Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,280
- 3,345
- Thread starter
- #21
Kwani kuna mtu aliekulazimisha uifuate au uiamini dini yako ? Si unaifuata kwa hiari yako mwenyewe kwa hyo hata yatakanayo na dini uliyoifuata kwa hiari yako ni pia ni ya hiari yako,ikiwemo wajina tuwapao watoto wetuSio kweli majina tunayopewa sio kwa willing zetu bali ni kwa willing za dini zetu.