Nimenunua line mpya za airtel zaidi ya tatu sasa. Kila moja nikiweka kwenye modem haisomi. Ila kwenye simu inasoma.
Nimejaribu line ya zamani nimeona inasoma ila hizi mpya zote tatu zimekataa.
Modem ninayotumia ni Huawei e303 na matokeo yake ni kama yalivyo kwenye snapshot hapo chini.
View attachment 185401
Kama kuna mtu mwingine amekutana na the same issue, tuambiane jinsi ulivyosolve tatizo hilo.