Victor aliishatangulia kitambo mbele ya haki, lakini hata hivo mimi nilihusika ktk tukio hilo, Victor was my friend, Habari ina upotoshaji. Ni kweli mimi na Victor wakati huo tukiwa 4th year eng. alikuwa na mahusiano na huyo marehemu Levina, wakati huohuo ana mahusiano na Saloti wa 1st year.Hata mie nimejiuliza, huyu Victor na Saloti wana amani kweli kujua walisababisha kifo kisichokuwa a hatia?
Ziko mbali na nilipo, lakini tuombe uzima, siku moja nitakuwekea mambo hadharani!Tusaidie tuone hizo photos kama kweli
Punch ilikuwa inaongozwa na lecturers na viongozi wa juu wa vyuo ikiwamo professors ....Sintashangaa kama nae alikuwa mmoja wapo wa punch hivyo kuiteteaProf . shivji huyu huyu ninayemheshimu aliongea kauli dhaifu kama hiyo? Au alikuwa anamaanisha nini kuhusu saga hiyo labda sikuelewa??!!
Hivi hao PANCHI si ndio nasikia walimchora Rais Mwinyi na kumtukana matusi ya nguoni hadi chuo kikafungwa kwa muda!!!
Vijana wa sasa hivi ndo maana mnasoma kuanzia shule ya msingi hadi chuo kikuu hamjawahi kugoma wala kudai haki zenu, Punch ilikuwa inachangamsha chuo mtu unapata hamasa ya kusoma machapisho yao.Punch naamini kilikuwa kikundi cha wanafunzi wasio na nidhamu.Hawakujali maslahi ya Taifa,hawakujali pesa Za serikali zinazotokana na Jamii maskini,pia hawakujali walikuwa wametoka kwenye jamii maskini na walio wekeza kwenye Elimu Kwa faida ya vizazi vingi kwenye uhai wa Nchi yetu.
Kwa zama hizi kisiruhusiwe kumea kirusi hicho Cha PUNCH nina hakika ni hatari zaidi ya Ukimwi
Mkwawa TTC kulikuwa na Kundi linaitwa wasenegaliNa kuna shule zilikuwa zinasikika kuwa mwanafunzi wa kike akifika anakuwa ameshachaguliwa na mwanamme, hakuna kusema hapana maana mateso yake hayavumiliki, mojawapo ilikuwa Mkwawa High School