Kwanini Lissu aongee maneno haya?

Kwanini Lissu aongee maneno haya?

Mita 50 tu kutoka zilipo ofisi za mkuu wa mkoa wa dar pana uchafu wa kutisha au tuseme nyuma ya zilipo ofisi za TFF pana uchafu hatari hivi mabibi afya wa eneo usika mpo kweli dampo si dampo sijui ni kitu gani / MBELE YA VIWANJA VYA KARUME PALISTAHILI ZIJENGWE CITY GARDEN MAANA PALE MNAZI MMOJA MMEAMUA KUJENGA MAJENGO YA KULIONGEZEA JIJI JOTO,MNADHANI WAZUNGU KUWEKA GARDEN WALIKOSEA,ONENI CITY BREATH POINT ZOTE MMEZIZIBA KWA MAGOROFA!,JIJI LA DAR LILIKUWA NA BREATH POINT -6,IKIWEPO MSITU WA KUPANDWA KAZIMZUMBWI ILI UPOKEE INDUSTRAL CARBON WAPI NA WAPI?
Yani uzi umeunganishwa au?
 
[emoji116]
"Kama umetumwa kuja kusikiliza take this message, kama umetumwa kuja kuchukua maneno, peleka maneno yangu haya"

View attachment 1023399Na humo ndani alikuwepo mwenye mavazi hayo hapo kwenye picha, je mh. Mbunge alikuwa na maana gani?
Unadhani waliotumwa wanakosekanaga katika maeneo kama hayo? Na wengine walitinga na vazi la chama hapo bado hujaelewa tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu pamoja na kuwepo wenye mavazi hayo, nimeshangaa na yeye baada ya kusikia maneno yale na yeye kashangilia kama siyo yeye.
Na wengine walitinga na vazi la chama hapo bado hujaelewa tuu
 
Lissu tunalaani kitendo cha kushambuliwa kwake ila asidhani kila aliye CCM ni adui yake, wala si kila mtanzania ni adui yake, hivo awe makini na baadhi ya sentensi zake maana zinaweza kuwakatisha tamaa watu
 
Lissu tunalaani kitendo cha kushambuliwa kwake ila asidhani kila aliye CCM ni adui yake, wala si kila mtanzania ni adui yake, hivo awe makini na baadhi ya sentensi zake maana zinaweza kuwakatisha tamaa watu
Awe makini asiseme ukweli? Hao CCM wanaomuunga mkono wako wapi? Mbona hawasemi chochote? Mbona hawamsaidii? Sasa wana maana gani? Unamsikitikia mtu ukiwa chumbani kwako huwezi sauti kumsaidia ww sasa wa nn?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom