cha watu wa Kilimanjaro, yaani Mbowe Mbatia Makaidi na shemeji yao Lipumba. Hata Baregu prof.safari na Marando hawakuwepo wakati mkutano ulikuwa hapohapo Dar.
Marando tulikuwa naye ukumbini.
 
Acha uongo wewe. Huko nje ya nchi kaenda lini? Mbona jana wakati kikao kinaendelea alikuwa nyumbani kwake pamoja na John Mrema, John Mnyika, na Tundu Lissu

naona CCM sasa wameamua kuwa waumini wa "prophecy of doom".

historia ya KANU, UNIP, etc inahusu this time around...
 
Kwani pale walikua
Wanatambulisha uongozi mbaka uone uongozi wote ataww uliza mbona ujakuwepo wakati we nikiongozi wa upotoshaji!!
 
Back
Top Bottom