Fahamu machache kuhusu Ziwa Victoria

Fahamu machache kuhusu Ziwa Victoria

Kasomi

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2014
Posts
11,027
Reaction score
20,413
Tuanze kwa kusema Ziwa Victoria(Nyanza) hili ndo Ziwa kubwa Afrika.

👉Lina km za mraba 69,584km² lakini kwa eneo lote lenye maji ni km za mraba 169,858km². Urefu wa kina ni 80 hadi 84mita(futi 262 hadi 276) maeneo mengi yana wastani wa kina cha mita 40(futi 130).

👉Ziwa hili linapatikana nchini Tanzania km za mraba 33,700km² (49%), Uganda km za mraba 31,784km² (45%), Kenya km za mraba 4,100km² (6%).

👉Pia linakadiliwa kua na zaidi ya aina za samaki 500 lakini inasemekana aina za samaki zipatazo 200(40%) inasemekana kutoweka, pia Ziwa hili lina zaidi ya visiwa 100.

👉Linapokea maji kutoka mto Kagera, mto mara,n.k. Pia linamwaga maji yake mto Nile.

👉Ni Ziwa la kwanza kwa ukubwa Tanzania pamoja na afrika lakini pia nila tatu kwa ukubwa duniani. Nchini Tanzania Ziwa hili lipo mikoa ya Geita, Mwanza, Kagera, Mara na Simiyu.

👉Mwazo Ziwa hili liliitwa Nyanza huko Tanzania (Kisukuma), Nnalubaale huko Uganda (Luganda), Nam lolwe huko Kenya (kikuo).

Liliitwa Ziwa Victoria kutoka kwenye jina la malkia wa uingereza Alexandra Victoria kwa sababu aliwatuma wapelelezi John Spike na Richard Burton kuchunguza chanzo cha mto Nile ndipo walipo kuta ni Ziwa Nyanza ndo wakaliita Ziwa Victoria ili kumuenzi kiongozi huyo wa miaka ya 1837-1901.

Hilo ndilo Ziwa Victoria (Nyanza: kwa kabila la kisukuma ikimanisha Ziwa).
 
Summary nzuri sana. Endelea kutupatia darasa bure kabisa.

Hivyo visiwa 100 vyote vinakaliwa na raia au? Vingapi vipo Tanzania?
 
Ziwa Viktoria​

Jump to navigationJump to search
Ziwa la Viktoria Nyanza
Ziwa Viktoria Nyanza jinsi linavyoonekana kutoka angani

MahaliAfrika ya Mashariki
Nchi zinazopakanaTanzania, Uganda na Kenya
Eneo la maji68,100 km²
Kina cha chini81 m
Mito inayoingiaKagera, mto Katonga, mto Nzoia n.k.
Mito inayotokaNile
Kimo cha uso wa maji
juu ya UB
1,134 m
Miji mikubwa ufukoniKampala, Kisumu, Mwanza

Ziwa Viktoria na Bonde la Ufa la Afrika Mashariki.

Ongezeko la msongamano wa watu kandokando ya Ziwa Victoria.

Lugha kandokando ya Ziwa Victoria.

Tofauti ya levo katika Ziwa Victoria.
Ongezeko la msongamano wa watu kandokando ya Ziwa Victoria likilinganishwa na lile la Afrika nzima.
Ziwa Viktoria (pia: Ziwa Nyanza au Ziwa Ukerewe) ni ziwa kubwa la Afrika ya Mashariki lililopo baina ya Tanzania, Kenya na Uganda. Eneo la maji ya ziwa limegawanywa 49% (km2 33,700) nchini Tanzania, 45% (km2 31,000) nchini Uganda, na 6% (km2 4,100) nchini Kenya.
Ziwa Viktoria lipo mita 1134 juu ya usawa wa bahari na lina eneo la kilometa za mraba zaidi ya 68,100. Hivyo ni ziwa kubwa kuliko yote barani Afrika, na la pili duniani, baada ya Ziwa Superior ambalo lipo Amerika ya Kaskazini.
Ziwa hili linapata maji yake mengi kutokana na mvua (80%) na kutoka vijito vingi vidogo. Mto mkubwa unaoingia Viktoria ni Mto Kagera unaotiririka kutoka magharibi.
Maji ya ziwa Viktoria yanatoka na kumiminika kwenye mto Nile na kuelekea bahari ya Mediteranea kwa umbali wa maili 4,000.
Ziwa hilo lina kina cha wastani cha mita 40 na mwambao wa urefu wa kilomita 4,828, visiwa vyake vikiwa vimechangia 3.7% ya urefu huu.
Ziwa hilo liliwahi kukauka kabisa mara kadhaa tangu lilipoanza miaka 400,000 iliyopita.

