Kwanini Line mpya za Airtel hazisomi kwenye modem

God knows

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2011
Posts
276
Reaction score
173
Nimenunua line mpya za airtel zaidi ya tatu sasa. Kila moja nikiweka kwenye modem haisomi. Ila kwenye simu inasoma.

Nimejaribu line ya zamani nimeona inasoma ila hizi mpya zote tatu zimekataa.

Modem ninayotumia ni Huawei e303 na matokeo yake ni kama yalivyo kwenye snapshot hapo chini.

airtel.png

Kama kuna mtu mwingine amekutana na the same issue, tuambiane jinsi ulivyosolve tatizo hilo.
 
line zote za airtel zinakuwa na identity namba upande wa mbele ni tarakimu 18 au 19 sasa wewe chagua zenye tarakimu 18 ndiyo zinasoma fresh ila hizo zenye tarakimu 19 hazikubali kusoma kwenye modem hasa hizi huawei e303
 
Lakini hizi line zote mbili zina a total of 18 digits.

Airtel2.jpg
 
Mkuu niliwahi kupata tatizo kama lako...jaribu kuziwekea pin kwa kutumia simu!then ndo uweke ktk moderm
 
Nimenunua line mpya za airtel zaidi ya tatu sasa. Kila moja nikiweka kwenye modem haisomi. Ila kwenye simu inasoma.

Nimejaribu line ya zamani nimeona inasoma ila hizi mpya zote tatu zimekataa.

Modem ninayotumia ni Huawei e303 na matokeo yake ni kama yalivyo kwenye snapshot hapo chini.

View attachment 185401

Kama kuna mtu mwingine amekutana na the same issue, tuambiane jinsi ulivyosolve tatizo hilo.

Mwenyewe nilikua na modem ya Huawei E3131 ya Hi link nikai convert kuwa non-Hi link nikaweka Mobile partner kama yako line zote ikawa inazisoma lkn ya Airtel ikachomoa
Ilinibidi niiuze kwa mtu asiyetumia Airtel kabisa

Kittu ambacho nilisikia ni Kwamba Airtel hawaruhusu Mobile partner connection na hii niliambiwa na mtu yuko Kenya kuwa kwao Airtel iwapo utatumia connection manager kama Mobile partner haitokubali(sijui kama ni kweli hii notion) maana mm natumia Mobile partner inakubali lkn sio version kama yako

Nakushauri tumia Zile dashboard za Airtel Huawei E173 afu uje utupe feedback kama itakubali au tumia M.partner version kama niloweka kwenye screenshot hapa chini

2Pp37y.png
 
Ila mimi nipo kenya inakubali tu kwa mobile partner ndo nayotumia
 
Nafikiri hapo inategemea na line mkubwa...mleta mada na wachangiaji wote wanabaini kuna line zinakubali mwenyewe yangu hiyo juu inakubali japo si kwa version kama ya mleta mada ndo maana namwambia badili dashboard afu atupe majibu kila kitu kitajulikana hapa...

Na nimeuliza watu wawili tena jana both Kenya and UG wanasema same issue
 
Ok!

Basi naomba msaada wa vitu viwili ili niweze kufanya majaribio!!

- Kwanza naomba kujua default PIN ya airtel ni ipi!?

- Halafu naomba kama mtu anaweza kuniattachia hilo file la Mobile Partner 21.005.............. Nimejaribu kutafuta kwenye mtandao ila zote ninazozipata ni customized ones.
 
APN sijui kama inasaidia kwenye ku detect Mtandao ila kwa airtel ni "internet"

Ungeanza na ile dashboard yao ya Huawei E173 ya modem za Airtel
 
Attachments

Nimenunua line mpya za airtel zaidi ya tatu sasa. Kila moja nikiweka kwenye modem haisomi. Ila kwenye simu inasoma.

Nimejaribu line ya zamani nimeona inasoma ila hizi mpya zote tatu zimekataa.

Modem ninayotumia ni Huawei e303 na matokeo yake ni kama yalivyo kwenye snapshot hapo chini.

View attachment 185401

Kama kuna mtu mwingine amekutana na the same issue, tuambiane jinsi ulivyosolve tatizo hilo.
umeediti difot getiwei?
 
Kuna mdau hapo juu ali-suggest kuweka PIN kwa kutumia simu!!

njunwa wamavoko, solution ya kubadili dashboard haijasaidia.

It seems as if modem inashindwa kusajili network husika. Nimejaribu kufanya Manual Search ya Network, Airtel 3g naipata lakini nikijaribu kufanya registration, inatokea failure. Matokeo baada ya modem connection ni kama hapo chini.

new dashboard.png
 
Last edited by a moderator:
kuna line za aina mbili.... 64K na 32k / line nyingi za airtel za sasa ivi ni 64K ..ambazo huwa zina shida katika ku connect sio kwenye modem tu.ila hata gsm interface devices... solution...nenda kanunue line kwa airtel wenyewe..waambie unataka 32k
 
Nimenunua line mpya za airtel zaidi ya tatu sasa. Kila moja nikiweka kwenye modem haisomi. Ila kwenye simu inasoma.

Nimejaribu line ya zamani nimeona inasoma ila hizi mpya zote tatu zimekataa.

Modem ninayotumia ni Huawei e303 na matokeo yake ni kama yalivyo kwenye snapshot hapo chini.

View attachment 185401

Kama kuna mtu mwingine amekutana na the same issue, tuambiane jinsi ulivyosolve tatizo hilo.
Nimepata tatizo ka lako ila solution yake ni kutafuta modem ambayo c E303 me nilijarib kutumia modem ya zaman ya airtel ZTE imekubali kuconnect!!
 
shikamoo dada a.rahabu naweza kujua chochote kuhusu hizo modem?
 
Last edited by a moderator:
line zote za airtel zinakuwa na identity namba upande wa mbele ni tarakimu 18 au 19 sasa wewe chagua zenye tarakimu 18 ndiyo zinasoma fresh ila hizo zenye tarakimu 19 hazikubali kusoma kwenye modem hasa hizi huawei e303

Mimi imegoma hata kwenye simu nokia c2-3 inasoma kwenye smartphone tu
 
Back
Top Bottom