Yaliyomo​

Visiwa vya Ziwa Viktoria[hariri | hariri chanzo]​

Ziwa Viktoria ni miongoni mwa maziwa yenye visiwa vingi (985). Kikubwa kuliko vyote ni Ukerewe.

Upande wa Kenya[hariri | hariri chanzo]​

Bihiri * Chamarungo * Daraja * Gengra * Hongwe * Ilemba * Kijani * Kimaboni * Kiringiti * Kiwa * Koyamo * Mageta * Magogo * Maiunya * Mbaiyu * Mbasa * Mfangano * Migingo * Mlinzi * Mogare * Mogare (visiwa) * Mzenzi * Namulamia * Ndede * Ngodhe * Piramidi * Risi * Rusinga * Saga * Seki * Sifu * Sirigombe * Sukuru * Sumba * Takawiri * Visiwa vya Ugingo * Unyama * Usingo * Uware * Wahondo * Wayaga * Yalombo * Yamburi

Upande wa Tanzania[hariri | hariri chanzo]​

Barega *Bihila * Bisuvi *Biswe * Buganbwe * Bugeru * Bukerebe * Bukurani * Bumbire * Burubi * Busonyi * Busyengere * Butwa * Buzumu * Bwiru * Chakazimbe * Charaki * Chienda * Chihara * Chikonero * Chinyeri * Chitandere * Dunacheri * Dwiga * Galinzira (Kagera) * Galinzira (Ukerewe) * Gama * Gana * Ijirambo * Ikuru * Ikuza * Iriga * Iroba * Irugwa * Iruma * Itami * Itemusi * Ito * Juguu * Juma * Kagongo * Kamasi * Kaserazi * Kasima * Kategurwa * Kiamugasire * Kiau * Kibinda * Kihombe * Kinamogwishu * Kinyanwana * Kiregi * Kireta * Kishaka * Kitua * Kivumba * Kome * Kuriro * Kweru * Kweru Mutu * Kwigari * Kwilela * Liagoba * Liegoba * Luanji * Lukuba * Lyamwenge * Mabibi * Mafunke * Maisome * Makibwa * Makome * Makove * Malelema * Maremera * Masakara * Masheka * Masuha * Mazinga * Mgonchi * Miganiko * Mijo * Morova * Mraoba * Msalala * Mtenga * Mtoa * Mtoto * Musira * Mwengwa * Nabuyongo * Nafuba * Nakaranga * Namatembe * Namguma * Ndarua * Nyabugudzi * Nyaburu * Nyajune * Nyakanyanse * Nyakasanga * Nyamasangi * Nyambugu * Nyamikongo * Nyanswi * Raju * Ramawe * Rubisho * Rubondo * Runeke * Ruregaja * Rwevaguzi * Saanane * Sara * Sata * Seza * Shuka * Siawangi * Sina * Sizu * Songe * Sosswa * Sozihe * Tefu * Ukara * Ukerewe * Usumuti * Vsi * Vianza * Wambuji * Yarugu * Yodzu * Zeru * Zimo * Zinga * Ziragura * Zue

Upande wa Uganda[hariri | hariri chanzo]​

Baga, Banda, Batwala, Bu, Bubeke, Bubembe, Bufumira, Bugaba, Bugaia, Bugala (lat -0,32, long 32,24), Bugala (lat -0,64, long 32,31), Buiga (Mpigi), Buiga (Wakiso), Bukasa, Bukone, Bukwaya, BulagoBulanku, Bulingugwe, Bunjako, Bunjazi, Bunyama, Bussi, Busungwe, Buturume, Buvu, Buvuma, Buyange, Buyovu, Buziranjovu, Buziri, Bwema, Bwigi, Dagusi, Damba, Dinzira, Duweru, Dwanga Mukulu, Dwanga Muto, Dwasendwe, Dyabalume, Funve, Galo, Ikunyu, Iramba, Isamba, Izinga, Jana, Kabaganja, Kabale, Kabuguza,Kabulataka, Kagulumu, Kaina, Kaivali, Kalambide, Kamukulu, Kamutenga, Kansove,Kaserwa, Katanga, Kayanja, Kaza, Kerenge, Kibibi, Kibibi Kaskazini, Kibibi Kusini, Kimi, Kiraza, Kiregi, Kirugu, Kisima, Kitobo, Kiwa, Komogwe, Koome, Kuiye, Kyanga, Lambu, Lebu, Limaiba, Linga, Lingira, Lolui, Lufu, Lujabwa, Lukalu, Luke, Lukiusa, Lula, Lulamba, Lulanda, Lumva, Lunfuwa, Lunkulu, Luntwa, Luserera, Luvangu, Luvia, Luwungulu, Lwabagenge, Lwabalega, Lwabana, Lwaji, Lwantete, Lyabana, Mabanda, Makalugi, Makusu, Marija, Masiwa, Masovwi, Maundu, Maungwe, Mavi, Mawe, Mayinja, Mbirubuziba, Mbive, Mbulamwalo, Meru, Mitusi, Mkovu, Mpande, Mpata, Mpuga, Mpugwe, Mpuni, Mukalanga, Munene, Musambwa, Musambwa Kusini, Musene, Mutyomu, Mwama, Mwana, Mweza, Nagembiruwa, Nainaivi, Namalusu, Namama, Namasimbi, Nambewa, Nambuga, Namite, Namubega, Nfo, Ngabo, Ngamba, Nkata, Nkese, Nkose, Nkusa (Kalangala), Nkusa (Mukono), Nkusa (Wakiso), Nkuzi, Nsadzi, Nsenyi, Nsimba, Nsinga, Nsirwe, Nsonga, Ntokwe, Nvuza, Nyenda, Nziribanje, Ramafuta, Sagitu, Sali, Samoka, Sanga (Buvuma), Sanga (Mukono) (lat -0,07, long 32,80), Sanga (Mukono) (lat 0,08, long 32,65), Segamba, Sege, Semuganja, Semuganja Omunene, Semuganja Omutono, Sentwe, Serinya, Sese, Sigulu, Simu,Sindiro, Sira, Siro, Sowe, Tavu, Visa, Vumba, Wabuziba, Waiasi, Waitwe, Yubwe, Yuweh|, Zigunga, Zigunga Pacha, Zinga, Ziro, Ziru (Buvuma) (lat -0,09, long 33,21), Ziru (Buvuma) (lat 0,05, long 32,98), Ziru (Kalangala)
 
Mto Naili nao unamwaga wap maji baada yakumwagiwa na ziwa Victoria. Hapa ndioo ndio unapoona uumbaji wa MUNGUU

Ajabu nini hapo, au ramani inakuponza kuwa Mediterania iko juu Viktoria lipo chini?
 
Asante sana mkuu kwa nyongeza kubwa kuliko.
 
Ndilo lenye kina kifupi zaidi katika tanzania
 
aliyeturoga kafa,yaani kumuenzi malkia wa wingereza tunabadilisha jina la wasukuma? anyway walibadilisha wazungu wakati wanatutawala,kwa sasa tunasema tuna "uhuru" kwa nini tusifute jina ilo la malkia wa mabeberu na tukapachika jina la kisukuma?? au tuite tu ziwa magufuli au ziwa kikwete
 
...
[emoji117]Linapokea maji kutoka mto Kagera, mto mara,n.k. Pia linamwaga maji yake mto Nile.

Mengi uliyoyaandika ni kweli isipokuwa hilo hapo juu (maandishi mekundu). Ila ni sahihi Mto Nile unaanzia Ziwa Victoria.

Maji ya Ziwa Victoria hayachanganyiki na Mto Nile. Mto Naili unapokea maji kutoka Mto unaopita chini/ndani ya Ziwa Victoria na kuanzia Jinja (Uganda).
 
aliyeturoga kafa,yaani kumuenzi malkia wa wingereza tunabadilisha jina la wasukuma? anyway walibadilisha wazungu wakati wanatutawala,kwa sasa tunasema tuna "uhuru" kwa nini tusifute jina ilo la malkia wa mabeberu na tukapachika jina la kisukuma?? au tuite tu ziwa magufuli au ziwa kikwete

Lake Nyanza! Ziwa Nyanza!
 
Ngoja nizue ubishi. Si kweli kuwa ziwa Viktoria ni kubwa kuliko yote Africa bali ni la tatu. La kwanza ni ziwa Tanganyika na la pili ni ziwa Nyasa.
 
Ajabu nini hapo, au ramani inakuponza kuwa Mediterania iko juu Viktoria lipo chini?
Mediterranean iko chini kimuuniko kwa kuwa kusini ipo juu na kaskazin ipo chini in terms of heights from seen level
 
Ngoja nizue ubishi. Si kweli kuwa ziwa Viktoria ni kubwa kuliko yote Africa bali ni la tatu. La kwanza ni ziwa Tanganyika na la pili ni ziwa Nyasa.
Hapana mkuu Victoria ndo kubwa.
Tanganyika ni refu ila nyasa ni dogo
 
Back
Top Bottom